Familia ya Mawazo yaishi mafichoni
Zikiwa zimepita siku nne tangu aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo kuzikwa kijijini kwake Chikobe, Kaimu Katibu Mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu amesema wamelazimika kuitorosha familia yake ili kunusuru maisha yao baada ya watu wasiojulikana kuvamia nyumbani kwake, kufanya fujo na kujaribu kuvuruga kaburi lake kwa kutawanya udongo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-SOrIQsJAbHA/UwWcr2OUN6I/AAAAAAAFOMo/OWQlg-kSv_I/s72-c/unnamed+(26).jpg)
Familia yaishi chooni ni baada ya nyumba yao kuezuliwa na upepo wilayani Hai, Kilimanjaro
![](http://2.bp.blogspot.com/-SOrIQsJAbHA/UwWcr2OUN6I/AAAAAAAFOMo/OWQlg-kSv_I/s1600/unnamed+(26).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-VLQvuBEzzk0/UwWcuB1NhcI/AAAAAAAFONU/f1djxonSZQA/s1600/unnamed+(27).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-9oVrkfSwMOc/UwWcr9dGyOI/AAAAAAAFOMs/8toypbl_z-g/s1600/unnamed+(28).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-vTmOccjnXyE/UwWcsRbPtkI/AAAAAAAFOM0/s47sJ-CDGfc/s1600/unnamed+(29).jpg)
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://1.bp.blogspot.com/-Cz_jr6rEhnI/VlECqdV5poI/AAAAAAAAXLQ/a-D-3iSnQ6U/s72-c/Picha_no_7-620x308.jpg)
Ukawa kuchanga Mil 33.9 kusaidia familia ya Mawazo
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://img.youtube.com/vi/lkZykkHf23Q/default.jpg)
10 years ago
Mtanzania15 May
Rais wa Burundi mafichoni
Waaandishi Wetu, Bujumbura na Dar
WAKATI makundi hasimu ya askari nchini Burundi yakipambana vikali kugombea kuudhibiti mji mkuu wa nchi hiyo, Bunjumbura, Rais Pierre Nkurunzinza yuko mafichoni kusikojulikana.
Hayo yamefahamika huku kukiwa na utata na mkanganyiko mkubwa kuhusu mafanikio ya jaribio la mapinduzi lililoongozwa na Meja Jenerali Godefroid Niyombare.
Jenerali Niyombare ambaye pia ni balozi wa zamani wa Burundi nchini Kenya alitimuliwa ukuu wa usalama na Nkrunzinza Februari mwaka...
10 years ago
Mwananchi08 Aug
Yanga, Azam zaenda mafichoni
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Aden Rage aibuka ‘mafichoni’
WAKATI ikiwa si shwari ndani ya klabu ya Simba, hatimaye Mwenyekiti wake, Ismail Aden Rage ‘Tutu Vengere’ jana aliibuka jijini Dar es Salaam na kujinasibu kuwa yeye ni ‘mwanaume wa...
10 years ago
Raia Tanzania13 Jul
Hofu ya Kagame; Yanga yaingia mafichoni
CLARA ALPHONCE Dar
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga leo wanatarajia kuingia kambi ya maficho kujiandaa na mechi ya ufunguzi ya Michuano ya Kagame inayotarajia kuanza rasmi Jumamosi hii katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam dhidi ya Gor Mahia ya Kenya.
Yanga ambao walianza mazoezi yake rasmi mwezi uliopita nane kujiandaa na michuano hiyo, ilikuwa inafanya mazoezi huku wachezaji wakitokea nyumbani.
Mpaka sasa Yanga imecheza michezo minne ya kirafiki kujiandaa na...
10 years ago
BBCSwahili22 Aug
Meneja redio Shabelle yuko mafichoni’
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lihD20i2jrzMttmixaVPrvmSEYetsgJHH7NQwTs7UK3WfB-CzokPPt8nfTRNNpfk47tSlEqih*h0N3NbKvCQRCT6*aHqN042/1.jpg)
GAIDI JIHADI JOHN ASEMEKANA KUKIMBILIA MAFICHONI LIBYA