Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Coronavirus: Wapenzi waliohairisha harusi yao

Zuio la mikusanyiko ya watu laweza kuwa sababu tosha kwa wapenzi kubadili mipango yao ya harusi kwa sasa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Wapenzi wasioona waliofunga pingu za maisha wasimulia safari yao ya mapenzi

Mpiga picha wa India alipiga picha za wapenzi ambao mapenzi hayakuangalia muonekano.

 

10 years ago

Vijimambo

RASHID NA UPENDO WAMEREMETA KWENYE SHEREHE YA HARUSI YAO COLUMBIA

Bwana na Bi Harusi Rashid na Upendo wakiwa ndani ya gari ndefu walipowasili kwenye ukumbi wakijiandaa kuingia ukumbini kwenye sherehe ya harusi yao iliyofanyika siku ya Ijumaa Februari 13, 2015 Columbia, Maryland nchini Marekani.Rashid na Upendo wakiingia ukumbini.Maharusi na wasimamizi wao wakiwa ukumbini.Rashid na Upendo wakiwa  meza kuu.Upendo akimlisha keki mumewe.Rashidakimlisha keki mkewe.Maharusi wakinyeshana kanywaji kepesi.Maharusi wakicheza dansi yao ya kwanza.Dennis Mdoe kaka wa...

 

9 years ago

MillardAyo

Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video)

Ndugu jamaa na marafiki walijikuta wakiendelea na ratiba ya mazishi kwa mtindo wa sherehe baada ya bwana harusi kufariki… bibi harusi nae ilibidi akubaliane na ukweli kwamba ndoa yao imekatishwa na kifo cha mume mtarajiwa. Kifo cha bwana harusi John Mwangi kilitokana na ajali baada ya gari kutumbukia mtoni maeneo ya Kabarnet, Kaunti ya Baringo Kenya… […]

The post Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video) appeared first on...

 

5 years ago

BBCSwahili

Bwana harusi afukuzwa kutoka kwa harusi yake.

Bwana harusi alifukuzwa katika harusi yake mwenyewe na umati wa watu waliokasirika baada ya mkewe wa kwanza kufika na kumjulisha mke mpya kuwa mumewe alikua tayari ameoa

 

10 years ago

BBCSwahili

Bwana harusi aanguka kifafa kabla ya harusi

Mume aanguka kifafa sekunde chache kabla ya ndoa yake,bi harusi achukizwa na kitendo cha kufichwa hali hiyo, aamua kuolewa na ndugu wa mumewe.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mauaji: Wanawake wanauwezekano mkubwa wa kuuliwa na wapenzi wao au waliokua wapenzi wao

Ripoti inasema kuwa asilimia 61 ya wanawake waliuawa na wanaume au waliuliwa na wapenzi wao wa sasa au wa zamani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Bi harusi apewa talaka siku ya harusi

Bwana harusi mmoja kutoka Saudi Arabia amempa talaka mkewe siku ya harusi baada ya kumuona uso wake kwa mara ya kwanza

 

9 years ago

Mtanzania

Bibi harusi amkimbia bwana harusi

NA UPENDO MOSHA, MOSHI

 

MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Doroth Msuya, mkazi wa Monduli mkoani Arusha, ametoweka muda mfupi kabla ya kufunga ndoa na Joseph Machange, mkazi wa Mwika, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro.

Ndoa ya wawili hao ilitarajiwa kufungwa Jumamosi ya Novemba 7 katika Kanisa la Kinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Usharika wa Lole, Mwika.

 Mchungaji mwenza wa usharika huo, Elikeseni Shao, alisema majira ya saa sita na nusu mchana wakati maandalizi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani