Kivuko cha Mv Sengerema kazini
.jpg)
Kivuko cha Mv Sengerema kikikaribia kuwasisili kwenye gati la Busisi wilayani Sengerema kikitoka Kkigongo Mwanza Machi 21, 2015. Kivuko hicho ni moja ya vivuko vitatu vinavyovusha magari na abiria katia ya Kigongo na Busisi mkoani Mwanza.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog23 Mar
Kivuko cha Mv Sengerema
Kivuko cha Mv Sengerema kikikaribia kuwasisili kwenye gati la Busisi wilayani Sengerema kikitoka Kigongo Mwanza Machi 21, 2015. Kivuko hicho ni moja ya vivuko vitatu vinavyovusha magari na abiria kati ya Kigongo na Busisi mkoani Mwanza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
11 years ago
GPL
KIVUKO CHA MV MISUNGWI KAZINI
11 years ago
Vijimambo27 Sep
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUZ KIVUKO CHA MV TEGEMEO KUFANYA SAFARI ZA MAISOME-SENGEREMA.


11 years ago
Dewji Blog27 Sep
Makamu wa Rais Dkt. Bilal azindua kivuko cha MV Tegemeo kufanya safari za Maisome-Sengerema
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rsmi Kivuko cha Tegemeo tayari kuanza kufanya safari zake kati ya Kisiwa cha Maisome- Sengerema, wakati wa hafla ya uzinduzi wa kivuko hicho iliyofanyika Kijiji cha Kahunda Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza leo, Septemba 26, 2014. Kulia kwake ni Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli na baadhi ya viongozi. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed...
11 years ago
MichuziMAGUFULI AKAGUA UJENZI WA KIVUKO CHA MSANGAMKUU (MV. MTWARA), DARAJA LA KIGAMBONI PAMOJA NA UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI
Awali, Dkt.Magufuli alianza kwa kukagua ujenzi wa kivuko kipya cha Msanga Mkuu maeneo ya Kurasini, kivuko hiki kinajengwa na mkandarasi mzalendo na kitakamilika ndani ya kipindi cha miezi miwili.
Aidha, Waziri wa Ujenzi amefanya ukaguzi wa ukarabati wa matengenezo makubwa ya kivuko cha MV.Kigamboni huko Kigamboni, ukarabati...
11 years ago
Michuzi.jpg)
DC Hai atembelea kivuko cha mnepo cha Kiyungi, aahidi kukifanyia ukarabati
.jpg)
11 years ago
BBCSwahili11 Oct
IS yashambulia kivuko cha Uturuki
11 years ago
GPLUZINDUZI WA KIVUKO CHA MV KIGAMBONI
10 years ago
Habarileo24 Jan
Kivuko cha Mv Magogoni chaogopesha abiria
BAADHI ya wakazi wa Kigamboni wanaotumia kivuko cha Mv Magogoni wameiomba serikali kukifanyia marekebisho kivuko hicho ambacho kimekuwa kikipata hitilafu mara kwa mara na kutishia maisha ya abiria wake.
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10