MKUTANO MKUBWA WA KIROHO WASHINGTON DC
Jumuia ya watanzania Wasabato walioko Marekani (Tanzania Adventists in the United States), kwa kifupi TAUS, itakuwa na mkutano mkubwa wa kiroho (TAUS Retreat 2015) unaoanza leo Washington DC. Viongozi wa TAUS wanawakaribisha watu wote wajumuike pamoja nao katika kumsifu na kumshukuru Mungu muumbaji wetu. TAREHE ZA MKUTANO: April 16 (saa 11 jioni), mpaka April 19 (saa 5 asubuhi) MAHALI- Burnt Mills SDA Church; 10915 Lockwood Drive, Silver Spring MD 20901 MGENI RASMI: Mchungaji Wilbert...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMkutano mkubwa wa kiRoho (TAUS retreat 2015) waanza Washington DMV
Utaendelea mpaka Jumapili.
Ijumaa na Jumamosi ni kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 3 usiku kwa saa za Marekani ya Mashariki(8:00 am - 9:00pm EST)
Anwani ni
Burnt Mills SDA Church;
10915 Lockwood Drive, Silver Spring MD...
10 years ago
VijimamboUNAKARIBISHWA KATIKA MKUTANO MKUBWA WA KIROHO
umuia ya watanzania Wasabato walioko Marekani (Tanzania Adventists in the United States), inakualika katika mkutano mkubwa wa kiroho (TAUS Retreat 2015) unaonza leo hapa Washington DC. Wote mnawakaribishwa tujumuike na kumshukuru muumbaji wetu. TAREHE ZA MKUTANO: April 16 (5pm), mpaka April 19 (11am) MAHALI- Burnt Mills SDA Church; 10915 Lockwood Drive, Silver Spring MD 20901 MGENI RASMI: Mchungaji Wilbert Nfubhusa toka Kigoma, Tanzania.
MOTO: Kufanana na Yesu
Karibuni sana, na Mungu...
10 years ago
VijimamboMKUTANO MKUBWA WA KIROHO KUENDELEA LEO JUMAMOSI DMV, BALOZI LIBERATA MULAMULA MGENI RASMI
10 years ago
Dewji Blog06 Jan
Kinana ahutubia mkutano mkubwa Tanga, awashukuru watanzania kuipatia CCM ushindi mkubwa uchaguzi serikali za mitaa
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa maalumu kwa ajili ya kuwapongeza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyka nchini kote Desemba 14 mwaka jana. CCM imepata ushindi wa asilimia 81 nchi nzima.
Kinana amesema maeneo yote ambayo upinzania wameshinda na ushindi uliosababishwa na baadhi ya wana CCM NA ENDAPO WATAGUNDULIKA WAMEFANYA KUSUDI KUKIKOSESHA USHINDI CHAMA WATAWAJIBISHWA.
Katibu Mkuu wa...
10 years ago
VijimamboRATIBA YA MKUTANO NA TAMASHA LA CHAUKIDU TAREHE 23 APRILI 2015 WASHINGTON DC CHUO KIKUU CHA HOWARD — WASHINGTON DC
MUDA/ SAATUKIOWAHUSIKAMAHALA2:00-3:00ASUBUHIKuwasili, kujiandikisha kwa washiriki wa mkutano (Chai / Kahawa)Washiriki wote Howard University3:00-3:30Ukaribishaji wa WashirikiMkurugenzi wa ChaukiduHoward University3:30-4:00Ufunguzi Rasmi wa MkutanoRais wa ChaukiduHoward University4:00-5:30Kikao cha 1 – Mawasilisho ya Mada mbali mbali kutoka kwa Wanazuoni Mratibu – Leonard...
9 years ago
BBCSwahili19 Nov
Mkutano mkubwa wa albino wafanyika Dar
10 years ago
VijimamboMkutano wa Injili Washington DC [Aug 14 - 16 2015]
Ni kati ya Agosti 14-16 2015
Mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya ama Masanja Mkandamizaji alipohudumu kwa waumini wa jiji la Washington DC na vitongoji vyake siku ya Jumapili 07/07/2013 katika kanisa la THE WAY OF THE CROSS GOSPEL MINISTRIES
10 years ago
Dewji Blog04 Aug
Mkutano wa Injili Washington DC Aug 14 — 16, 2015
Ni kati ya Agosti 14-16 2015
Mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya ama Masanja Mkandamizaji alipohudumu kwa waumini wa jiji la Washington DC na vitongoji vyake siku ya Jumapili 07/07/2013 katika kanisa la THE WAY OF THE CROSS GOSPEL MINISTRIES
11 years ago
MichuziMAANDALIZI YA MKUTANO MKUBWA WA CPA JIJINI ARUSHA YAIVA