Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ofisa Wanyamapori akamatwa na ndege hai 12

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Geofrey KamwelaPOLISI mkoani Singida inamshikilia Ofisa Wanyamapori wa Wilaya ya Singida, Augustino Lorry (43) kwa tuhuma ya kukutwa na ndege hai wa majini 12 walio hai. Anadaiwa kukutwa na ndege 11 aina ya flamingo na mmoja aina ya Fork isivyo halali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ofisa wanyamapori kortini kwa nyara za serikali

OFISA Muhifadhi Wanyamapori Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji, Rashidi Ndimbe, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kukutwa na nyara za serikali. Mbele...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapatikana hai siku 5 baada ya ajali ya ndege

Mama na mwanawe wa mwaka mmoja wamepatikana hai siku 5 baada ya ajali ya ndege katika msitu mkubwa huko Colombia

 

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Fastjet kutoa mafunzo kwa maafisa wa viwanja vya ndege juu ya masuala ya wanyamapori

fastjet_2409696b

Kama sehemu ya mkakati wake wa kusaidia utoaji wa mafunzo kwa maafisa wa viwanja vya ndege,kampuni ya Fastjet Tanzania imeingia katika makubaliano na kampuni inayojihusisha na wanyamapori ya Uholanzi ijulikanayo kamaAviAssist ambayo itatoa mafunzo kuhusu namna ya ulinzi wa wanyamapori kwa maafisa wa viwanja vya ndege.   Akizungumza na  vyombo vya habari, Meneja mkuu wa kampuni ya Fastjet ukanda wa Afrika Mashariki, Jimmy Kibati alisema kuwa, Fastjet itaendasha mafunzo haya katika ofisi zake...

 

5 years ago

Michuzi

KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI SHIRIKA LA NDEGE LA EMIRATES LAENDELEA KUWEKA UMUHIMU WA KULINDA WANYAMAPORI

IKIWA dunia bado inaendelea na mapambano dhidi ya mlipuko wa janga la virusi vya Corona (Covid-19) wito pia umetolewa na Umoja wa mataifa katika maadhimisho ya siku ya mazingira duniani yanayoadhimishwa Juni tano kila mwaka huku kwa mwaka 2020 yakiwa yamebeba kauli mbiu ya  "Bayoanuai."

Katika maadhimisho hayo shirika la ndege la Emirates, likijua vizuri jukumu lake katika mfumo wa ikolojia kidunia limeendelea kufanya maendeleo katika kufikia malengo yake ya mazingira, ambapo limeonesha...

 

10 years ago

Mwananchi

Akamatwa uwanja wa ndege Dar na kobe 173

Jeshi la Polisi, Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere (JNAI), linamshikilia, raia wa Kuwait, Hussein Mansoor, kwa kukutwa na kobe hai 173 aliokuwa akiwasafirisha kueleka nchini kwake.

 

11 years ago

CloudsFM

WIZ KHALIFA AKAMATWA NA BANGI UWANJA WA NDEGE

Rapa wa muziki wa nchini Marekani Wiz Khalifa amedakwa na polisi katika uwanja wa ndege mjini Texas baada ya kukutwa na kitu kinachodaiwa kuwa ni bangi wakati wa zoezi la ukaguzi ndani ya mabegi yake.
Staa huyo anayetamba na ngoma yake ya “Black and Yellow” alikuwa akisafiri kutoka El Paso kwenda Dallas wakati maafisa wa uwanja wa ndege walipokuta mzigo huo ndani ya begi lake ambapo kwa mujibu wa sheria aliwekwa kizuizini na baadae kufikishwa kituo cha polisi.

Lakini Rapa huyo hakuonyesha...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIA WA KUWAIT AKAMATWA UWANJA WA NDEGE DAR NA KOBE 173

 Jeshi la Polisi, Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere (JNAI), linamshikilia, raia wa Kuwait, Hussein Mansoor, kwa kukutwa na kobe hai 173 aliokuwa akiwasafirisha kueleka nchini kwake.Kaimu Mkurugenzi wa Uwanja wa JNIA, Clemence Jingu alisema abiria huyo mwenye hati ya kusafiria yenye namba 003870237, alikamatwa usiku wa kuamkia jana akijitayarisha kupanda ndege ya Emirates iliyokuwa ikielekea Kuwait kupitia Dubai.

Jingu alisema raia huyo alikamatwa saa tano usiku katika eneo la abiria...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA HAI ATEMBELEA ENEO LA TAMBARARE WILAYANI HAI KUJIONEA ATHARI ZA MAFURIKO NA KUTOA POLE KWA WAATHIRIKA

Mbunge wa Jimbo la Hai  Mhe. Freeman Mbowe akiwa na mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Anthony Mtaka walipotembelea katika ukanda wa Tambarare kujionea athari za mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha.Mbunge Mbowe akiwa na biongozi wengine wa wilaya ya Hai wakitazama miundombuni ya reli ilivyochukuliwa na mafuriko.Baadhi ya wananchi wakisalimiana na Mbunge Mbowe katika eneo la mafuriko yaliyosomba reli.Viongozi wa Chama cha mapinduzi wakiwa katika mkutano wa hadhara wa kutoa pole...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA JIMBO LA HAI ATEMBELEA ENEO LA TAMBARALE WILAYANI HAI KUJIONEA ATHARI ZA MAFURIKO NA KUTOA POLE KWA WAATHIRIKA

Mbunge wa Jimbo la Hai  Mhe. Freeman Mbowe akiwa na mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Anthony Mtaka walipotembelea katika ukanda wa Tambarare kujionea athari za mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha.Mbunge Mbowe akiwa na Viongozi wengine wa wilaya ya Hai, wakitizama miundombuni ya reli ilivyochukuliwa na mafuriko.Mbowe akijadili jambo na mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Anthony Mtaka na viongozi wengine baada ya kuona namna ambavyo miundo mbinu ya reli ilivyosombwa na maji.
Baadhi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani