IMARISHENI MAPATO YA NDANI KWA MAENDELEO YENU - MTAALAMU
Na Mwandishi Maalum, New York Nchi zinazoendelea hususani Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara zimeshauriwa kujiwekea mipango, sera, taratibu na sheria zinazotekelezeka ambazo kwayo zitaongeza na kuboresha ukusanyaji wa mapato ya ndani ili si tu kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wake lakini pia kuwa na maendeleo endelevu. Aidha nchi hizi zimeambiwa kuwa kile kipindi cha kusubiri kuletewa maendeleo kwa maana ya kuwategemea wafadhili kupitia uwekezaji wa moja kwa moja ( FDI) au...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboIMARISHENI MAPATO YA NDANI KWA MAENDELEO YENU-MTAALAM
Na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-4lVfDWGWmQc/XvSVMYA5LqI/AAAAAAALvYM/zUCrBG8RHjEia9LOLSs-MIQL_q7CuYTSwCLcBGAsYHQ/s72-c/4-31-768x512.jpg)
TAMISEMI YARIDHISHWA NA MATUMIZI MAZURI YA FEDHA ZA MAPATO YA NDANI KATIKA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA KINONDONI
![](https://1.bp.blogspot.com/-4lVfDWGWmQc/XvSVMYA5LqI/AAAAAAALvYM/zUCrBG8RHjEia9LOLSs-MIQL_q7CuYTSwCLcBGAsYHQ/s640/4-31-768x512.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/5-2-1-1024x683.jpg)
Meneja wa TATURA Leopord Runji akimuonesha Naibu Waziri wa Tamisemi Mhe. Josephat Kandege hatua inayoendelea katika ujenzi wa mfereji wa kupitisha maji.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/5-22-1024x683.jpg)
Naibu Waziri wa Tamisemi Mhe. Josephat Kandege pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe.Daniel Chongolo wakiangalia karavati za kuweka kwenye mifereji ya kupitisha maji.
…………………………………………………………..
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe....
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-k5LKlcs02KM/UyIYx4KmCUI/AAAAAAACcWQ/0fansu72AXQ/s72-c/5.jpg)
NIKOPESHENI IMANI YENU NAMI NITAWALIPA KWA MAENDELEO-MGIMWA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-k5LKlcs02KM/UyIYx4KmCUI/AAAAAAACcWQ/0fansu72AXQ/s1600/5.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-NDwSZERoq20/UyIYzINsXdI/AAAAAAACcWY/xtqo67mCB6U/s1600/6.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-qndSPxr4bPM/UyIY0c-e_LI/AAAAAAACcWg/_sO6C6vG1ac/s1600/7.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-FR1b8Ljpm7k/UyIY1DAyy5I/AAAAAAACcWo/1OTxxuDADMA/s1600/8.jpg)
10 years ago
Dewji Blog29 Jul
Serikali yasaini Mkataba wa kukusanya zaidi ya Sh. milioni 12 kupitia mapato ya ndani kwa mwaka 2015/16
Baadhi ya viongozi na watendaji wa Wizara ya Fedha na TRA wakati wa hafla ya kusaini Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2015/2016 ambayo yanakusanywa kwa mara ya kwanza nchini.(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO).
Na Eleuteri Mangi- MAELEZO
Serikaki imesainiana Mkataba wa Makubaliano ya kukusanya Sh. Milioni 12,362,969 za mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2015/2016 ambayo yanakusanywa kwa mara ya kwanza nchini.
Mkataba huo wa makubaliano umesainiwa leo...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-TohmGVP9fmw/U_WOgokRBXI/AAAAAAAAOr0/VDH683H_ATQ/s72-c/10543767_10154465435980247_451240911_n.jpg)
Cheif wa Swahilivilla blog akutana na Mtaalamu wa Vichekesho Hussein China ndani ya Jiji la Da
![](http://1.bp.blogspot.com/-TohmGVP9fmw/U_WOgokRBXI/AAAAAAAAOr0/VDH683H_ATQ/s1600/10543767_10154465435980247_451240911_n.jpg)
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-A7xxFgzL_7o/UzwqDtYJpKI/AAAAAAAAMBg/Wn9yl9jtFUk/s1600/MAN2.jpg)
MANISPAA YA KINONDONI YANUNUA MAGARI MAPYA 10 YENYE THAMANI YA MIL 779 KWA KUTUMIA VYANZO VYA MAPATO YA NDANI
9 years ago
Dewji Blog20 Nov
Serikali za Mitaa zaongeza mapato kupitia mfumo wa ukusanyaji Mapato kwa njia ya Kielektroniki
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI Bi. Rebecca Kwandu akifurahia jambo na waandishi wa habari (hawapo pichani)leo jijini Dar es Salaam wakati akiwaeleza mafanikio ya mfumo wa ukusanyaji mapato kwa njia ya kielektroniki katika mamlaka za Serikali za Mitaa (LGRCIS). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya TEHAMA wa ofisi hiyo Bw. Mtani Yangwe na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.
Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya...
10 years ago
Mwananchi15 Jan
U safiri wa reli unavyokosesha nchi mapato na maendeleo
9 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA KUWATAKA KUBUNI MIRADI MBALIMBALI YA KUONGEZA MAPATO NDANI YA JESHI HILO.