Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RATIBA YA MAZISHI YA MAALIM GURUMO

Mzee Muhidin Maalim Gurumo enzi za uhai wake. -LEO saa 10 jioni kutakuwa na kisomo nyumbani kwa marehemu Tabata-Kisukulu jijini Dar es Salaam.
-Kesho saa 3 asubuhi mwili wa marehemu utawasili nyumbani kwake kwa ajili ya sala.
-Saa 4 asubuhi safari ya kuelekea kijiji cha Masaki wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani kwa…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

R.I.P MUHIDIN MAALIM GURUMO

Mzee Gurumo akiwa na Msondo Ngoma enzi za uhai wake. Maalim Gurumo (katikati) akiimba sambamba na Shabani Dede (kulia) na …

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwaheri Maalim Gurumo

NGULI wa muziki wa dansi nchini, Muhidin Maalim Gurumo ‘Mjomba’, amefariki dunia jana katika hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akiwa na umri wa miaka 73. Gurumo, mwanamuziki mwenye historia ndefu...

 

11 years ago

GPL

MAZISHI YA GURUMO YALIVYOKUWA KISARAWE LEO

Mwili wa marehemu ukishushwa kaburini. Waombolezaji wakiwa kaburini tayari kuupokea mwili wa Gurumo na kuuhifadhi.…

 

11 years ago

GPL

SAA 72 ZA MWISHO WA MAALIM GURUMO

Stori:  Oscar Ndauka MWANAMUZI nguli wa muziki wa dansi nchini, Muhidini Maalim Gurumo aliyefahamika pia kama kamanda na mashabiki wa muziki wa dansi, aliyeaga dunia Jumapili iliyopita katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar, alikutana na mateso ya kwa saa 72 za mwisho wake baada ya kulazwa akiwa taabani kwa siku tatu. Mwanamuziki Muhidini Maalim Gurumo akiwa mahututi katika hospitali ya Taifa Muhimbili. Mtoto wa marehemu...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

KIPINDI MAALUM: MSIBANI KWA MAALIM GURUMO

GLOBAL TV ONLINE ilipotembelea msibani kwa marehemu Muhidin 'Maalim' Gurumo huko Mabibo, Makuburi jijini Dar es Salaam na kuongea na wanafamilia akiwemo mke wa marehemu Bi.Pili Said. (Video na Patrick Buzohera /…

 

11 years ago

GPL

JK AHANI MSIBA WA MUHIDIN MAALIM GURUMO JIONI YA JANA

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo (mwenye shuka nyeupe) na wanafamilia alipokwenda kuhani msimba huo Ubungo Makuburi jioni ya jana April 15, 2014, siku ambayo marehemu alizikwa kijijini kwao Masaki, Kisarawe, Mkoa wa Pwani.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete pole Bw. Abdallah Muhidin Gurumo, mtoto wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo na wanafamilia alipokwenda kuhani msimba huo Ubungo...

 

11 years ago

GPL

HUYU NDIYE MUHIDIN ‘MAALIM’ GURUMO

Mwanamuziki mkongwe nchini, Muhidin 'Maalim' Gurumo enzi za uhai wake. JUZI tasnia ya muziki nchini ilipata pigo kufuatia kuondokewa na mwanamuziki wake mkongwe na mahiri, Muhidin ‘Maalim’ Gurumo ambaye alifariki dunia saa 9 alasiri kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili, Wadi ya Mwaisela alikokuwa amelazwa.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani