Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KITUO CHA BASI HAPO FERRY MAGOGONI KWANINI HAKIFANYI KAZI NA WAKATI KIMEKWISHA

NAOMBA NISAIDIE UNIWEKEE OMBI LANGU KWA WAHUSIKA WAZIRI HUSIKA NA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM NA MHESHIMIWA RAISI AISOME YAHUSUYO KITUO CHA BASI CHA HAPA FERRY KWANINI HAKIFUNGULIWI AU HAKIFANYI KAZI, MATATIZO TUNAYOYAPATA NI MAKUBWA MNO PINDI TUNAPO VUKA HASWA WAKATI HUU WA MVUA GARI ZINAKOTOKA NILAZIMA ZIRUDI ZINAKOTOKEA NA LINAHUSISHA NA KUPITA IKULU KWA KUTOKA NA KURUDI AMBAKO PIA IKULU IMESHAWEKA ASKARI PALE WAKULINDA AMBAYE MKAZI WA KIGAMBONI ANAJUA MADHARA YA IKULU NA WALINZI NINI...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Sadiki aingilia kati ujenzi kituo cha basi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki ametoa siku 14 kwa Manispaa ya Kinondoni kukamilisha kituo cha muda cha daladala kitakachotumika kama mbadala wa Kituo cha Daladala cha Ubungo.

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA KITUO CHA AFYA MIWANI KUONA CHANGAMOTO WANAZOKABILIANA NAZO KITUONI HAPO.

    x5Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na wananchi wa kijiji cha Miwani baada ya kusikiliza matatizo yanayokikabili kituo cha Afya cha Miwani.x4Naibu Waziri wa Afya Mhmoud Thabit Kombo akiwasilikiza wananchi wa Miwani wakati alipofanya viara ya kutembelea kituo cha Afya cha Kijiji hicho kujua matatizo yanayokikabili kituo hicho,  (kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Mohammed Saleh Jidawi. x6Daktari dhamana Kanda ya Unguja Dkt. Fadhil Mohd Abdalla akitoa ufafanunuzi...

 

11 years ago

Habarileo

Basi laua watu 12 papo hapo

WATU 12 wamekufa papo hapo na wengine zaidi ya 90 kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Korogwe, Tanga kwenda Dar es Salaam kuacha njia na kupinduka. Ajali hiyo ilitokea jana saa 1.30 asubuhi kwenye barabara kuu ya Segera-Chalinze katika kijiji cha Kwalaguru kata ya Kwedizinga wilayani hapa.

 

10 years ago

GPL

KITUO KIPYA CHA DALADALA CHAANZA KAZI DAR

Abiria wakipanda daladala. Askari wa usalaama…

 

9 years ago

Dewji Blog

Miaka 17 ya Kituo cha Mazoezi cha Home Gym: kutembelea wodi ya wazazi Kituo cha Afya Sinza Palestina leo Sept 19

home gymKituo cha Mazoezi cha Home Gym…

Na Andrew Chale, modewjiblog

[Dar es Salaam-Tanzania]- Kuelekea miaka 17 ya tangu kuanzishwa kwa  kituo cha Mazoezi cha Home Gym chenye maskani yake Mwenge jijini Dar es Salaam-Tanzania, uongozi wa kituo hicho unatarajia kufanya matukio makuu muhimu ikiwemo kutembelea  wodi ya akina mama katika kituo cha Afrya cha Sinza Palestina Jijini.

Akizungumza na modewjiblog, Mkurugenzi wa kituo hicho, Andrew Mangomango amebainisha kuwa, kuelekea shughuli za miaka 17 za...

 

11 years ago

Michuzi

Wananchi waomba Kituo cha Afya Simambwe kufanya kazi saa 24

WANANCHI wa Kata ya Tembela Wilaya ya Mbeya Vijijini wameiomba Serikali kusaidia kukiwezesha Kituo cha Afya Simambwe ili kifanye kazi saa 24 ili kuwasaidia muda wote wananchi wanaohudumiwa na kituo hicho hasa wajawazito.
Kauli za ombi hilo zimetolewa hivi karibuni kwa nyakati tofauti na wananchi hao walipokuwa wakizungumza na mwandishi wa habari hizi katika vijiji vyao alipowatembelea kuangalia changamoto anuai za huduma za kijamii vijijini Kata ya Tembela.
Mwenyekiti wa Kijiji cha...

 

10 years ago

Habarileo

Kivuko cha Mv Magogoni chaogopesha abiria

Kivuko cha MV MagogoniBAADHI ya wakazi wa Kigamboni wanaotumia kivuko cha Mv Magogoni wameiomba serikali kukifanyia marekebisho kivuko hicho ambacho kimekuwa kikipata hitilafu mara kwa mara na kutishia maisha ya abiria wake.

 

10 years ago

Habarileo

Wizara: Kivuko cha Mv Magogoni ni salama

WIZARA ya Ujenzi imesisitiza kuwa kivuko cha Mv Magogoni jijini Dar es Salaam ni salama kwa kuvusha abiria na magari, kati ya upande wa Magogoni na Kigamboni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani