Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga, Azam zaenda mafichoni

Wiki mbili kabla ya Yanga na Azam kukutana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii, Agosti 22, timu hizo zimelikimbia jiji na kwenda mafichoni ili kunoa makucha yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

Hofu ya Kagame; Yanga yaingia mafichoni

CLARA ALPHONCE Dar

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga leo wanatarajia kuingia kambi ya maficho kujiandaa na mechi ya ufunguzi ya Michuano ya Kagame inayotarajia kuanza rasmi Jumamosi hii katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam dhidi ya Gor Mahia ya Kenya.

Yanga ambao walianza mazoezi yake rasmi mwezi uliopita nane kujiandaa na michuano hiyo, ilikuwa inafanya mazoezi huku wachezaji wakitokea nyumbani.

Mpaka sasa Yanga imecheza michezo minne ya kirafiki kujiandaa na...

 

10 years ago

Mtanzania

Rais wa Burundi mafichoni

rais nkurunzinzaWaaandishi Wetu, Bujumbura na Dar

WAKATI makundi hasimu ya askari nchini Burundi yakipambana vikali kugombea kuudhibiti mji mkuu wa nchi hiyo, Bunjumbura, Rais Pierre Nkurunzinza yuko mafichoni kusikojulikana.

Hayo yamefahamika huku kukiwa na utata na mkanganyiko mkubwa kuhusu mafanikio ya jaribio la mapinduzi lililoongozwa na Meja Jenerali Godefroid Niyombare.
Jenerali Niyombare ambaye pia ni balozi wa zamani wa Burundi nchini Kenya alitimuliwa ukuu wa usalama na Nkrunzinza Februari mwaka...

 

9 years ago

Habarileo

Ni Yanga na Azam

MBIO za kukalia kiti cha uongozi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, sasa zimebaki kuwa za timu mbili za Yanga na Azam FC, ambao wamekuwa wakibadilishana katika nafasi ya kwanza na pili.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aden Rage aibuka ‘mafichoni’

WAKATI ikiwa si shwari ndani ya klabu ya Simba, hatimaye Mwenyekiti wake, Ismail Aden Rage ‘Tutu Vengere’ jana aliibuka jijini Dar es Salaam na kujinasibu kuwa yeye ni ‘mwanaume wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Familia ya Mawazo yaishi mafichoni

Zikiwa zimepita siku nne tangu aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha  Demokrasia na Maendeleo  (Chadema) Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo kuzikwa kijijini kwake Chikobe, Kaimu Katibu Mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu amesema  wamelazimika kuitorosha familia yake ili kunusuru maisha yao baada ya watu wasiojulikana kuvamia  nyumbani kwake,  kufanya fujo na kujaribu kuvuruga kaburi lake kwa kutawanya udongo.

 

9 years ago

TheCitizen

Yanga down Azam on penalties

The National Stadium turned into a sea of green and yellow when Mainland champions Young Africans beat Azam FC 8-7 on post-match penalties in the Community Shield match yesterday.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Yanga, Azam moto

TIMU za Yanga na Azam, jana zilizinduka katika mbio za Ligi Kuu Tanzania bara, baada ya kuibuka na ushindi zikitoka kufungwa mechi zilizopita katika viwanja vya ugenini. Wakati Yanga wakilimwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ni vita Yanga, Azam

KIVUMBI cha Ligi Kuu Tanzania Bara, kinatarajiwa kuendelea tena leo katika viwanja viwili kwa timu ya Yanga kuwakaribisha Kagera Sugar katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Wakati Yanga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani