Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEWS ALERT: KIVUKO CHA MV. MAGOGONI CHAPATA KWIKWI JIONI HII

 Taarifa ya Uhakika iliyotufikia hivi punde ndani ya Ofisi za Globu ya Jamii,inaeleza kuwa Kivuko cha Mv. Magogoni kinachovusha watu na mali zao kutoka Magogoni - Kigamboni jijini Dar es Salaam,kimepatwa na kwikwi jioni hii baada ya kukatika kwa sehemu ya mkono unaoshika mlango wa upande mmoja wa kuvushia magari na waenda kwa miguu.Utaratibu wa kutengeneza Kivuko hicho unafanywa hivi sasa na Mafundi wa Kivuko huku Abiria wakiwa wamesimama pembeni kusubiria utaratibu mwingine. Sehemu ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

News Alert: madereva wa mabasi wayasusa magari yao mkoani Singida jioni hii

Madereva wa Mabasi yanayokwenda katika mikoa ya Shinyanga, Mwanza na Kagera jioni hii wameingia kwenye mgomo wa kutosafirisha abiria wakiwa mkoani Singida, kwa madai kwamba wanatozwa faini kubwa sana na Askari wa Usalama barabarani mkoani hapo.Baadhi ya abiria wanaosafiri na mabasi hayo wameulalamikia uamuzi wa madereva hao, kwani ni kama wanapewa adabu kwa uamuzi huo.Globu ya jamii inaendelea kufatilia sakata hilo kwa ukaribu zaidi na tutaendelea kufahamishana zaidi.

 

10 years ago

Habarileo

Wizara: Kivuko cha Mv Magogoni ni salama

WIZARA ya Ujenzi imesisitiza kuwa kivuko cha Mv Magogoni jijini Dar es Salaam ni salama kwa kuvusha abiria na magari, kati ya upande wa Magogoni na Kigamboni.

 

10 years ago

Habarileo

Kivuko cha Mv Magogoni chaogopesha abiria

Kivuko cha MV MagogoniBAADHI ya wakazi wa Kigamboni wanaotumia kivuko cha Mv Magogoni wameiomba serikali kukifanyia marekebisho kivuko hicho ambacho kimekuwa kikipata hitilafu mara kwa mara na kutishia maisha ya abiria wake.

 

11 years ago

Mwananchi

Kivuko cha Mv Magogoni shwari, yasema Serikali

>Siku tatu baada ya Kivuko cha Mv Magogoni kupata hitilafu na kupoteza muelekeo, Serikali imewaondoa hofu na kuwahakikishia usalama wakazi wa Kigamboni na watumiaji wa kivuko hicho.

 

9 years ago

Dewji Blog

News Alert : MV.Magogoni yapata hitilafu ya kiufundi

Wananchi wakipigana vikumbo wakati walipokuwa wakishuka katika MV. Kigamboni na huku wengine wakiingia kwa kuhofia kubaki baada kwa wingi wa watu.  Wakishuka wananchi.

Wananchi waliokuwa wakisubiri kuingia katika MV. Kigamboni huku wakiwa na Baiskeli zao ambapo kwa wenye Magari wameambiwa wapite Darajani au mwenyekuweza apaki avuke.

  Wananchi wakiwa katika mshangao.

2 (3)

Kigamboni ikiwa inashusha upande wa Kigamboni.

Kigamboni ikiwa inashusha upande wa Kigamboni.

  MV. Kigamboni...

 

10 years ago

Michuzi

news alert: Moto wateketeza kituo cha kupozea umeme cha mjini Moshi asubuhi hii

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. Transforma zinazosambaza umeme katika maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi Mkoani Kilimanjaro zilizoko eneo la Bomambuzi zimewaka moto asubuhi hii muda mfupi baada ya kutokea shoti ambayo haijafahamika chanzo chake ni nini.  Moto huo umetokea majira ya saa 1:10 na kusababisha maeneo kadhaa ya mji wa Moshi kukosa umeme hadi sasa.  Globu ya jamii imeshuhudia kikosi cha zimamoto kutoka manispaa ya moshi kikijaribu kuzima moto huo ambao hata...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: ZAIDI ya abiria 40 Wajeruhiwa ajalini mkoano Kilimanjaro jioni ya leo

ZAIDI ya abiria 40 waliokuwa katika basi la Urio linalofanya safari zake kati ya mikoa ya Arusha na Lushoto-Tanga wamejeruhiwa vibaya baada ya basi hilo kupinduka wakati likijaribu kukwepa basi jingine katika makutano ya barabara ya kuelekea uwanja wa ndege wa kimataifa wa KIA.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka eneo la tukio,inaeleza kwamba ajali hiyo ilitokea majira ya saa 10 jioni jirani kabisa na kituo cha mafuta kilichopo kando ya barabara ya Moshi-Arusha wakati magari hayo yakijiandaa...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI APATA AJALI YA CHOPA JIONI YA LEO

 Chopa iliyokuwa ikitumiwa na Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassary ikiwa juu ya mti mara baada ya kupiga mweleka jioni ya leo katika Kijiji cha Leguruki, Wilayani Meru Jijini Arusha. Hakuna aliepoteza maisha katika ajali hiyo, na Mbunge Nassari pamoja na Rubani wake wako Hospitali kwa matibabu baada ya kupata majeraha kwenye ajali hiyo.
Taarifa kamili itawajia baadae kidogo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani