Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aponea kifo kwenye gurudumu la ndege

Mvulana mwenye umri wa miaka 16 amenusurika kifo kwa maajabu baada ya kujificha na kusafiri katika gurudumu la ndege kwa saa 5 Marekani

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MTANZANIA NI MOJA KATI YA ABIRIA WALIOKUWEMO KWENYE NDEGE YA AMERICAN ILIYOTUA KWA DHARURA BAADA YA GURUDUMU LA MBELE KUPATA PANCHA


Ndege ya shirika la ndege la American iliyokua ikisafiri kutoka Houston Texas kuelekea Baltimore siku ya Jumatatu Sept 29, 2014 mida ya jioni na iliyokua imebeba abiria 140 akiwemo Mtanzania Baraka Daudi ilibidi itue kwa dharura kwenye uwanja huo wa Houston baada ya rubani wa ndege hiyo kugundua gurudumu la mbele (norse gear) kutokua na upepo. Baada ya rubani kudua hitilafu hiyo aliwasiliana na mnara wa kuongozea ndege wa uwanja huo wa Houston wajaribu kuingalia ndege hiyo kwa ukaribu zaidi...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwanamke aliyehukumiwa kifo Sudan aponea

Mwanamke aliyehukumiwa kifo nchini Sudan kwa kuasi dini ameachiliwa huru.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mkuu wa jeshi aponea kifo Somalia

Mkuu wa jeshi la Somalia ameponea chupuchupu kuuawa mjini Mogadishu baada ya gali alimokuwa kushambuliwa

 

9 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LAZINDUA MFUMO MPYA WA KISASA WA USIMAMIZI WA MIZIGO KWENYE VIWANJA VYA NDEGE

SHIRIKA la ndege la Etihad ambalo ndio shirika rasmi la nchi ya Falme za kiarabu, leo hii limetangaza makubaliano na kampuni ya Luggage Logistics kuboresha mfumo mzima wa usimamizi wa mizigo katika viwanja vake vya ndege dunia nzima.

Kupitia mfumo wa kisasa wa Baggage Management System (BMS) unaosimamiwa na kampuni ya Luggage Logistics, shirika la ndege la Etihad litaweza kuboresha usimamizi ikiwemo kusafirisha mizigo ya wasafiri kwa wakati. Mfumo huo pia utawezesha kufuatilia kwa urahisi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Shirika la ndege la ETIHAD lazindua mfumo mpya wa kisasa wa usimamizi wa mizigo kwenye viwanja vyake vya ndege

Etihad-Airways-Boeing-787-set-to-fly-to-five-further-destinations-in-2016

Shirika la ndege la Etihad ambalo ndio shirika rasmi la nchi ya Falme za kiarabu, leo hii limetangaza makubaliano na kampuni ya Luggage Logistics kuboresha mfumo mzima wa usimamizi wa mizigo katika viwanja vake vya ndege dunia nzima.

 Kupitia mfumo wa kisasa wa Baggage Management System (BMS) unaosimamiwa na kampuni ya Luggage Logistics, shirika la ndege la Etihad litaweza kuboresha usimamizi ikiwemo kusafirisha mizigo ya wasafiri kwa wakati. Mfumo huo pia utawezesha kufuatilia kwa urahisi...

 

11 years ago

IPPmedia

Waziri anusurika kifo ajali ya ndege

Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar, Abubakari Khamis Bakari, pamoja na abiria 17 wamenusurika kifo, baada ya ndege ya shirika la ndege la 'Zan air' waliyokuwa wanasafiria kupata matatizo ya breki na kusererekea vichakani.

 

11 years ago

GPL

LOWASSA ANUSURIKA KIFO AJALI YA NDEGE

Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa. ABIRIA kadhaa akiwemo Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa wamenusurika kifo, baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupasuka matairi yote manne ya nyuma wakati ilipokuwa ikitua katika uwanja wa ndege wa Arusha mchana mchana huu. Ndege hiyo ya shirika la ndege la Precision aina ya ATR ilipata ajali hiyo wakati ikitua. Matairi yote manne ya...

 

10 years ago

GPL

MASTAA WANUSA KIFO AJALI YA NDEGE!

Mastaa kutoka tasnia ya uigizaji Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’, Lucas Mhuvile ‘Joti’, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’, Isaya Mwakilasa ‘Wakuvwanga’, Alex Chalamila ‘Mac Regan’, Sekioni David ‘Seki’ na abiria kibao wamenusurika kufa katika ajali ya ndege. Abiria wakiingia ndani ya ndege. Kwa mujibu wa shuhuda wetu ndani ya Uwanja wa Ndege wa...

 

9 years ago

Michuzi

TANGAZO LA KIFO TOKA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA

  




































Bodi  ya Ushauri, Menejimenti na Wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) wanasikitika  kutangaza kifo cha  Mwenyekiti wa Bodi  ya TAA,   Mhandisi Lambert W. Ndiwaita  kilichotokea   tarehe 20/08/2015  katika  Hospitali  ya Nairobi,  Kenya.  
Marehemu anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwake mjini Bukoba  tarehe 25/08/2015.Mhandisi  Lambert Ndiwaita (64)  alikuwa ni mmoja wa wataalamu waliobobea katika masuala ya  usafiri wa anga  kitaifa na kimataifa. Katika kipindi cha uhai...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani