TELA LA MAFUTA LAPINDUKA MATAA YA VETA JIONI HII
Lori la mafuta limekata tela lenye namba za usajili T 172ABT na kupibnduka jioni hii katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela jijini Dar es Saam kwa kile kilichoelezwa na baadhi ya mashuhuda kuwa ni mwendo kasi aliyokuwa nao dereva wa lori hilo aliyekuwa akikata kona akitokea mjini Barabara ya Nyerere kwenda barabara ya Kawawa.Mafuta aina ya petroli yakimwagikaPolisi Usalama barabarani wakilinda eneo hiloTela hilo T 172ABT likiwa chini Picha kwa hisani ya Father Kidevu
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLLORI LA TANKI LA MAFUTA LAPINDUKA
11 years ago
GPLLORI LA LAPINDUKA KIMARA WATU WANAJISEVIA MAFUTA KWA NDOO
10 years ago
GPLTASWIRA KUTOKA JIJINI CHICAGO JIONI HII
9 years ago
VijimamboMAMA SAMIA AITEKA KONGA JIONI HII
9 years ago
VijimamboMAMA SAMIA AITEKA BAGAMOYO JIONI HII
11 years ago
MichuziJUST IN: JK AHANI MSIBA WA MUHIDIN MAALIM GURUMO JIONI HII
Marehemu Gurumo, aliyefariki dunia juzi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matatizo ya moyo, atakumbukwa kama Baba wa Muziki wa dansi nchini akianzia miaka ya 1960 na bendi mbalimbali ikiwemo NUTA Jazz na kumalizia...
10 years ago
MichuziMZINGA: GARI YA SERIKALI YA YAPARAMIA UKUTA JIONI HII
10 years ago
GPLTEGETA ESCROW: KIKAO CHA BUNGE JIONI HII