Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAANDALIZI YA MKUTANO MKUBWA WA CPA JIJINI ARUSHA YAIVA

Katibu wa Bunge,Dk Thomas Kashililah(kulia) akiongozana na Wabunge ambao ni Wajumbe wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola(CPA) na watumishi wa Bunge wakiwa kwenye Hoteli ya Ngurdoto Mountain Lodge, mkoani Arusha kwaajili ya maandalizi ya mkutano mkubwa wa 45 utakaofanyika mwezi huu. Katibu wa Bunge,Dk Thomas Kashililah(kulia) akishauliana na jambo na maafisa wa Hoteli ya Ngurdoto Mountain Lodge mkoani Arusha wakati wa ziara ya Wabunge ambao ni Wajumbe wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 45 WA CPA JIJINI ARUSHA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wajumbe wa Chama cha Wabunge kutoka nchi za Jumuiya ya Madola (CPA) katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC jijini Arusha. Mheshimiwa Makamu wa Rais alifungua mkutano wa 45 wa CPA unaozikutanisha nchi za Afrika unaofanyika nchini Tanzania kuanzia leo Julai 24 hadi Julai 27, 2014. Mkutano huo sambamba na masuala mengine pia unajadili juu ya wajibu wa mabunge na mchango wao katika kusimamia utawala...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUBWA WA AMANI NA UPENDO KUFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA

SAM_3390SAM_3402Askofu Solomon Mwagisa ambaye ni katibu wa mkutano wa Amani na Upendo utakaofanyika leo jijini Arusha katika viwanja vya reli kwanzia saa 8 mchana hadi saa 12 jioni akielezea namna walivyojiandaa na mkutano huo,kushoto ni Askofu Mkuu wa makanisa ya KKKT-Dayosisi ya Kaskazini kati Solomon Massangwa(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)SAM_3404Askofu Mkuu wa makanisa ya KKKT-Dayosisi ya Kaskazini kati Solomon Massangwa akizungumza na wanahabari jana jijini hapa kuhusu mkutano huo mkubwa wa Amani...

 

10 years ago

GPL

MKUTANO MKUBWA WA KIMATAIFA WA TAASISI YA USAFIRISHAJI NA UCHUKUZI TANZANIA (CILT) KUFANYIKA MACHI, 3 JIJINI ARUSHA‏

Balozi wa Heshima wa Taasisi ya Kimataifa ya Usafirishaji na Uchukuzi Tanzania (CILT), Waziri wa Jumuia ya Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe (kulia), akizungumza katika mkutano wa maandalizi ya kukusanya fedha kwa ajili ya mkutano wa kimataifa utakaofanyika jijini Arusha kuanzia Machi 4 hadi 5 ulioandaliwa na taasisi hiyo kwa ajili ya kuwajengea weredi wadau wa usafirishaji kutoka nchi mbalimbali duniani.… ...

 

11 years ago

Michuzi

MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM MKOA WA MBEYA YAIVA,KINANA ASHIRIKI SHUGHULI ZA KIJAMII.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kupalilia katika shamba la Magreth Kalimwa (wapili kulia), katika Kijiji cha Mlimanyoka, Kata ya Nsalanga, wilala ya Mbeya mjini. Kinana alifika kumsaidia mkulima huyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 37 ya CCM, inayofanyika Kitaifa Jumapili hii mjini Mbeya.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Bi.Magreth Kalimwa mara baada ya kuwasili kwenye shamba lake kwa ajili ya kushiriki kupalilia shamba hilo lenye ekari moja...

 

10 years ago

Michuzi

Maandalizi ya hafla ya Mh Samuel Sitta kutangaza nia ya kugombea urais yaiva mkoani Tabora leo.



Adama Fundikira akiwa na mama yake mdogo Mh Samuel Sitta aitwaye Ndisha Said FundikiraWayege wakicheza ngoma
Habari na picha kwa hisani ya Mkala Fundikira wa TBN central zone

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUBWA WA INJILI WAFANYIKA VIWANJA VYA BIAFRA,KINONDONI JIJINI DAR

Mchungaji kiongozi wa kanisa la Kinondoni Reviral Church ambao ndio waandaaji wa mkutano wa Injili unaoendelea kufanyika kwenye viwanja vya Biafra Kinondoni, Dkt. Rogate Swai akihubiri neno la mungu katika mkutano huo. Waambaji wa kwaya wa Kanisa la Kinondoni Reviral Church wakipamba jukwaa katika mkutano mkubwa wa injili unaoendelea kufanyika katika viwanja vya Biafra,Kinondini jijini Dar es salaam. Mamia ya watu wakifuatilia kwa karibu mkutano huo mkubwa na waaina yake, katika...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO MKUBWA WA KIMATAIFA WA TAASISI YA USAFIRISHAJI NA UCHUKUZI TANZANIA (CILT) KUFANYIKA MACHI, 3 JIJINI ARUSHA‏

Balozi wa Heshima wa Taasisi ya Kimataifa ya Usafirishaji na Uchukuzi Tanzania (CILT), Waziri wa Jumuia ya Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe (kulia), akizungumza katika mkutano wa maandalizi ya kukusanya fedha kwa ajili ya mkutano wa kimataifa utakaofanyika jijini Arusha kuanzia Machi 4 hadi 5 ulioandaliwa na taasisi hiyo kwa ajili ya kuwajengea weredi wadau wa usafirishaji kutoka nchi mbalimbali duniani.Mwenyekiti wa CILT, George Makuke (kushoto), akizungumza katika mkutano huo....

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana ahutubia mkutano mkubwa Tanga, awashukuru watanzania kuipatia CCM ushindi mkubwa uchaguzi serikali za mitaa

01

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa maalumu kwa ajili ya kuwapongeza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyka nchini kote Desemba 14 mwaka jana. CCM imepata ushindi wa asilimia 81 nchi nzima.

Kinana amesema maeneo yote ambayo upinzania wameshinda na ushindi uliosababishwa na baadhi ya wana CCM NA ENDAPO WATAGUNDULIKA WAMEFANYA KUSUDI KUKIKOSESHA USHINDI CHAMA WATAWAJIBISHWA.

Katibu Mkuu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani