Ukawa kuchanga Mil 33.9 kusaidia familia ya Mawazo
![](http://1.bp.blogspot.com/-Cz_jr6rEhnI/VlECqdV5poI/AAAAAAAAXLQ/a-D-3iSnQ6U/s72-c/Picha_no_7-620x308.jpg)
WABUNGE wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wamepanga kuchanga Sh. 33.9 milioni kwa ajili ya kusaidia familia ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoani wa Geita, Alfonce Mawazo. Anaandika Dany Tibason … (endelea).Fedha, hizo zimepatika baada ya wabunge 113 wa Ukawa kuchangishana kiasi Sh. 300,000 kila mmoja ambazo zitakabidhiwa familia
CHADEMA Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi04 Dec
Familia ya Mawazo yaishi mafichoni
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://img.youtube.com/vi/lkZykkHf23Q/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Mil. 44/- kusaidia waathirika wa mafuriko
HATIMAYE Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalumu la Katiba imeridhia wajumbe wake kukatwa posho ya siku moja ambayo ni sh 70,000 kila mjumbe ili kuwasaidia waliokumbwa na mafuriko, Mkoa wa...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
SEMA yatumia mil. 25/- kusaidia wakulima
SHIRIKA la Mpango Endelevu wa Uboreshaji Mazingira (SEMA), limetumia zaidi ya sh milioni 25 kununua vifaa vyenye ujumbe utakaowasaidia wakulima kubadilika ili kuendana na mabadiliko ya tabia nchi. Hayo yamesemwa...
9 years ago
Mtanzania28 Nov
Ukawa kumuaga Mawazo kwa saa tano
* Wapigwa marufuku kula, kunywa wakati wa kuaga
*Lowassa, Mbowe na Sumaye kuongoza waombolezaji
NA BENJAMIN MASESE, MWANZA
HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilemela imetoa saa tano kwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kutumia Uwanja wa Furahisha kwa ajili ya kuaga mwili wa marehemu Alphonce Mawazo, kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.
Akitoa ratiba mpya ya kuaga mwili wa Mawazo, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Geita mjini hapa jana, Kaimu...
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://1.bp.blogspot.com/-b4RdmlEv1_s/VlCAf2EcguI/AAAAAAAAXJ8/DOJw-tibZ8I/s72-c/maxresdefault.jpg)
Viongozi wakuu wa UKAWA, Wabunge wawasili kumuaga Kamanda Mawazo
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-7-aiFlmZF48/XoHdlcVAtRI/AAAAAAABL9o/8C1yFrMpE-IleVXrFF7RnCgp6OlehMvxgCLcBGAsYHQ/s72-c/mm.jpg)
NMB YATOA MCHANGO WA SH. MIL 100 KWA SERIKALI KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-7-aiFlmZF48/XoHdlcVAtRI/AAAAAAABL9o/8C1yFrMpE-IleVXrFF7RnCgp6OlehMvxgCLcBGAsYHQ/s640/mm.jpg)
10 years ago
Dewji Blog13 Dec
TBL yatoa sh. mil 18 za kusaidia ukarabati wa miundombinu iliyoharibika soko la Machinga Ilala, Dar
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kulia) akimkabidhi hundi yenye thamani ya sh. mil. 18.9, kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Gotam General Traders, Winner Taluka (wa pili kushoto) kwa ajili ya kusaidia ukarabati wa miundombinu ya maji iliyoharibika baada ya Soko la Mchikichini Ilala kuteketea kwa moto. Wanaoshuhudia hafla hiyo iliyofanyika Dar es Salaam jana, kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa soko hilo, Rehema Matali, Mjumbe wa Kamati ya...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-p-8O132co40/U9Jhrl5yIDI/AAAAAAAF6RU/nNAYE26Giiw/s72-c/unnamed+(26).jpg)
CRDB yatoa mchango wa Mil. 3 kusaidia shule iliyopata janga la moto,wilayani Monduli
![](http://4.bp.blogspot.com/-p-8O132co40/U9Jhrl5yIDI/AAAAAAAF6RU/nNAYE26Giiw/s1600/unnamed+(26).jpg)