RATIBA RASMI YA MAZISHI YA ALPHONCE MAWAZO
RATIBA RASMI YA MAZISHI YA ALPHONCE MAWAZO ALIYEKUA MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA GEITA.Waheshimiwa Viongozi nitumie fursa hii kuwajulisha ratiba ya mazishi ya Mhe. Kamanda A. C. Mawazo. Kama ifuatavyo:1. Tarehe 21/11/2015 kuaga mwili jijini MWANZA uwanja wa Furahisha na muda SAA 8 -12 jioni.2.Tarehe 22/11/2015 kuaga mwili Geita, saa 6-10 jioni.3.Tarehe 23/11/2015 ni Mazishi Kijiji Chikobe
CHADEMA Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://3.bp.blogspot.com/-06DrAZ7Zh_0/VleH1S5hp7I/AAAAAAAAXSQ/rGCIfeLX6Z8/s72-c/maxresdefault.jpg)
Ratiba ya shughuli ya utoaji heshima za mwisho na mazishi ya Kamanda Mawazo
9 years ago
StarTV25 Nov
Mahakama kuu Mwanza yaahirisha kesi Kuaga Mwili Wa Alphonce Mawazo
Mahakama kuu Kanda ya Mwanza imeahirisha kesi iliyofunguliwa na familia ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoa wa Geita Marehemu Alphonce Mawazo kupinga amri ya Polisi kuzuia mwili wake usiagwe jijini Mwanza.
Kesi hiyo namba 11 ya mwaka 2015 ambayo imefunguliwa mchana wa leo ikisimamiwa na wakili James Milya na John Malya kutoka Chadema na itatajwa tena Novemba 25 mwaka huu
Mapema asubuhi mahakama kuu kanda ya Mwanza imeruhusu maombi ya baba mdogo wa...
9 years ago
StarTV28 Nov
 Kifo Cha Alphonce Mawazo Mwili wake kuagwa leo Furahisha Mwanza
Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoani Geita Alphonce Mawazo unatarajiwa kuagwa leo katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza na baadae kusafirishwa kupelekwa mkoani Geita kwa maandalizi ya mazishi.
Mwili huo ulitakiwa kuagwa jumamosi iliyopita zoezi ambalo lilikwama baada ya zuio la jeshi la polisi mkoani Mwanza kabla ya mahakama kuu kutengua pingamizi hilo mapema jana.
Viongozi wa CHADEMA wamekutana na wanahabari jijini Mwanza kuwaeleza...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-OQExrRc44Ys/VYwRpbnf6fI/AAAAAAAHj94/j4G1Q0vKSG0/s72-c/s.jpg)
RATIBA YA KUAGA RASMI NA MAZISHI YA MAREHEMU DONALD MAX, SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 27 JUNI, 2015 KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE NA MAKABURI YA KINONDONI
![](http://3.bp.blogspot.com/-OQExrRc44Ys/VYwRpbnf6fI/AAAAAAAHj94/j4G1Q0vKSG0/s400/s.jpg)
NA. MUDA TUKIO MHUSIKA MAHALI 1. 12:00 - 02:00 Familia kuandaa Mwili wa Marehemu Familia Nyumbani 2. 02:00 - 04:00 Taratibu za Kimila Familia Nyumbani 3. 04:00 - 05:00 Chai/Chakula Familia Nyumbani 4. 04:00 - 05:00 § Waombolezaji kuwasili katika Viwanja vya Karimjee Katibu wa Bunge Karimjee
§ Viongozi wa Vyama vya Siasa, Waheshimiwa wa Wabunge, Manaibu Waziri, Mawaziri kuwasili na kuketi katika Nafasi zao ...
9 years ago
Mwananchi25 Nov
Hukumu mvutano mazishi ya mawazo kesho
9 years ago
Dewji Blog23 Nov
Mazishi ya Mawazo bado kizungumkuti, CHADEMA kutinga mahakamani
Na:George Binagi-GB Pazzo @BMG
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimesitisha shughuli za mazishi ya aliekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoani Geita marehemu Alphonce Mawazo, baada ya jeshi la polisi Mkoani Mwanza kuzuia zoezi la kuuaga mwili wake lililokuwa limepangwa kufanyika juzi jumamosi Jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Freeman Mbowe alibainisha hayo jana wakati akizungumza na Wanahabari Mkoani Mwanza, ili kutoa msimamo wa Chama baada ya kuwepo kwa mazungumzo baina...
10 years ago
Michuzi10 Oct
10 years ago
Dewji Blog10 Oct
Ratiba mazishi ya Dkt. Shija
Marehemu Dkt. William Shija enzi za uhai wake.
Ratiba ya Mazishi Dr. Shija one.docx by moblog
11 years ago
GPLRATIBA YA MAZISHI YA MAALIM GURUMO