Bado yupo na Weusi? Lord Eyez ausema ukweli
Kwa muda mrefu kumekuwepo na sintofahamu iwapo rapper Lord Eyez bado ni member wa kundi la Weusi.
Wao wenyewe Weusi walidai kuwa Lord Eyez haonekani akifanya juhudi za kuachia ngoma yoyote wala kushirikiana na wenzake.
Hata hivyo Lord Eyez amesema bado yupo fresh na kundi hilo na anatarajia kuachia ngoma mbili, ‘Hardcore’ na ‘Shida Mpya’ alizomshirikisha member wa kundi hilo G -Nako.
Amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha EATV kuwa sasa amejipanga vizuri kwaajili ya kufanya...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo503 Dec
Adhabu ya Lord Eyez ilishaisha lakini hatujui kwanini bado haonekani ofisini – Weusi
![WEUSI_full](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/03/WEUSI_full-200x126.jpg)
Lord Eyez ni mmoja wa wasanii wa kundi na kampuni ya Weusi hadi sasa, lakini ni muda mrefu hajaonekana wala kazi zake kusikika kama wenzake kina Joh Makini, Nikki Wa Pili, Bonta na G-Nako.
Maswali ambayo Weusi wamekuwa wakiulizwa kuhusu Lord Eyez ni kuhusu kama bado yuko nao na kwanini hajasikika kwa muda mrefu.
Mwezi March mwaka huu Weusi walimsimamisha Lord Eyez kikazi kutokana na kukiuka maadili na sheria za kampuni yao, kufuatia taarifa kuwa alikamatwa na polisi kwa tuhuma za wizi wa...
11 years ago
Bongo514 Aug
Nick wa Pili azungumzia hatma ya Lord Eyez ndani ya Weusi
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Video ya Lord Eyez alivyotokea show ya WEUSI Arusha usiku wa mwaka mpya !
Ni kitambo hatujamuona Lord Eyez kwenye stage na WEUSI wenzake, sasa hii imetokea nyumbani kwao Arusha usiku wa kuamkia mwaka mpya 2016 baada ya Joh Makini, G Nako na Nikki wa II kutangaza kupiga show mbele ya watu wa home, kilichotokea chote kipo kwenye hii video hapa chini… Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard […]
The post Video ya Lord Eyez alivyotokea show ya WEUSI Arusha usiku wa mwaka mpya ! appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo511 Dec
Lord Eyez aupania mwaka 2016
![Lord Eyes](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Lord-Eyes--300x194.jpg)
Rapa kutoka Weusi, Lord Eyez ameonesha kuupania mwaka 2016, kuufanya uwe ni mwaka wa kulipa madeni yote anayodaiwa na mashabiki wake waliomkosa kwa kipindi kirefu.
Ukimya wake uliosababisha kuwepo na maswali mengi likiwemo la kama ametengana na Weusi ulivunjwa na rapa huyo hivi karibuni alipoweka wazi kuwa bado yupo Weusi.
“Napenda kuwaambia mashabiki zangu kuwa mwaka 2016 ni mwaka wangu sasa kufanya kweli, kwani ukimya wangu umeendana na kupika kazi mpya na mpaka sasa nimeshafanya kazi...
10 years ago
GPL19 May
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwmvdL6ypMwxVzQT9Nm5lXUNupG1gZXWP51M684HYr99RyOMH4OilaY5vLDKuQ-bJyP-NpPiDM-DXqbb-EWB*Faq/nisha.jpg?width=650)
NISHA BADO YUPO YUPO SANA
5 years ago
Bongo514 Feb
Weusi wana Utengano, Ubinafsi na Wivu – Lord Eyes
Msanii wa muziki wa hip hop ambaye aliyekua katika Kundi la Weusi, Lord Eyes, amefunguka mengi kuhusu kundi hilo baada ya kuonekana kufanya kazi peke yake.
Kundi hilo ambalo lilikuwa likiundwa na wasanii 5, Joh Makini, Nikki wa Pili, G Nako, Bonta pamoja na Lord Eyes, limebaki na wasanii watatu tu ambao ni Joh Makini, Nikki wa Pili na G Nako pekee.
Akiongea katika kipindi cha XXL cha Clouds FM wiki hii, Lord Eyes amesikika akidai kundi hilo limejaa utengano, ubinafsi na wivu.
“Hatujawahi...
10 years ago
GPL21 Apr