Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bomu latupwa ndani ya basi Kigoma, laua watatu na kuacha sita taabani

Watu watatu wamekufa, akiwemo mtoto mchanga ambaye mashuhuda wanasema "alitupwa nje," baada ya basi dogo la abiria aina ya Toyota Hiace kurushiwa bomu na watu wasiojulikana huko Kasesema, Kigoma alfajiri ya leo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Bomu larushwa ndani ya basi Kigoma, watatu wauawa, sita wajeruhiwa

Watu watatu wamekufa akiwepo mtoto mchanga na wengine sita kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria (Hiace) kurushiwa bomu.

 

10 years ago

Dewji Blog

BOMU laua Kigoma

grenade

Na Mwandishi wetu

WATU watatu wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa baada ya kulipukiwa na bomu katika kijiji cha Migongo Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma wakiwa ndani  ya gari la abiria aina ya Hiace.

Akizungumzia tukio hilo leo hii, Mwenyekiti wa Kijiji cha Kilelema, Benedicto  Mahuta, alisema kuwa tukio hilo lilitokea mida ya saa 11 alfajiri ambapo majambazi watano ndio walitekeleza tukio hilo wakati wakiwa kwenye jitihada za kuliteka.

Alisema kuwa awali gari hilo lilikuwa...

 

10 years ago

Habarileo

Bomu laua watu 3 kwenye basi

WATU watatu wamekufa na wengine sita kujeruhiwa na bomu la kurusha kwa mkono lililotupwa kwenye gari la abiria na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wilayani Buhigwe, katika Mkoa wa Kigoma.

 

10 years ago

Mwananchi

Bomu laua watatu, dereva wa jaji auawa

Watu watatu wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa baada ya mtu anayesadikiwa kuwa ni jambazi, kurusha bomu ndani ya basi dogo aina ya Toyota Hiace lililokuwa likitoka Kilelema kwenda Kasulu, Kigoma.

 

11 years ago

BBCSwahili

Bomu lalipuka ndani ya basi Msri

Mtu mmoja amekufa na wanne kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu ndani ya basi la abiria katika eneo la Nasr mji mkuu wa Misri, Cairo kufuatia vurugu zinazoendelea nchini humo

 

11 years ago

Michuzi

watu watatu mbaroni kwa kukutwa na bangi ndani ya basi la new force dodoma

 Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia abiria wa tatu waliokuwa wakisafiri na Basi la New Force kutoka Kahama kuelekea Jijini Dar es Salaam.Kwa Mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime, wamekamatwa leo mchana wakiwa wanasafirisha Debe ishirini za bangi.Wanaoshikiliwa ni Kevin Prospar(aliyekaa pichani kulia),Joseph Charles (aliyekaa kulia) na John Joseph(aliye kaa katikati)  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime kushoto akikagua bangi iliyo kamatwa.
Basi la...

 

11 years ago

Mwananchi

Bomu latupwa baa Arusha, lajeruhi

Watu kadhaa wamejeruhiwa kutokana na mlipuko unaodhaniwa kuwa ni wa bomu katika baa maarufu ya Arusha Night Park katika eneo la Mianzini katika jiji la Arusha.

 

11 years ago

Mwananchi

Bomu laua mmoja Zanzibar

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa baada ya kurushiwa bomu na watu wasiojulikana katika eneo la Darajani, muda mfupi baada ya kuhudhuria mawaidha yaliyokuwa yakitolewa na Sheikh Kassim Mafuta Kassim (38) mkazi wa Pongwe mkoani Tanga.

 

9 years ago

BBCSwahili

Bomu laua polisi 10 Uturuki

Takriban polisi 10 wa Uturuki wameripotiwa kuuawa katika shambulio la bomu lililotegwa ndani ya basi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani