Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HATIMAYE ALPHONSE MAWAZO AZIKWA KIJIJINI KWAO GEITA

Mheshimiwa Edward Lowassa na Mheshimiwa Freeman Mbowe wakiwa kijijini alipozaliwa Alphonse Mawazo ambapo shughuli za mazishi zimefanyika. Mke wa Alphonse Mawazo akishriki mazishi ya mumewe yaliyofanyika Kijijini kwao Mkoani Geita. Mtoto wa Alphonse Mawazo Preciuos Mawazo akionekana mwenye sura ya huzuni wakati wa mazishi ya Marehemu baba yake. Precious Mawazo akibusu mwili wa marehemu

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CHADEMA Blog

HATIMAYE MWILI WA ALPHONSE MAWAZO WAAGWA MWANZA

Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe akipita mbele ya jeneza la Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa wa Geita Ndugu Alphonse Mawazo. Mke wa Marehemu Alphonse Mawazo na mtoto wake Precious Mawazo wakimsikiliza Mchungaji aliyekuwa akiendesha misa ya kumuombea marehemu Alphonse Mawazo

 

11 years ago

Michuzi

GEORGE TYSON AZIKWA LEO KIJIJINI KWAO SIAYA,NCHINI KENYA.

 Hapa ndipo mwili wa Marehemu George Tyson ulipozikwa mapema leo mchana katika kijiji cha Siaya,nchini Kenya.George Tyson ambaye alikuwa ni mmoja wa Waongozaji filamu mahiri hapa nchini Tanzania,alifarika kwa ajali ya gari wakati akitokea mkoani Dodoma kikazi akirejea jijini Dar.Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi.Amin. Misa ya mwisho ya kumuombea marehemu George Tyson nyumbani kwao mapema leo mchana katika kijiji cha Siaya,nchini Kenya. Ndugu na jamaa mbalimbali wakitoa...

 

9 years ago

Michuzi

Salamu za Rambi rambi kufuatia Kifo cha mwenyekiti wa chadema mkoa wa Geita Ndugu Alphonse mawazo

Napenda kuchukua fursa hii kuwapa pole Makamanda wenzangu wote ikiwemo Viongozi wa Chadema Makao Makuu, Viongozi wa Chadema Kanda ya Ziwa, Viongozi wa Chadema Mkoa wa Geita na wapenda Mabadiliko wote Tanzania kufuatia  kifo cha Kamanda Alphonse Mawazo kilichotokea leo tarehe 14 Novemba 2015. Kwa kweli nimepokea taarifa ya kifo cha Kamanda Mawazo kwa mshtuko mkubwa hasa kutokana na mazingira ya Kifo chenyewe ambayo inasemekana ameuawa kwa kuvamiwa na kupigwa na Nondo na Mapanga na kusababisha...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

KAMANDA ALPHONSE MAWAZO AUAWA

Mwenyekiti wa chadema mkoa wa Geita ameuawa kwa kupigwa mapanga na watu wasiojulikana na kusababisha kufariki duniani.  TUTAWALETEA TAARIFA ZAIDI KADIRI TUTAKAVYOPATA.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

MAMIA YA WAKAZI WA BUSANDA WAJITOKEZA KUAGA MWILI WA ALPHONSE MAWAZO

Mgombea urais wa UKAWA kupitia Chadema Mh Edward Lowassa akiwa na Mwenyekiti wa chadema Mh Freeman Mbowe wakiangalia mahali ambapo Alphonse Mawazo aliuawa.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

JESHI LA POLISI LAPIGA MARUFUKU SHUGHULI ZA KUAGA MWILI WA ALPHONSE MAWAZO

Viongozi wa Chadema wakijadiliana baada ya Jeshi la Polisi kupiga marufuku shughuli za kuaga mwili wa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita Ndugu Alphonse Mawazo, zilizokuwa zifanyike Jijini Mwanza.  Pichani baadhi ya vijana walioshiriki kuchimba kaburi la marehemu Alphonse Mawazo anayetarajia kuzikwa kijijini kwao alipozaliwa Mkoani Geita.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani