Hukumu mvutano mazishi ya mawazo kesho
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza kesho mchana inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa na ndugu wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo wakipinga zuio la polisi kuchukua na kuaga mwili wa Mawazo kwa maelezo ya kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa Kipindupindu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania26 Nov
Kesi ya Mawazo kutolewa hukumu leo
NA BENJAMIN MASESE, MWANZA
JAJI wa Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha, Lameck Mlacha, anatarajia kutoa hukumu juu ya mvutano wa kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Geita marehemu Alphonce Mawazo jijini Mwanza.
Jaji Mlacha anatarajia kutoa hukumu hiyo leo saa saba mchana baada ya pande zote mbili kueleza hoja zao.
Mawakili wa Serikali, Seth Mkemwa na Emilly Kilia ambao wanamtetea Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Mwanza, Charles Mkumbo aliyezuia...
10 years ago
Mwananchi01 Sep
Mvutano mkali wasubiriwa kesho
9 years ago
StarTV26 Nov
Mahakama kuu Mwanza yatarajiwa kutoa hukumu Leo kuhusu Mwili Wa Mawazo
Mahakama kuu kanda ya Mwanza leo inatarajia kutoa hukumu ya kesi namba 11 ya mwaka 2015 ambayo ni kesi ya polisi dhidi ya Charles Lugwiko baba mdogo wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema mkoa wa Geita Alphonce Mawazo.
Kesi hiyo ilifunguliwa mahakamani hapo kuiomba mahakama iwapatie haki zote za maziko ndugu wa marehemu waishio Mwanza kutokana na jeshi la polisi kuzuia msiba huo kufanyikia Mwanza kutokana na uwepo wa Ugonjwa wa kipindupindu.
Mapema jana majira...
9 years ago
CHADEMA Blog19 Nov
RATIBA RASMI YA MAZISHI YA ALPHONCE MAWAZO
9 years ago
Dewji Blog23 Nov
Mazishi ya Mawazo bado kizungumkuti, CHADEMA kutinga mahakamani
Na:George Binagi-GB Pazzo @BMG
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimesitisha shughuli za mazishi ya aliekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoani Geita marehemu Alphonce Mawazo, baada ya jeshi la polisi Mkoani Mwanza kuzuia zoezi la kuuaga mwili wake lililokuwa limepangwa kufanyika juzi jumamosi Jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Freeman Mbowe alibainisha hayo jana wakati akizungumza na Wanahabari Mkoani Mwanza, ili kutoa msimamo wa Chama baada ya kuwepo kwa mazungumzo baina...
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://3.bp.blogspot.com/-06DrAZ7Zh_0/VleH1S5hp7I/AAAAAAAAXSQ/rGCIfeLX6Z8/s72-c/maxresdefault.jpg)
Ratiba ya shughuli ya utoaji heshima za mwisho na mazishi ya Kamanda Mawazo
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://3.bp.blogspot.com/--6X1aAjxjag/VleFURTD9VI/AAAAAAAAXSE/_FLBoaOTXEw/s72-c/WANANCHI-NA-MBOWE-620x308.jpg)
CHADEMA WASHINDA PINGAMIZI LILILOWEKWA NA RPC MWANZA KUHUSU MAZISHI YA ALPHONSE MAWAZO
10 years ago
Mwananchi24 Sep
Hukumu ya kesi Bunge la Katiba kesho
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
HUKUMU YA LIYUMBA YAAHIRISHWA HADI KESHO