Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ratiba ya shughuli ya utoaji heshima za mwisho na mazishi ya Kamanda Mawazo

Kesho Siku ya Ijumaa, Novemba 27 saa 2 asubuhi, mwili wa Mpiganaji na Kiongozi wetu Alphonce Mawazo utachukuliwa Hospitali ya Bugando kuelekea nyumbani kwa Baba yake mdogo, eneo la Nyegezi-Swea kwa ajili heshima za familia kabla ya kuelekea Viwanja vya Furahisha ambapo Viongozi waandamizi wa UKAWA, wakiongozwa wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, Mgombea Urais Edward Lowassa, Waziri

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CHADEMA Blog

RATIBA RASMI YA MAZISHI YA ALPHONCE MAWAZO

RATIBA RASMI YA MAZISHI YA ALPHONCE MAWAZO ALIYEKUA MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA GEITA.Waheshimiwa Viongozi nitumie fursa hii kuwajulisha ratiba ya mazishi ya Mhe. Kamanda A. C. Mawazo. Kama ifuatavyo:1. Tarehe 21/11/2015 kuaga mwili jijini MWANZA uwanja wa Furahisha na muda SAA 8 -12 jioni.2.Tarehe 22/11/2015 kuaga mwili Geita, saa 6-10 jioni.3.Tarehe 23/11/2015 ni Mazishi Kijiji Chikobe

 

9 years ago

CHADEMA Blog

KAMANDA ALPHONSE MAWAZO AUAWA

Mwenyekiti wa chadema mkoa wa Geita ameuawa kwa kupigwa mapanga na watu wasiojulikana na kusababisha kufariki duniani.  TUTAWALETEA TAARIFA ZAIDI KADIRI TUTAKAVYOPATA.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Viongozi wakuu wa UKAWA, Wabunge wawasili kumuaga Kamanda Mawazo

Wakati wapenzi, wafuasi, wanachama, viongozi na wananchi wa maeneo mbalimbali ya Kanda ya Ziwa na wengine wengi kutoka maeneo mbalimbali ya nchi kwa ujumla, wakijiandaa kutoa heshima za mwisho kwa Kamanda Alphonce Mawazo aliyeuwawa kikatili mwishoni mwa juma lililopita akiwa anatekeleza majukumu yake ya kisiasa kama Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, tayari viongozi waandamizi wa chama na

 

9 years ago

CHADEMA Blog

JESHI LA POLISI LAPIGA MARUFUKU SHUGHULI ZA KUAGA MWILI WA ALPHONSE MAWAZO

Viongozi wa Chadema wakijadiliana baada ya Jeshi la Polisi kupiga marufuku shughuli za kuaga mwili wa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita Ndugu Alphonse Mawazo, zilizokuwa zifanyike Jijini Mwanza.  Pichani baadhi ya vijana walioshiriki kuchimba kaburi la marehemu Alphonse Mawazo anayetarajia kuzikwa kijijini kwao alipozaliwa Mkoani Geita.

 

9 years ago

Mwananchi

Hukumu mvutano mazishi ya mawazo kesho

Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza kesho mchana inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa na ndugu wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo wakipinga zuio la polisi kuchukua na kuaga mwili wa Mawazo kwa maelezo ya kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa Kipindupindu.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mazishi ya Mawazo bado kizungumkuti, CHADEMA kutinga mahakamani


Na:George Binagi-GB Pazzo @BMG

Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimesitisha shughuli za mazishi ya aliekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoani Geita marehemu Alphonce Mawazo, baada ya jeshi la polisi Mkoani Mwanza kuzuia zoezi la kuuaga mwili wake lililokuwa limepangwa kufanyika juzi jumamosi Jijini Mwanza.

Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Freeman Mbowe alibainisha hayo jana wakati akizungumza na Wanahabari Mkoani Mwanza, ili kutoa msimamo wa Chama baada ya kuwepo kwa mazungumzo baina...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mandela amiminiwa heshima za mwisho

Mamia ya watu hii leo wamepata fursa ya mwisho kutoa heshima zao za mwisho kwa Hayati Nelson Mandela ambaye

 

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani