TEGETA ESCROW: KIKAO CHA BUNGE JIONI HII
Mhe. Tundu Lissu. MWENYEKITI ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ilala Mhe. Mussa Azzan Zungu: Wananchi wanataka kujua ukweli, na anatoa nasaha zake ili bunge lisilete fujo Tundu Lissu: Anaomba radhi ya kauli ya jana kuhusu tuhuma ya wakili kumuua mkewe. Escrow: Muhongo kapotosha, viambatanisho haviwakilishi alivyosema. Muhongo ameleta vitu viwili tofauti na ni upotoshaji mtupu. Pesa za Escrow ni za umma au binafsi, Muhongo anasema ni...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo27 Nov
HII NDIO MAELEZO YA SERIKALI KUHUSU SAKATA LA IPTL NA TEGETA ESCROW ALIYOIWASILISHA BUNGENI LEO
TAARIFA YA WAZIRI WA NISHANI NA MADINI PROF.MUHONGO KUHUSIANA NA SAKATA LA IPTL NA TEGETA ESCROW ALIYOIWASILISHA BUNGENI LEO BONYEZA HAPA USOME TAARIFA KAMILI
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2L_mtRvSSxg/VJsy2KjEmnI/AAAAAAAG5rM/-lmDrQRfxdw/s72-c/Untitled1.png)
WANAFUNZI WA VYUO VYA ELIMU YA JUU WAMPONGEZA RAIS KUTEGUA KITENDAWILI CHA TEGETA ESCROW
SHIRIKISHO la Wanafunzi wa Vyuo na Elimu ya Juu Nchini wamempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kutoa maamzi kwa wale ambao walihusika katika sakata la akaunti ya Tegeta Escrow na kwa kutengua uteuzi wake kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi , Profesa Anna Tibaijuka, kujiuzulu kwa aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick Werema pamoja na kusimamishwa kazi kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Bw. Eliackim Maswi.Akizungumza na...
10 years ago
VijimamboMAKINDA AONGOZA KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE, KIKAO CHA BUNGE KUANZA JANUARI 27
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-lPaEKjtZcnk/U_skgxBVWdI/AAAAAAAAWO4/Fm39Kj66Jvs/s72-c/2.jpg)
BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI KUFANYA KIKAO CHAKE CHA BUNGE KARIMJEE JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-lPaEKjtZcnk/U_skgxBVWdI/AAAAAAAAWO4/Fm39Kj66Jvs/s1600/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-X_pbAy1oc44/U_swgUpZKdI/AAAAAAAAWPI/QUGMCQCxhGo/s1600/1.jpg)
10 years ago
Dewji Blog26 Aug
Bunge la Afrika Mashariki kufanya kikao chake cha Bunge Karimjee Dar, JK kuufungua rasmi kesho
![](http://1.bp.blogspot.com/-lPaEKjtZcnk/U_skgxBVWdI/AAAAAAAAWO4/Fm39Kj66Jvs/s1600/2.jpg)
Spika wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo Zziwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dar es Salaam juu ya mkutano wa kwanza wa Bunge la tatu ulioanza jana katika ukumbi wa Karimjee na kufunguliwa rasmi na Rais Jakaya Kikwete kesho.
Spika wa Bunge la Jumuia ya Afrika Mashariki (EALA) Dk. Margaret Nantongo Zziwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari katika ofisi za Bunge la...
11 years ago
MichuziSITTA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI CHA BUNGE MAALUM LEO
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/gwrEtmK6Mjo/default.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-pd7duy7lwq8/UyCe5JPuPSI/AAAAAAAFTNU/JltlLUnuyyw/s72-c/IMG-20140312-WA0001.jpg)
NEWS ALERT: KIVUKO CHA MV. MAGOGONI CHAPATA KWIKWI JIONI HII
![](http://3.bp.blogspot.com/-pd7duy7lwq8/UyCe5JPuPSI/AAAAAAAFTNU/JltlLUnuyyw/s1600/IMG-20140312-WA0001.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Dly6xj4jrQY/UyCe9Ji9_YI/AAAAAAAFTNc/6LhHNu1ctUg/s1600/IMG-20140312-WA0002.jpg)
5 years ago
BBCSwahili08 May
Virusi vya Corona: Kikao cha bunge cha mtandaoni Afrika kusini chadukuliwa kwa picha za ngono