Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wakuu wa UKAWA, Wabunge wawasili kumuaga Kamanda Mawazo

Wakati wapenzi, wafuasi, wanachama, viongozi na wananchi wa maeneo mbalimbali ya Kanda ya Ziwa na wengine wengi kutoka maeneo mbalimbali ya nchi kwa ujumla, wakijiandaa kutoa heshima za mwisho kwa Kamanda Alphonce Mawazo aliyeuwawa kikatili mwishoni mwa juma lililopita akiwa anatekeleza majukumu yake ya kisiasa kama Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, tayari viongozi waandamizi wa chama na

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Ukawa kumuaga Mawazo kwa saa tano

Mawazo* Wapigwa marufuku kula, kunywa wakati wa kuaga

*Lowassa, Mbowe na Sumaye kuongoza waombolezaji

 

NA BENJAMIN MASESE, MWANZA

HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilemela imetoa saa tano kwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kutumia Uwanja wa Furahisha kwa ajili ya kuaga mwili wa marehemu Alphonce Mawazo, kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.

Akitoa ratiba mpya ya kuaga mwili wa Mawazo, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Geita mjini hapa jana, Kaimu...

 

9 years ago

Mwananchi

Korti: Wafuasi ruksa kumuaga Mawazo

Mahakama Kuu kanda ya Mwanza leo mchana imetengua amri ya polisi inayokataza waombolezaji kuuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema mkoani Geita, Alphonce Mawazo.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

KAMANDA ALPHONSE MAWAZO AUAWA

Mwenyekiti wa chadema mkoa wa Geita ameuawa kwa kupigwa mapanga na watu wasiojulikana na kusababisha kufariki duniani.  TUTAWALETEA TAARIFA ZAIDI KADIRI TUTAKAVYOPATA.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Ratiba ya shughuli ya utoaji heshima za mwisho na mazishi ya Kamanda Mawazo

Kesho Siku ya Ijumaa, Novemba 27 saa 2 asubuhi, mwili wa Mpiganaji na Kiongozi wetu Alphonce Mawazo utachukuliwa Hospitali ya Bugando kuelekea nyumbani kwa Baba yake mdogo, eneo la Nyegezi-Swea kwa ajili heshima za familia kabla ya kuelekea Viwanja vya Furahisha ambapo Viongozi waandamizi wa UKAWA, wakiongozwa wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, Mgombea Urais Edward Lowassa, Waziri

 

10 years ago

Vijimambo

MARAIS WAWASILI KUHUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI WA UKANDA WA KATI WA UWEKEZAJI NA VIWANDA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard K. Membe (Mb) akimpokea Rais wa Uganda Mhe.Yoweri Kaguta Museveni alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam. Mhe. Rais Museveni yupo nchini kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Ukanda wa Kati kuhusu Uwekezaji na Viwanda unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuanzia tarehe 25 hadi 26 Machi, 2015. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...

 

10 years ago

GPL

VIONGOZI WAONGOZA KUMUAGA MAREHEMU KOMBA KARIMJEE

Rais Kikwete (katikati) akiwa na makamu wake Gharib Bilal (kushoto) na Anna Makinda katika viwanja vya Karimjee ili kumuaga marehemu Kapteni John Komba. Rais Mstaafu Benjamin Mkapa (wa pili kulia) akiwa na mkewe Anna (wa tatu kulia) wakiwasili viwanja vya…

 

11 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA DINI WAWASILI KUTOKA NCHINI THAILAND

Baadhi ya viongozi wa dini kutoka katika Mikoa ya Lindi na Mtwara wakiwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNIA) kutokea nchini Thailand. Viongozi hao walifanya ziara nchini humo kwa ajili ya kujifunza na kupata uzoefu wa uendelezaji wa sekta ya gesi. Viongozi wa dini wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNIA) kutokea nchini Thailand. Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Mhe. Abdallah Hamis Ulega akizungumza na waandishi wa...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Ukawa kuchanga Mil 33.9 kusaidia familia ya Mawazo

WABUNGE wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wamepanga kuchanga Sh. 33.9 milioni kwa ajili ya kusaidia familia ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoani wa Geita, Alfonce Mawazo. Anaandika Dany Tibason … (endelea).Fedha, hizo zimepatika baada ya wabunge 113 wa Ukawa kuchangishana kiasi Sh. 300,000 kila mmoja ambazo zitakabidhiwa familia

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani