Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kivuko cha Mv Magogoni shwari, yasema Serikali

>Siku tatu baada ya Kivuko cha Mv Magogoni kupata hitilafu na kupoteza muelekeo, Serikali imewaondoa hofu na kuwahakikishia usalama wakazi wa Kigamboni na watumiaji wa kivuko hicho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wizara: Kivuko cha Mv Magogoni ni salama

WIZARA ya Ujenzi imesisitiza kuwa kivuko cha Mv Magogoni jijini Dar es Salaam ni salama kwa kuvusha abiria na magari, kati ya upande wa Magogoni na Kigamboni.

 

10 years ago

Habarileo

Kivuko cha Mv Magogoni chaogopesha abiria

Kivuko cha MV MagogoniBAADHI ya wakazi wa Kigamboni wanaotumia kivuko cha Mv Magogoni wameiomba serikali kukifanyia marekebisho kivuko hicho ambacho kimekuwa kikipata hitilafu mara kwa mara na kutishia maisha ya abiria wake.

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: KIVUKO CHA MV. MAGOGONI CHAPATA KWIKWI JIONI HII

 Taarifa ya Uhakika iliyotufikia hivi punde ndani ya Ofisi za Globu ya Jamii,inaeleza kuwa Kivuko cha Mv. Magogoni kinachovusha watu na mali zao kutoka Magogoni - Kigamboni jijini Dar es Salaam,kimepatwa na kwikwi jioni hii baada ya kukatika kwa sehemu ya mkono unaoshika mlango wa upande mmoja wa kuvushia magari na waenda kwa miguu.Utaratibu wa kutengeneza Kivuko hicho unafanywa hivi sasa na Mafundi wa Kivuko huku Abiria wakiwa wamesimama pembeni kusubiria utaratibu mwingine. Sehemu ya...

 

11 years ago

Michuzi

MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU (MV. MTWARA), DARAJA LA KIGAMBONI PAMOJA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kigamboni ambalo ujenzi wake utakamilka ifikapo Juni mwaka 2015.
Awali, Dkt.Magufuli alianza kwa kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha Msanga Mkuu maeneo ya Kurasini, kivuko hiki kinajengwa na mkandarasi mzalendo na kitakamilika ndani ya kipindi cha miezi miwili.
Aidha, Waziri wa Ujenzi amefanya ukaguzi wa ukarabati wa matengenezo makubwa ya kivuko cha MV.Kigamboni huko Kigamboni, ukarabati...

 

10 years ago

Vijimambo

KITUO CHA BASI HAPO FERRY MAGOGONI KWANINI HAKIFANYI KAZI NA WAKATI KIMEKWISHA

NAOMBA NISAIDIE UNIWEKEE OMBI LANGU KWA WAHUSIKA WAZIRI HUSIKA NA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM NA MHESHIMIWA RAISI AISOME YAHUSUYO KITUO CHA BASI CHA HAPA FERRY KWANINI HAKIFUNGULIWI AU HAKIFANYI KAZI, MATATIZO TUNAYOYAPATA NI MAKUBWA MNO PINDI TUNAPO VUKA HASWA WAKATI HUU WA MVUA GARI ZINAKOTOKA NILAZIMA ZIRUDI ZINAKOTOKEA NA LINAHUSISHA NA KUPITA IKULU KWA KUTOKA NA KURUDI AMBAKO PIA IKULU IMESHAWEKA ASKARI PALE WAKULINDA AMBAYE MKAZI WA KIGAMBONI ANAJUA MADHARA YA IKULU NA WALINZI NINI...

 

11 years ago

Michuzi

DC Hai atembelea kivuko cha mnepo cha Kiyungi, aahidi kukifanyia ukarabati

Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga ametembelea kivuko cha Kiyungi kinachofahamika kama daraja la Mnepo kinachounganisha wilaya ya Hai na Moshi ambacho sasa hivi kipo katika hali mbaya kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha. Mhe Makunga ameahidi kwamba kivuko hicho kitaanza kufanyiwa ukarabati wa dhararu Jumamosi ijayo angalau kiweze kutumika wakati zinasubiriwa fedha za ujenzi wa kivuko kipya.Ameeleza kuwa kampuni ya Sukari ya TPC imekubali kutoa baadhi ya vifaa vya ukarabati.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kivuko cha Mv Sengerema

PG4A7006

Kivuko cha Mv Sengerema kikikaribia kuwasisili kwenye gati la Busisi wilayani Sengerema kikitoka Kigongo Mwanza Machi 21, 2015. Kivuko hicho ni moja ya vivuko vitatu vinavyovusha magari na abiria kati ya Kigongo na Busisi mkoani Mwanza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

GPL

UZINDUZI WA KIVUKO CHA MV KIGAMBONI

Waziri wa Ujenzi  Dkt. John Magufuli  akiongea na wajumbe mbalimbali waliofika katika  uzinduzi wa kivuko cha kigamboni jana jijini Dar es  Salaam kinachofanyiwa matenganezo  na Jeshi la Wanamaji maeneo ya kurasini, ambacho kinatarajiwa kuanza kutumika rasmi alhamisi wiki hii. Mtendaji Mkuu  Temesa Injinia  Marceline Magesa akitoa neno la shukrani  kwa Jeshi la Wanamaji… ...

 

10 years ago

Michuzi

Kivuko cha Mv Sengerema kazini

 Kivuko cha Mv Sengerema kikikaribia kuwasisili kwenye gati la Busisi wilayani Sengerema kikitoka Kkigongo Mwanza Machi 21, 2015. Kivuko hicho ni moja ya vivuko vitatu vinavyovusha magari na abiria katia ya Kigongo na Busisi mkoani Mwanza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani