Hofu ya Kagame; Yanga yaingia mafichoni
CLARA ALPHONCE Dar
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga leo wanatarajia kuingia kambi ya maficho kujiandaa na mechi ya ufunguzi ya Michuano ya Kagame inayotarajia kuanza rasmi Jumamosi hii katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam dhidi ya Gor Mahia ya Kenya.
Yanga ambao walianza mazoezi yake rasmi mwezi uliopita nane kujiandaa na michuano hiyo, ilikuwa inafanya mazoezi huku wachezaji wakitokea nyumbani.
Mpaka sasa Yanga imecheza michezo minne ya kirafiki kujiandaa na...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Aug
Yanga, Azam zaenda mafichoni
10 years ago
MichuziAZAM YAINGIA FAINALI YA KAGAME 2015, KUCHEZA NA GOR MAHIA
10 years ago
Vijimambo13 Oct
YANGA YAINGIA KAMBINI KUNDUCHI
![](http://www.youngafricans.co.tz/images/stories/yanga-team.jpg)
Kuelekea kwenye mpambano wa watani wa jadi YANGA Vs SIMBA siku ya jumamosi Oktoba 18, kikosi cha timu ya Young Africans kimeingia kambini leo mchana katika hoteli ya Landmark iliyopo eneo la Kunduchi kujiandaa na mchezo huo ambao umeteka hisia za wapenzi wa soka nchini Tanzania na ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.Kocha mkuu Marcio Maximo ameingia kambini na kikosi cha wachezaji 28 kujiandaa na mchezo huo ambapo kikosi chake kitakua kikifanya mazoezi...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-oQTCbsSj9bA/U8Uu6mOXpDI/AAAAAAAClcM/S7gkEhjKCnw/s72-c/Crescentius-Jogn-Magori-NSSF-speaking-at-SafeCare-Conference-2013.jpg)
YANGA SC YAINGIA MAKUBALIANO YA KUNUNUA NYUMBA KWA AJILI YA WACHEZAJI WAKE NA NSSF
![](http://2.bp.blogspot.com/-oQTCbsSj9bA/U8Uu6mOXpDI/AAAAAAAClcM/S7gkEhjKCnw/s1600/Crescentius-Jogn-Magori-NSSF-speaking-at-SafeCare-Conference-2013.jpg)
Akizungumza leo katika mkutano maalum na wachezaji hao Mkurugenzi wa uendeshaji NSSF , Crecentius Magori amewaambia wachezaji hao kijana mjanja mjini ni yule ambaye ana miliki nyumba ama ardhi kuliko magari huku akiwahamasisha wachezaji wa Yanga kuchangamkia ununuzi wa nyumba hizo ambazo ziko katika mradi wa makao mapya katika kijiji cha
Dege Kigamboni jijini Dar es...
11 years ago
Tanzania Daima01 Aug
Nsajigwa kuinoa Yanga Kagame
KLABU ya Yanga imewateua Kocha Msaidizi, Mbrazil Leonardo Neiva na beki wa zamani wa timu hiyo na Taifa Stars, Shadrack Nsajigwa ambaye ni kocha wa timu B kusafiri na kikosi...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Kagame yaipeleka Yanga Pemba
KLABU ya Yanga, imepanga kuipeleka timu visiwani Pemba kwa kambi ya kujiandaa na michuano ya Kombe la Kagame itakayoanza Agosti 8, jijini Kigali, Rwanda. Yanga iliyopo kundi A, itaanza kampeni...
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Yanga yaanika nyota Kagame
KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, jana alitangaza kikosi kitakachokwenda mjini Kigali, Rwanda kucheza michuano ya Kombe la Kagame itakayoanza kutimua vumbi Agosti 8. Akizungumza jijini Dar...
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Yanga kuongeza wa Stars Kagame
NYOTA sita wa klabu ya Yanga waliotua nchini jana wakiwa na kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, watajumuishwa katika safari ya kwenda Kigali, Rwanda kushiriki michuano ya...
10 years ago
GPLYANGA YAJIWINDA NA KOMBE LA KAGAME