Kibonde apandishwa kortini, adhaminiwa
Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde
MANENO SELANYIKA NA CHRISANTA CHRISTIAN, DAR ES SALAAM
WATANGAZAJI maarufu wa redio nchini Ephraim Kibonde (42) na Gadner Habashi (41), jana walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam, wakikabiliwa na makosa mbalimbali likiwemo la kutotii amri halali ya polisi wa usalama barabarani.
Katika shtaka la kwanza, Wakili wa Serikali, Salum Mohamed alidai mbele ya Hakimu Aniceta Wambura kuwa washtakiwa wote...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Jan
Aliyeua Uingereza apandishwa kortini
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxZDIsLsGIYQ5eevSDK6lpUeeGsb7e7cKinFoDfJ9CPIZI2tJFg6Qfhdgub0VP9jn*TBQDuwnP8QVcQKgkP1j4Lh/KIBONDE.jpg?width=650)
KIBONDE, GADNA KIZIMBANI
10 years ago
Habarileo18 Jun
Membe adhaminiwa kwa masharti Arusha
WANANCHI jijini Arusha waliojitokeza kumpokea na kumdhamini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe jana, walimpa masharti kada huyo wa CCM ya kutekeleza endapo atafanikiwa kuingia Ikulu kupitia chama hicho.
11 years ago
Habarileo17 Dec
Anayedaiwa kutaka kuua mume adhaminiwa
HATIMAYE Janeth Manjuru (32) mkazi wa Moshono jijini hapa, ambaye ni mke wa ndoa wa mfanyabiashara maarufu wa madini katika mikoa ya Arusha na Manyara, Jackson Manjuru, ameachiwa kwa dhamana.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/OcxvxG4wHxaY6A2EthokJ-fR1UhieJXAzAGqOWQeepAtxXtOKedSk0SE8u5bbx-*kK2mazj9ZOHP31pOtCuVP2VSvDXMDi7G/KOBONDENAGADNER2.jpg?width=650)
KIBONDE, GARDNER KIZIMBANI TENA
11 years ago
Mtanzania10 Aug
Kibonde, Gadner watiwa mbaroni
![Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Efraim-Kibonde.jpg)
Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde
NA ELIZABETH HOMBO
WATANGAZAJI maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde na Gadner G. Habash, wametiwa mbaroni katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, jijini Dar es Salaam baada ya kudaiwa kusababisha ajali na kukaidi amri ya askari wa usalama barabarani.
Kibonde ambaye amejizolea umaarufu kupitia kipindi cha ‘Jahazi’ kinachorushwa na kituo cha redio cha Clouds Fm akiwa na mtangazaji mwenzake wa Radio Times, Gadner, walikutwa na mkasa huo jana...
10 years ago
Uhuru NewspaperKibonde, Gardner wapandishwa kizimbani
NA JESSICA KILEO
WATANGAZAJI wawili, akiwemo Ephraim Kibonde wa Kituo cha Redio cha Clouds, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, kujibu mashitaka mawili, likiwemo la kumtukana ofisa wa polisi.
Kibonde (42) na Gardner Habash (41), walifikishwa mahakamani hapo jana na kupandishwa kizimbani mbele ya Hakimu Mfawidhi, Anicieta Wambura.
Wakili wa Serikali Salum Ahamed, alidai kuwa Agosti 9, mwaka huu, katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay, wilayani Kinondoni, washitakiwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9677Xpk6OnXEdLzXVPnE7NkJDAjnSbVogEUW-B10rYYVAwIwOnyYmNufI9NVTrMcnbqmS3BL2RzSzU7HDXLaZPzPMZBHR7Fo/kibonde.jpg)
UNDANI KIBONDE ALIVYOTIWA MBARONI
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Tanzania kibonde Afrika Mashariki