Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cheif wa Swahilivilla blog akutana na Mtaalamu wa Vichekesho Hussein China ndani ya Jiji la Da

Uiyonavyo sivyo ilivyo hadi UISIKIAPO, Cheif wa swahilivilla Ebou Shatry akutana na mtaalamu wa vichekesho, Hussein China ndani ya Jjiji la Dar,  kwa Video Clip fupi, ya WhatsApp  WADAU wetu kaeni mkao wa kula...Cheif wa blog ya swahilivilla Abou Shatry kutoka Washington DC nchini Marekani akipata picha ya pamoja na Mtaalamu wa Vichekesho, Hussein China, baada ya miaka 15 kutoona kijiwezi Jijini Dar, katika mpango mzima wa kipindi cha Msakatonge na Azamtv bingwa wa vichekesho kuandaa mualiko...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mtabiri na mtaalamu wa nyoya Hassan Yahya hussein ajitosa kugombea udiwani kata ya mzimuni, Magomeni, Dar es salaam

Bingwa wa Utabiri nchini na Mtaalamu wa Nyota, hapa nchini ambaye ni  Mrithi na mtoto wa Marehemu Marehemu Sheikh Yahya Hussein, Leo Amejitosa Rasmi na kuchukua Fomu kuomba Ridhaa  kupeperusha Bendera ya CCM Katika Kata ya Mzimuni akigombea UDIWANI

 

10 years ago

Vijimambo

UKIWA NDANI YA JIJI LUOYANG NCHINI CHINA UWEZI KUKIKWEPA KITOWEO HIKI



Hapa jamaa akiwafungua Mbwa kamba baada ya kuwanyonga tayari kwa kitoweo
Hapa Mbwa wamesha katwa shingo wakisubiri kuchunwa ngozi
Wamechunwa na kuwekwa kwenye mifuko tayari kwa kusambaza kwenye mahotel na migahawa, ukiwa ndani china usichunguze nyama unayo kula maana usije kujuta kuingia ndani ya nchi ya China kwaiyo wewe songa tu na maisha kiroho safi.

 

10 years ago

GPL

NISHA: KISIASA BADO NIPONIPO, NAENDA ZANGU CHINA KUTOA VICHEKESHO

Na Hamida Hassan
Staa wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema kuwa hatarajii kugombea wala kujiingiza kwenye siasa kwa sababu bado yupoyupo katika eneo hilo. Staa wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’. Akizungumza na Ijumaa, Nisha alisema kuwa, katika kipindi hiki cha mikikimikiki ya siasa atakuwa nje ya nchi kwani anatarajia kwenda China mwezi huu alikoitwa kufanya vichekesho....

 

10 years ago

Vijimambo

WASANII MAARUFU WA VICHEKESHO WASHAMBULIA BANDA LA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


Wasanii maarufu wa vichekesho nchini wa Kundi la Kashi-Kashi wanaoshiriki katika kipindi cha Mizengwe kinachorushwa na Kituo cha ITV, wakichukua vipeperushi vya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi toka kwa Afisa wa Idara ya Probesheni na Huduma kwa Jamii, Pendo Mtama (kulia) wakati wasanii hao walipotembelea mabanda ya Wizara hiyo, katika maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Habib Mrisho (Sumaku) na Jesca...

 

10 years ago

Michuzi

WASANII MAARUFU WA VICHEKESHO WATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


000000 Msanii maarufu wa vichekesho nchini wa Kundi la Kashi-Kashi anayeshiriki katika kipindi cha Mizengwe cha Kituo cha ITV, Habib Mrisho (Sumaku) akisaini kitabu cha wageni katika banda la Jeshi la Magereza wakati msanii huyo na mwenzake Jesca Kindole kwa jina maarufu la uigizaji (Safina -kulia) walipotembelea mabanda ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, katika maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Kulia ni maafisa wa Jeshi...

 

10 years ago

Michuzi

IMARISHENI MAPATO YA NDANI KWA MAENDELEO YENU - MTAALAMU

Na Mwandishi Maalum, New York Nchi zinazoendelea hususani Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara zimeshauriwa kujiwekea mipango, sera, taratibu na sheria zinazotekelezeka ambazo kwayo zitaongeza na kuboresha ukusanyaji wa mapato ya ndani ili si tu kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wake lakini pia kuwa na maendeleo endelevu. Aidha nchi hizi zimeambiwa kuwa kile kipindi cha kusubiri kuletewa maendeleo kwa maana ya kuwategemea wafadhili kupitia uwekezaji wa moja kwa moja ( FDI) au...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU TATU, NCHINI CHINA, AKUTANA NA MWENYEJI WAKE MAKAKU WA RAIS WA CHINA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Makamu wa Rais wa China, Li Yuanchao, wakati alipowasili kwenye Ukumbi Maalum kwa watu wa China. 'Peoples Great Hall', jijini Beijing China kwa ajili ya mazungumzo rasmi, alipoalikwa kwenye chakula cha jioni na Makamu wa Rais wa China baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini humo. jana Mei 20, 2015.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana...

 

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive Usiku huu Mgomo wa Madereva: Abiria walala ndani ya mabasi Ubungo, Mo blog ipo ‘live’

 

live

Mwandishi Mwandamizi wa Modewji blog (mtandao huu), Andrew Chale  akiwa ndani ya kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo, Jijini Dar es Salaam akiendelea ‘kusaka’ habari hasa kujionea mazingira ya abiria waliokuwa na watotom wagonjwa na wasiojiweza wanavyopata taabu usiku huu baada ya mgomo huo huku abiria wakilala kwenye magari waliokatia tiketi

Na Andrew Chale, Modewji blog

Hadi muda huu wa saa  tano  na nusu  usiku (11:34 pm) leo Mei 4, Mtandao wako bora nchini wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani