Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AFISA ELIMU SINGIDA ANASWA AKIDAIWA KUJARIBU KUMHONGA TAKUKURU

 Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (PCCB) Mkoa wa Singida, Adili Elinipenda akizungumza na waandishi wa habari leo wakati akitoa taarifa ya shughuli mbalimbali zilizofanywa na taasisi hiyo kwa kipindi cha kati ya January na Aprili mwaka huu. Taarifa ikitolewa kwa waandishi wa habari. Kutoka kulia ni Mkuu wa PCCB Wilaya ya Manyoni, Jerome Mpanda, Naibu  Mkuu wa PCCB Mkoa wa Singida, Mzalendo Widege,  Mkuu wa PCCB Mkoa wa Singida, Adili Elinipenda na  Mkuu wa PCCB Wilaya ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU MANYARA YAMFIKISHA KORTINI AFISA BIASHARA SIMANJIRO

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Manyara kwa kushirikiana na ofisi ya Taifa ya mashataka imemfungulia mashtaka Afisa biashara wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Peter Paul Sanga na msaidizi wa hesabu wa mamlaka ya mji mdogo wa Mirerani Gothard Garfred Mbawala katika kesi ya uhujumu uchumi.

Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mkuu wa TAKUKURU Mkoani Manyara, Holle Joseph Makungu washtakiwa hao walisomewa mashtaka hayo na wakili wa TAKUKURU...

 

10 years ago

Mwananchi

Hakimu anaswa na Takukuru kwa tuhuma za kuomba rushwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imemnasa Hakimu mmoja wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya Sh500,000.

 

10 years ago

Dewji Blog

SEMA Singida kutumia Milioni 80 kuwapiga msasa waratibu wa elimu mikoa ya Singida na Dodoma

DSC04523

Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Singida, Aziza Mumba, akizungumza kwenye ufunguzi wa mafunzo ya zana za ukaguzi na ufuatiliaji wa huduma za maji, elimu na usafi wa mazingira shuleni yaliyohudhuriwa na waratibu kata na walimu wakuu wa shule za msingi manispaa ya Singida. Kulia ni Meneja wa SEMA, Ivo  Manyanku na Kushoto ni mwenyekiti wa mafunzo hayo.

DSC04526

Baadhi ya waratibu na walimu wakuu wa shule za msingi manispaa ya Singida,waliohudhuria  mafunzo ya zana za ukaguzi na ufuatiliaji wa huduma za...

 

9 years ago

StarTV

  Afisa Wanyamapori, mvuvi Singida jela miaka 40 Kumiliki Nyara Za Serikali

 

Afisa Wanyamapori na mvuvi mmoja wa mkoani Singida wamehukumiwa adhabu ya kifungo cha miaka 40 jela kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kumiliki nyara za Serikali zenye thamani shilingi milioni 4.3.

Hukumu hiyo imetolewa na mahakama ya Wilaya ya Singida dhidi ya washitakiwa Afisa Wanyamapori katika halmashauri ya Wilaya ya Singida Augustino Lori (44) na mvuvi Hamza Mbella (40).

Awali mwendesha mashitaka mwanasheria wa Serikali Neema Mwapiana alidai kuwa washitakiwa kwa pamoja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rushwa ya ngono yamtafuna afisa elimu

AFISA Elimu Sekondari wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Julius Kakyama, anaandamwa na tuhuma nzito. Tuhuma hizi zinatoka wilayani Muleba, mkoa wa Kagera alikofanya kazi kabla ya kuhamishwa. Anadaiwa kutumia...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU YAKANUSHA KUSAMBARATISHA MKUTANO WA PROF. MKUMBO, MKOANI SINGIDA

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV

TAASISI ya kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imekanusha taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na Mamlaka hiyo kusambaratisha mkutano wa Katibu mkuu wa Wizara ya Maji, Profesa. Kitila Mkumbo na wajumbe wa mkutano mkuu wa Wilaya (CCM) Iramba, Mkoani Singida.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mamlaka hiyo leo Machi 30 imekanusha na kueleza kuwa taarifa hiyo iliyokuwa ikisambazwa katika mtandao wa kijamii wa Facebook sio kweli.

Imeelezwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

TAKUKURU Singida yawapiga msasa waandishi mapambano dhidi ya rushwa

DSC04815

Mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Singida, Joshua Msuya,akifungua mafunzo ya ushirikishwaji waandishi wa habari katika mapambano dhidi ya rushwa yaliyohudhuriwa na wanachama wa Singida Press Club mkoa wa Singida.Mafunzo hayo ya siku moja,yalifanyika jana  kwenye ukumbi wa mikutano wa TAKUKURU mjini hapa.Wa kwanza kushoto ni kaimu mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Singida,Jaffar Uledi na kulia ni Domina Mukama mratibu wa usimamiaji na utekelezaji wa miradi ya maendeleo (PETS coordinator).

DSC04827

Mwanasheria wa...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU MKOA WA SINGIDA YAMBURUZA KORTINI DAKTARI KWA TUHUMA YA RUSHWA

Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Singida, Adili Elinipenda, akizungumza na waandishi wa habari.
Na Godwin  Myovela,  Singida.TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (PCCB) Mkoa wa Singida imemburuza mahakamani Dkt. Abdul Sewando wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida (Mandewa) akituhumiwa kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa kutoka kwa mgonjwa kinyume na kifungu cha 15 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya Mwaka 2007.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jana kwenye ofisi za PCCB, Mkuu wa...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU MKOA WA SINGIDA YAOKOA SH. MILIONI 46,500,000 ZA WALIMU WASTAAFU


Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi (kushoto) akimkabidhi Sh.22,500,000/= Mwalimu Loth Mwangu zilizookolewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida baada ya kudhulumiwa na mkopeshaji haramu.

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi (kushoto) akimkabidhi Sh. 24,000,000/= Mwalimu Seleman Tyea Mwangu zilizookolewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida.Mwalimu Seleman Tyea Mwangu, akiwa amebeba maburungutu yake ya pesa baada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani