IDARA YA UONGOZAJI NDEGE YA MAREKANI FAA YATOA MAFUNZO KWA WAONGOZA NDEGE BARANI AFRIKA
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri Wa Anga Tanzania (TCAA) Varrely Chanmlunga akimkaribisha Meneja Mipango wa Kimataifa wa Idara ya uya uongozaji wa Ndege wa Marekani (FAA) Michele Cappelle wakati wa Warsha ya uongozaji wa ndega barani afrika iliyoandaliwa na Idara ya Anga ya Marekani .Washa hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Uongozaji wa Ndege ya Marekani (FAA) Tony Ferrante.
Baadhi ya washiriki wa Warsha ya uongozaji wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzitimu ya wataalam kutoka wizara ya uchukuzi watembelea kituo cha uongozaji ndege Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere (JNIA)
11 years ago
Dewji Blog24 Sep
Shirika la ndege la Etihad Airways litaongeza safari zake barani Afrika kwa kuzindua safari mpya ya kila siku ya mji wa Dar es Salaam
Shirika la ndege la Etihad Airways (http://www.etihad.com) ni shirika la ndege la kitaifa la Umoja wa Falme za Kiarabu, ambalo linatarajia kuongeza safari zake barani Afrika kwa kuzindua safari mpya ya kila siku Mjini Dar es Salaam, mji mkubwa zaidi Tanzania.
Safari hizi za ndege kati ya Abu Dhabi na Dar es Salaam, zitaanza tarehe 1 mwezi Desemba 2015, zikiendeshwa kwa kutumia ndege ya Airbus A320 yenye viti 16 vya kitengo cha Biashara na 120 vya kitengo cha Uchumi.
Dar es Salaam itakuwa...
10 years ago
Vijimambo05 Mar
NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA DELTA YAPATA AJALI UWANJA WA NDEGE LAGUARDIA NEW YORK
9 years ago
Dewji Blog02 Dec
Shirika la ndege la ETIHAD laendelea kukuza wigo wake Afrika Mashariki baada ya kuzindua huduma za safari za ndege kati ya Dar Es Salaam na Abu Dhabi
Ndege iliyozinduliwa na Shirika la Ndege la Etihad ilipowasili katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam na kupokelewa na magari ya zimamoto kwa kumwaga maji kuashiria uzinduzi rasmi wa Safari za ndege za shirika la ndege la Etihad lenye makao makuu Abudhabi. Uzinduzi huo unatoa fursa sasa kwa watanzania kusafiri moja kwa moja kutoka Dar es salaam mpaka Abudhabi kila siku.
Makamu wa Rais- Mauzo ya Kimataifa wa shirika la ndege la Etihad Bw. Daniel Barranger akisalimiana...
11 years ago
Mwananchi22 Jul
TEKNOLOJIA: Jinsi waongoza ndege wanavyopatikana
5 years ago
MichuziWAZIRI HASUNGA KWA KUSHIRIKIANA NA (TAHA) AONGOZA WADAU WA HORTICULTURE MAPOKEZI YA NDEGE YA MIZIGO UWANJA WA NDEGE WA (KIA)
5 years ago
MichuziWAZIRI HASUNGA KWA KUSHIRIKIANA NA (TAHA) AONGOZA WADAU WA HORTICULTURE MAPOKEZI YA NDEGE YA MIZIGO UWANJA WA NDEGE WA KILIMANJARO
11 years ago
GPL
MAREKANI YAWASHAMBULIA WANAMGAMBO WA SYRIA KWA NDEGE
11 years ago
MichuziRWANDA AIR YATOA SEMINA KWA MAWAKALA WA MASHIRIKA NDEGE
