Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MICHAEL SCHUMACHER BADO YUPO KWENYE COMA

Michael Schumacher akicheza katika barafu. Schumacher mmoja wa wanamichezo wanaopendwa sana Ujerumani. BINGWA mara saba wa zamani wa mbio za magari za Formula One, Michael Schumacher bado yuko mahututi akiwa kwenye ‘coma’ katika hospitali ya Chuo cha Grenoble, Ufaransa baada ya kuanguka na kujigonga kwenye mwamba wakati akicheza michezo ya kwenye barafu jana pamoja na mwanaye wa kiume.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Michael Schumacher apata fahamu

Michael Schumacher alitoka hospitalini Grenoble na ataendelea kuishi kwa hali yake ya kawaida

 

11 years ago

BBCSwahili

Michael Schumacher kuanza 'kuamshwa'

Madaktari wanaomtibu mwendeshaji mashuhuri wa magari ya langalanga mjerumani Michael Schumacher wameanza kumrejeshea fahamu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Michael Schumacher 'aonyesha dalili nzuri'

Bingwa wa zamani wa Fomula 1 Michael Schumacher, amekuwa akionyesha dalili nzuri baada ya madaktari kuanza 'kumuamsha'

 

11 years ago

GPL

NISHA BADO YUPO YUPO SANA

Stori: Chande Abdallah Staa mkubwa wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’ ameweka wazi kwamba bado yupoyupo sana linapokuja suala la kuolewa. Staa mkubwa wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’. Akizungumza na mwanahabari wetu, mwigizaji huyo alisema kuwa anatambua kuwa yeye kama mwanamke aliyetimia lazima atakuja. kuolewa siku moja, lakini siyo hivi karibuni.
“Natambua mwanamke aliyetimia lazima...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ajidai kuwa kwenye 'Coma' kwa miaka 2

Mwanamume mmoja alitumia udanganyifu na kujidai kuwa mgonjwa mahututi kwa miaka miwili nchini Uingereza kukwepa sheria

 

10 years ago

BBCSwahili

Hussein Machozi asema bado yupo hai

Mwimbaji wa wimbo ''Kafia Ghetto'' na 'Jela' Hussein machozi ameshtumu uvumi unaondelea kwamba amefariki baada ya ajali ya barabarani

 

9 years ago

Bongo5

Bado yupo na Weusi? Lord Eyez ausema ukweli

WEUSI_full

Kwa muda mrefu kumekuwepo na sintofahamu iwapo rapper Lord Eyez bado ni member wa kundi la Weusi.

WEUSI_full

Wao wenyewe Weusi walidai kuwa Lord Eyez haonekani akifanya juhudi za kuachia ngoma yoyote wala kushirikiana na wenzake.

Hata hivyo Lord Eyez amesema bado yupo fresh na kundi hilo na anatarajia kuachia ngoma mbili, ‘Hardcore’ na ‘Shida Mpya’ alizomshirikisha member wa kundi hilo G -Nako.

Amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha EATV kuwa sasa amejipanga vizuri kwaajili ya kufanya...

 

10 years ago

Bongo5

Mtoto wa Whitney Houston, Bobbi Kristina bado yupo mahututi, ni baada ya kukutwa bafuni hapumui

Mtoto wa kike wa marehemu, Whitney Houston, Bobbi Kristina yupo mahututi na ubongo wake umedaiwa kushindwa kufanya kazi. Madaktari wamedai kuwa hiyo si dalili nzuri. Msichana huyo mwenye umri wa miaka 21 alikutwa bafuni kwenye ‘bathtub’ uso wake ukiwa kwenye maji Jumamosi iliyopita na alikuwa hapumui. Alizinduka na kupelekwa hospitali ambako amelazwa kwenye wodi ya […]

 

5 years ago

CCM Blog

GARI LATUMBUKIA MTO WAMI, DEREVA BADO YUPO CHINI YA MAJI. MTO UNA VIBOKO NA MAMBA (+ VIDEO)


Kutoka Daraja la Wami, zimetokea ajali mbili tofauti ambazo hazijapishana sana, moja ni ya Lori ambalo lilifeli breki na kutumbukia Mtoni na bado halijatolewa huku ikiaminika kuwa Dereva bado yupo ndani ya Lori hilo chini ya maji tangu Ijumaa June 05, 2020 ajali ilipotokea, wenzake wawili tayari wameokolewa .Wakati Watu wakiwa wamejaa kushuhudia ajali hiyo ghafla Lori jingine pia likafeli breki na kuua Watu wawili (Mama na Mtoto) kisha kuyazoa magari zaidi ya sita ambayo yote yameharibika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani