Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwili wa Kada wa Chadema Mawazo kuagwa Kitaifa katika uwanja wa Furahisha jijini Mwanza!

Mkutano wa Naibu Katibu Mkuu Chadema Salum Mwalimu na Wanahabari Jijini Mwanza hii leo. Na:Binagi Media Group Mwili wa aliekuwa
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mkoa wa Geita Marehemu
Alphonce Mawazo, kesho unatarajiwa kuagwa Jijini Mwanza kabla ya kusafirisha
kwenda Mkoani humo kwa ajili ya Mazishi.   Kaimu Katibu Mkuu wa Chadema Salum Mwalimu, amesema Marehemu Mawazo
ataagwa Kitaifa kwa taratibu za chama hicho, katika uwanja wa Furahisha Jijini
Mwanza.   Amesema...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

  Kifo Cha Alphonce Mawazo Mwili wake kuagwa leo Furahisha Mwanza

 

Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoani Geita Alphonce Mawazo unatarajiwa kuagwa leo katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza na baadae kusafirishwa kupelekwa mkoani Geita kwa maandalizi ya mazishi.

Mwili huo ulitakiwa kuagwa jumamosi iliyopita zoezi ambalo lilikwama baada ya zuio la jeshi la polisi mkoani Mwanza kabla ya mahakama kuu kutengua pingamizi hilo mapema jana.

Viongozi wa CHADEMA wamekutana na wanahabari jijini Mwanza kuwaeleza...

 

9 years ago

Michuzi

HATIMA YA MWILI WA MAREHEMU MAWAZO KUAGWA JIJINI MWANZA KUAMULIWA KESHO NA MAHAKAMA


Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akitoa taarifa kwa wananchi baada ya Chadema Kufungua Kesi Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza kupinga kuzuiliwa kwa mwili wa Marehemu Mawazo kuagwa Jijini Mwanza.
Na George Binagi - GB Pazzo wa Binagi Media Group
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema leo kimefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, ili kuiomba Mahakama hiyo kutengua zuio la kuuaga mwili wa aliekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Geita Marehemu Alphonce Mawazo, lililotolewa na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Hatima ya mwili wa Mawazo kuagwa ama kutoagwa Jijini Mwanza kujulikana leo

Na:George Binagi-GB Pazzo wa Binagi Media Group

Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza leo imeahirisha kesi ya madai ya kuomba ridhaa ya kufanya ibada ya Mazishi ya aliekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mkoani Geita Marehemu Alphonce Mawazo iliyowasilishwa na Mchungaji Charles Lugiko ambae ni baba mlezi wa marehemu Mawazo

Katika kesi hiyo, mlalamikaji anaiomba mahakama kuondoa zuio la jeshi la polisi Mkoani Mwanza la kutoruhusu shughuli ya kuuaga mwili wa marehemu Mawazo...

 

9 years ago

Mwananchi

Mawazo kuagwa kwa saa nne jijini Mwanza

Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo unatarajiwa kuagwa kitaifa leo kwenye Viwanja vya Furahisha jijini hapa tukio litakalotumia saa nne na kuhudhuriwa na viongozi wakuu wa kitaifa wa chama hicho.

 

9 years ago

Dewji Blog

Kilichojiri Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza kuhusu mwili Mawazo wa Chadema!


Jana Novemba 26,2015 Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza ilitengua zuio la Jeshi la Polisi Mkoani hapa la kuzuia ibada ya mazishi ya kuuaga mwili wa aliekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoani Geita Alphonce Mawazo alieuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana Novemba 14 mwaka huu Mkoani humo.
BONYEZA PLAY KUSIKILIZA BINAGI RADIO-HABARI JUU YA HABARI HIYO.

 

5 years ago

Michuzi

PICHA MBALIMBALI ZA KUAGWA KWA MWILI WA MAREHEMU JAJI RAMADAHANI LEO KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR



Mke wa aliyekuwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Marehemu  Augustino Ramadhani,  Saada Ramadhani (katikati)  ambaye  ni Luteni Kanali Mstaafu wa Jeshi la Wananchi  wa Tanzania (JWTZ) akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mumewe leo kwenye viwanja vya Karimjee vilivyoko Jijini Dar es Salaam wakati wa   Mazishi ya Kitaifa.Watoto wa  aliyekuwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Marehemu  Augustino Ramadhani na ndugu wakimsaidia Mke wa marehemu, Saada Ramadhani...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA ATIA FORA MWANZA MJINI, MAELFU WAFURIKA MKUTANONI UWANJA WA FURAHISHA, AWAPIGIA SALUTI

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwapigia saluti, maelfu ya wananchi, alipowasili kuhutubia mkutano wake wa hadhara aliofanya leo kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na uhai wa Chama mkoani Mwanza.Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwahamasisha maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana uliofanyika leo katika Vianja vya Furahisha Jijini Mwanza."'SAFI SANA"Katibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani