Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA WASHINDA PINGAMIZI LILILOWEKWA NA RPC MWANZA KUHUSU MAZISHI YA ALPHONSE MAWAZO

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akizungumza na wananchi waliojitokeza nje ya mahamaka juu hatma ya kesi ya Alphonce Mawazo. Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, Lameck Mlacha, ametupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na RPC wa Mwanza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya kesi iliyofunguliwa jana na familia ya Marehemu Alphonce mawazo kuomba tafsri ya mahakama baada ya jeshi la

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CHADEMA Blog

HATIMAYE MWILI WA ALPHONSE MAWAZO WAAGWA MWANZA

Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe akipita mbele ya jeneza la Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa wa Geita Ndugu Alphonse Mawazo. Mke wa Marehemu Alphonse Mawazo na mtoto wake Precious Mawazo wakimsikiliza Mchungaji aliyekuwa akiendesha misa ya kumuombea marehemu Alphonse Mawazo

 

9 years ago

Dewji Blog

Kilichojiri Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza kuhusu mwili Mawazo wa Chadema!


Jana Novemba 26,2015 Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza ilitengua zuio la Jeshi la Polisi Mkoani hapa la kuzuia ibada ya mazishi ya kuuaga mwili wa aliekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoani Geita Alphonce Mawazo alieuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana Novemba 14 mwaka huu Mkoani humo.
BONYEZA PLAY KUSIKILIZA BINAGI RADIO-HABARI JUU YA HABARI HIYO.

 

9 years ago

Michuzi

Salamu za Rambi rambi kufuatia Kifo cha mwenyekiti wa chadema mkoa wa Geita Ndugu Alphonse mawazo

Napenda kuchukua fursa hii kuwapa pole Makamanda wenzangu wote ikiwemo Viongozi wa Chadema Makao Makuu, Viongozi wa Chadema Kanda ya Ziwa, Viongozi wa Chadema Mkoa wa Geita na wapenda Mabadiliko wote Tanzania kufuatia  kifo cha Kamanda Alphonse Mawazo kilichotokea leo tarehe 14 Novemba 2015. Kwa kweli nimepokea taarifa ya kifo cha Kamanda Mawazo kwa mshtuko mkubwa hasa kutokana na mazingira ya Kifo chenyewe ambayo inasemekana ameuawa kwa kuvamiwa na kupigwa na Nondo na Mapanga na kusababisha...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mazishi ya Mawazo bado kizungumkuti, CHADEMA kutinga mahakamani


Na:George Binagi-GB Pazzo @BMG

Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimesitisha shughuli za mazishi ya aliekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoani Geita marehemu Alphonce Mawazo, baada ya jeshi la polisi Mkoani Mwanza kuzuia zoezi la kuuaga mwili wake lililokuwa limepangwa kufanyika juzi jumamosi Jijini Mwanza.

Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Freeman Mbowe alibainisha hayo jana wakati akizungumza na Wanahabari Mkoani Mwanza, ili kutoa msimamo wa Chama baada ya kuwepo kwa mazungumzo baina...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

KAMANDA ALPHONSE MAWAZO AUAWA

Mwenyekiti wa chadema mkoa wa Geita ameuawa kwa kupigwa mapanga na watu wasiojulikana na kusababisha kufariki duniani.  TUTAWALETEA TAARIFA ZAIDI KADIRI TUTAKAVYOPATA.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

HATIMAYE ALPHONSE MAWAZO AZIKWA KIJIJINI KWAO GEITA

Mheshimiwa Edward Lowassa na Mheshimiwa Freeman Mbowe wakiwa kijijini alipozaliwa Alphonse Mawazo ambapo shughuli za mazishi zimefanyika. Mke wa Alphonse Mawazo akishriki mazishi ya mumewe yaliyofanyika Kijijini kwao Mkoani Geita. Mtoto wa Alphonse Mawazo Preciuos Mawazo akionekana mwenye sura ya huzuni wakati wa mazishi ya Marehemu baba yake. Precious Mawazo akibusu mwili wa marehemu

 

9 years ago

CHADEMA Blog

MAMIA YA WAKAZI WA BUSANDA WAJITOKEZA KUAGA MWILI WA ALPHONSE MAWAZO

Mgombea urais wa UKAWA kupitia Chadema Mh Edward Lowassa akiwa na Mwenyekiti wa chadema Mh Freeman Mbowe wakiangalia mahali ambapo Alphonse Mawazo aliuawa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani