JACK PENTZEL, MUMEWE KIMENUKA
![](http://api.ning.com:80/files/lYnNv0-ng5BULyf*nK-R9L9RxpuH*jsq-T45WbFDxpIyloKmZWPf-aKfRsozC6hzueHmnEIsEyP5IyF*Ni5nRyi1EAbVt8ja/jack.jpg)
Stori: Waandishi Wetu NDOA ndoano! Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Steven Pentzel ‘Jack Pentzel’ na mumewe Gardner Dibibi wanadaiwa kukinukisha na kuingia kwenye gogoro la kila siku hadi mwanaume kutaka kuondoka nyumbani wanakoishi Mbezi-Shamba jijini Dar. Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Steven Pentzel ‘Jack Pentzel’ akiwa na mumewe Gardner Dibibi. Kikizungumza na Ijumaa Wikienda, chanzo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GkcexZAd663mXOpmRgYJKdT-fwmZCOevmNfs5ne8bpK6CYlb5xwSgEsXJGEYzhxopwBIevZ1LhxTm*RdGNBcoDaah*tQq5MU/jack.jpg?width=650)
JACK PENTZEL: MUME WANGU ANAPENDA UBONGE
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-m_XVvS1gIRY/VCwCQNGuXSI/AAAAAAAAOEE/Hecxlxw23pc/s72-c/1.jpg)
NDOA NDOANO:MKE AMWAGIA MUMEWE MAJI YA MOTO BAADA YA KUULIZWA NA MUMEWE KWANINI AMECHELEWA KURUDI NYUMBANI!!
![](http://1.bp.blogspot.com/-m_XVvS1gIRY/VCwCQNGuXSI/AAAAAAAAOEE/Hecxlxw23pc/s640/1.jpg)
10 years ago
Dewji Blog12 Sep
Mashabiki wa Skylight Band kusheherekea Birthday ya Mr. Jack’s huku wa wakikaribishwa na SHOT za Jack Daniel’s leo
Mpango mzima unahisika kwa usiku wa leo pale Thai Village.
Vijana watanashati wa Skylight Band wakimsindikiza Sam Mapenzi (wa pili kuhsoto) kutoa burudani ya Live Music kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar es Salaam, huku usiku wa leo wataungana na mashabiki wake kusheherekea Birthday Mr. Jack’s huku mlangoni wakipata SHOT za Jack Daniel’s kusindikiza usiku huo.
Divas wa Skylight Band wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band Ijumaa...
10 years ago
Dewji Blog15 Sep
Wema Sepetu amwaga mijihela usiku maalum wa birthday ya Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s uliopambwa na Skylight Band
Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji mvinyo na vinywaji vikali kikiwemo kinywaji cha Jack Daniel’s akitoa maelezo ya kinywaji cha Jack Daniel’s kwa mashabiki wa Skylight Band waliokuwa wakikaribishwa na SHOT za Mr. Jack’s kwenye usiku maalum wa kusheherekea siku ya kuzaliwa kwa Mr. Jack’s a.k.a Jack Daniel’s.
Doreen Mangula wa Mark Techno Limited ambao ni wauzaji na wasambazaji kinywaji cha Jack Daniel’s akizungumza na mashabiki wa Skylight Band kuhusina na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sRY-hG6lRQ*sDEWMHuykbZBk2lZNwAyndl0FlHncga0rS1upkh6roq7Frklh-aAvqyYdxaWly*H3FoeZZ-jmdDyHlhzknYSp/Jack.jpg)
NDOA YA JACQUELINE PENTZEL NA GADNA DIBIBI IMEVUNJIKA!
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/09/DSC_01591.jpg)
MASHABIKI WA SKYLIGHT BAND KUSHEHEREKEA BIRTHDAY YA MR. JACK’S HUKU WA WAKIKARIBISHWA NA SHOT ZA JACK DANIEL’S LEO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/WA*Dv5OWc2jOfcJhJpKwcdVhzKobfYN5uPXj9zXa-wg6ZnBKl6PbRIBS5rONpIGfsS7evb2DrvsO9EQpUuCF-pBLR*nNO*zW/kajala.jpg?width=650)
WEMA, KAJALA KIMENUKA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9pVNH1qXqqxMr-0sxX9bL0jwABAZzFUcPAQ0V8nUIA84wV5TdbJog1BjXbSxib7NNq0rND*D2K9kuAo1dATKx0iGLAcOjLyi/1...jpg?width=650)
BONGO MUVI KIMENUKA