NISHA BADO YUPO YUPO SANA
![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwmvdL6ypMwxVzQT9Nm5lXUNupG1gZXWP51M684HYr99RyOMH4OilaY5vLDKuQ-bJyP-NpPiDM-DXqbb-EWB*Faq/nisha.jpg?width=650)
Stori: Chande Abdallah Staa mkubwa wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’ ameweka wazi kwamba bado yupoyupo sana linapokuja suala la kuolewa. Staa mkubwa wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’. Akizungumza na mwanahabari wetu, mwigizaji huyo alisema kuwa anatambua kuwa yeye kama mwanamke aliyetimia lazima atakuja. kuolewa siku moja, lakini siyo hivi karibuni. “Natambua mwanamke aliyetimia lazima...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEC3sUsJox6bpErHZweCMNza9MNKu4*wucoBdb9tFrh*FftxtP69BagaY6x*e8pPKAWd53snrwz3d0U1ShyufP3bbsGVoykk/michael.jpg?width=650)
MICHAEL SCHUMACHER BADO YUPO KWENYE COMA
10 years ago
BBCSwahili17 Apr
Hussein Machozi asema bado yupo hai
9 years ago
Bongo508 Dec
Bado yupo na Weusi? Lord Eyez ausema ukweli
![WEUSI_full](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/03/WEUSI_full-200x126.jpg)
Kwa muda mrefu kumekuwepo na sintofahamu iwapo rapper Lord Eyez bado ni member wa kundi la Weusi.
Wao wenyewe Weusi walidai kuwa Lord Eyez haonekani akifanya juhudi za kuachia ngoma yoyote wala kushirikiana na wenzake.
Hata hivyo Lord Eyez amesema bado yupo fresh na kundi hilo na anatarajia kuachia ngoma mbili, ‘Hardcore’ na ‘Shida Mpya’ alizomshirikisha member wa kundi hilo G -Nako.
Amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha EATV kuwa sasa amejipanga vizuri kwaajili ya kufanya...
10 years ago
Bongo502 Feb
Mtoto wa Whitney Houston, Bobbi Kristina bado yupo mahututi, ni baada ya kukutwa bafuni hapumui
5 years ago
CCM Blog![](https://img.youtube.com/vi/bBE8eiH8od4/default.jpg)
GARI LATUMBUKIA MTO WAMI, DEREVA BADO YUPO CHINI YA MAJI. MTO UNA VIBOKO NA MAMBA (+ VIDEO)
![](https://millardayo.com/wp-content/uploads/2020/06/james-660x400.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima22 May
Nani yupo nyuma ya UDA?
WIKI iliyopita serikali ilitoa tamko bungeni kuwa hisa za Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), hazijauzwa popote na bado ni mali yake hadi sasa ingawa Kampuni ya Simon Group,...
11 years ago
Habarileo28 May
'Mtoto wa boksi' yupo Muhimbili
MTOTO mwenye umri wa miaka minne aliyefungiwa ndani ya boksi kwa zaidi na miaka mitatu mkoani Morogoro, amehamishiwa katika Hos- pitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya uchunguzi na tiba zaidi huku wataalamu wakikuna vichwa namna ya kumrudishia afya yake.
10 years ago
Bongo511 Nov
Ginuwine yupo mbioni kutangaza kufilisika