Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NISHA: KISIASA BADO NIPONIPO, NAENDA ZANGU CHINA KUTOA VICHEKESHO

Na Hamida Hassan
Staa wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema kuwa hatarajii kugombea wala kujiingiza kwenye siasa kwa sababu bado yupoyupo katika eneo hilo. Staa wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’. Akizungumza na Ijumaa, Nisha alisema kuwa, katika kipindi hiki cha mikikimikiki ya siasa atakuwa nje ya nchi kwani anatarajia kwenda China mwezi huu alikoitwa kufanya vichekesho....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NAENDA ZANGU CHINA KUANZISHA BONGO TEL!

Nataka kuhamia Uchina, kule fursa nyingi kuliko hapa, nawashangaa hawa Wachina eti wanatoka kwao kuja kusaka fursa hapa, siyo kwamba hakuna fursa huku, bali huku watu wana roho ngumu, wakiona umetengeneza fursa watahakikisha wanakufanyia roho mbaya au wanahakikisha wamekutapeli kisha wakucheke. Unajua hapa Bongo watu wanapenda kweli kucheka wenzao wakianguka.
Nataka kwenda Uchina nikaanzishe kiwanda changu cha simu za mkononi....

 

10 years ago

Michuzi

Cheif wa Swahilivilla blog akutana na Mtaalamu wa Vichekesho Hussein China ndani ya Jiji la Da

Uiyonavyo sivyo ilivyo hadi UISIKIAPO, Cheif wa swahilivilla Ebou Shatry akutana na mtaalamu wa vichekesho, Hussein China ndani ya Jjiji la Dar,  kwa Video Clip fupi, ya WhatsApp  WADAU wetu kaeni mkao wa kula...Cheif wa blog ya swahilivilla Abou Shatry kutoka Washington DC nchini Marekani akipata picha ya pamoja na Mtaalamu wa Vichekesho, Hussein China, baada ya miaka 15 kutoona kijiwezi Jijini Dar, katika mpango mzima wa kipindi cha Msakatonge na Azamtv bingwa wa vichekesho kuandaa mualiko...

 

10 years ago

Habarileo

‘Dk Mahanga bado hajakomaa kisiasa’

BAADHI ya wakazi wa jimbo la Segerea, Dar es Salaam, wamesema masanduku ya kura wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, ndio yatakayoamua nani ni mkomavu wa kisiasa baina yao na Mbunge wa jimbo hilo ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongoro Mahanga.

 

10 years ago

GPL

NISHA AMFUATA BWANA CHINA

Gladness Mallya na Hamida Hassan
WAKATI Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ukielekea ukingoni, staa wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amekwea pipa kuelekea nchini China akidaiwa kumfuata bwana wake kwa ajili ya kwenda kufanya maandalizi ya Sikukuu ya Idd. Staa wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’. Chanzo makini kililiambia gazeti hili kwamba mwanadada huyo kwa sasa amepata mpenzi ambaye makazi yake yapo...

 

10 years ago

GPL

NISHA AWEKWA CHINI YA ULINZI CHINA

Hamida hassan Yamemkuta! Staa wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’ ameonja joto ya jiwe baada ya kuwekwa chini ya ulinzi mkali huko Hong Kong, China ambapo alidhaniwa kuwa amebeba madawa ya kulevya ‘unga’. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1VWbLnW

 

9 years ago

Mwananchi

Ben Pol: Sijajua bado nimshabikie nani kisiasa

Tofauti na wasanii wengine ambao tayari wamejipambanua kisiasa, mwimbaji wa r&b nchini Ben Pol ana fikra tofauti na wenzake wengi, baada ya kuweka wazi kilichoujaza moyo wake kuhusu siasa.

 

5 years ago

CCM Blog

CHINA YALAANI KITENDO CHA MAREKANI KUKATAA KUTOA VIBALI VYA KUINGIA NCHI HIYO WANAFUNZI WA CHINA

China yalaani kitendo cha Marekani kukataa kutoa vibali vya kuingia nchi hiyo wanafunzi wa ChinaMsemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amelaani kitendo cha Marekani kukataa kutoa vibali vya kuingia wanafunzi wa China katika nchi hiyo.Zhao Lijian amesema kuwa vitisho vya serikali ya Marekani dhidi ya wanafunzi wa China sambamba na kukataa kuwapatia viza, ni kinyume na uwazi na uhuru ambao Washington imekuwa ikidai kuutekeleza. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameitahadharisha Marekani isijaribu kukiuka kwa namna yoyote haki za wanafunzi wa China, kwa kuwa kitendo hicho...

 

11 years ago

GPL

NISHA BADO YUPO YUPO SANA

Stori: Chande Abdallah Staa mkubwa wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’ ameweka wazi kwamba bado yupoyupo sana linapokuja suala la kuolewa. Staa mkubwa wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’. Akizungumza na mwanahabari wetu, mwigizaji huyo alisema kuwa anatambua kuwa yeye kama mwanamke aliyetimia lazima atakuja. kuolewa siku moja, lakini siyo hivi karibuni.
“Natambua mwanamke aliyetimia lazima...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU MWENYEKITI WA KAMATI YA BARAZA LA USHAURI WA KISIASA LA WATU WA CHINA AWASILI ARUSHA


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Ushauri wa Kisiasa la Watu wa China pia Waziri wa Idara ya Kimataifa wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China Dk.wakati wa mapokezi kwenye uwanja wa ndege wa KIA.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Baraza la Ushauri wa Kisiasa la Watu wa China pia Waziri wa Idara ya Kimataifa wa kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China amewasili nchini kuja kushiriki kwenye ufunguzi wa Kongamano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani