Kwaheri Maalim Gurumo
NGULI wa muziki wa dansi nchini, Muhidin Maalim Gurumo ‘Mjomba’, amefariki dunia jana katika hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akiwa na umri wa miaka 73. Gurumo, mwanamuziki mwenye historia ndefu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLR.I.P MUHIDIN MAALIM GURUMO
Mzee Gurumo akiwa na Msondo Ngoma enzi za uhai wake. Maalim Gurumo (katikati) akiimba sambamba na Shabani Dede (kulia) na …
11 years ago
GPLRATIBA YA MAZISHI YA MAALIM GURUMO
Mzee Muhidin Maalim Gurumo enzi za uhai wake. -LEO saa 10 jioni kutakuwa na kisomo nyumbani kwa marehemu Tabata-Kisukulu jijini Dar es Salaam.
-Kesho saa 3 asubuhi mwili wa marehemu utawasili nyumbani kwake kwa ajili ya sala.
-Saa 4 asubuhi safari ya kuelekea kijiji cha Masaki wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani kwa…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LzTY94yzCcIPaUiyuZgEqTtSyEbPkGqIaugK7tdOb95G-Mfc3CoJk*zB823XWhPCh2VxM3zUq4zlonxv*PQ5Rti5nQb013J5/maalimu.jpg?width=650)
SAA 72 ZA MWISHO WA MAALIM GURUMO
Stori:Â Oscar Ndauka MWANAMUZI nguli wa muziki wa dansi nchini, Muhidini Maalim Gurumo aliyefahamika pia kama kamanda na mashabiki wa muziki wa dansi, aliyeaga dunia Jumapili iliyopita katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar, alikutana na mateso ya kwa saa 72 za mwisho wake baada ya kulazwa akiwa taabani kwa siku tatu. Mwanamuziki Muhidini Maalim Gurumo akiwa mahututi katika hospitali ya Taifa Muhimbili. Mtoto wa marehemu...
11 years ago
Michuzi13 Apr
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
KIPINDI MAALUM: MSIBANI KWA MAALIM GURUMO
GLOBAL TV ONLINE ilipotembelea msibani kwa marehemu Muhidin 'Maalim' Gurumo huko Mabibo, Makuburi jijini Dar es Salaam na kuongea na wanafamilia akiwemo mke wa marehemu Bi.Pili Said. (Video na Patrick Buzohera /…
11 years ago
GPLSALAAM ZA RAMBIRAMBI KWA KIFO CHA MAALIM GURUMO
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za msiba wa msanii nguli wa tasnia ya muziki wa Dansi nchini Muhidini Maalimu Ngurumo. “Baraza limestushwa na kuhuzunishwa sana kutokana na taarifa ya kifo hiki cha Muhidini Maalimu Ngurumo ambaye mchango wake katika muziki wa dansi ni mkubwa mno na unahitajika sana, pengo aliloliacha ni kubwa kwani ubunifu wake bado unahitajika katika tasnia...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4MXCALxsrL2IM1jk8sT0qOCFLAi5AEDcNKXp1rG26CxMGBMA5DC4qDH3R3HzWhA4J78MFZ57ZCir91yrvYQMZ5PZ74gTsoFK/g1.jpg?width=650)
JK AHANI MSIBA WA MUHIDIN MAALIM GURUMO JIONI YA JANA
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo (mwenye shuka nyeupe) na wanafamilia alipokwenda kuhani msimba huo Ubungo Makuburi jioni ya jana April 15, 2014, siku ambayo marehemu alizikwa kijijini kwao Masaki, Kisarawe, Mkoa wa Pwani.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete pole Bw. Abdallah Muhidin Gurumo, mtoto wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo na wanafamilia alipokwenda kuhani msimba huo Ubungo...
11 years ago
GPLYALIYOJIRI JANA NYUMBANI KWA MAREHEMU MAALIM GURUMO
Picha ya marehemu maalim Gurumo enzi za uhai wake akiwa na mkewe. Ndugu wa marehemu Gurumo wakiwa katika picha ya pamoja, kuanzia kushoto ni mtoto wake Mwalimu Muhidin, Mariamu Muhidin na Omari Muhidin anayefuatia ni kaka wa marehemu bwana Ramadhani Mwishehe.…
11 years ago
GPL16 Apr
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania