Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lord Eyez aupania mwaka 2016

Lord Eyes

Rapa kutoka Weusi, Lord Eyez ameonesha kuupania mwaka 2016, kuufanya uwe ni mwaka wa kulipa madeni yote anayodaiwa na mashabiki wake waliomkosa kwa kipindi kirefu.

Lord Eyes

Ukimya wake uliosababisha kuwepo na maswali mengi likiwemo la kama ametengana na Weusi ulivunjwa na rapa huyo hivi karibuni alipoweka wazi kuwa bado yupo Weusi.

“Napenda kuwaambia mashabiki zangu kuwa mwaka 2016 ni mwaka wangu sasa kufanya kweli, kwani ukimya wangu umeendana na kupika kazi mpya na mpaka sasa nimeshafanya kazi...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Video ya Lord Eyez alivyotokea show ya WEUSI Arusha usiku wa mwaka mpya !

Ni kitambo hatujamuona Lord Eyez kwenye stage na WEUSI wenzake, sasa hii imetokea nyumbani kwao Arusha usiku wa kuamkia mwaka mpya 2016 baada ya Joh Makini, G Nako na Nikki wa II kutangaza kupiga show mbele ya watu wa home, kilichotokea chote kipo kwenye hii video hapa chini… Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard […]

The post Video ya Lord Eyez alivyotokea show ya WEUSI Arusha usiku wa mwaka mpya ! appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Bongo5

Bado yupo na Weusi? Lord Eyez ausema ukweli

WEUSI_full

Kwa muda mrefu kumekuwepo na sintofahamu iwapo rapper Lord Eyez bado ni member wa kundi la Weusi.

WEUSI_full

Wao wenyewe Weusi walidai kuwa Lord Eyez haonekani akifanya juhudi za kuachia ngoma yoyote wala kushirikiana na wenzake.

Hata hivyo Lord Eyez amesema bado yupo fresh na kundi hilo na anatarajia kuachia ngoma mbili, ‘Hardcore’ na ‘Shida Mpya’ alizomshirikisha member wa kundi hilo G -Nako.

Amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha EATV kuwa sasa amejipanga vizuri kwaajili ya kufanya...

 

10 years ago

Bongo5

Nick wa Pili azungumzia hatma ya Lord Eyez ndani ya Weusi

Msemaji wa kampuni ya Weusi, Nick wa Pili amewataka mashabiki wao kuendelea kuwa na subiri kuhusu taarifa rasmi ya lini Lord Eyez atarejea tena akiwa chini ya kampuni hiyo. Nick alikuwa akiongea na Bongo5 na kusema: Akirudi tutatoa taarifa bado hatujatoa taarifa rasmi. Kwahiyo sasa hivi hakuna tamko lolote. Kama tuliweza kutoa tangelo la kumsimamisha […]

 

9 years ago

Bongo5

Adhabu ya Lord Eyez ilishaisha lakini hatujui kwanini bado haonekani ofisini – Weusi

WEUSI_full

Lord Eyez ni mmoja wa wasanii wa kundi na kampuni ya Weusi hadi sasa, lakini ni muda mrefu hajaonekana wala kazi zake kusikika kama wenzake kina Joh Makini, Nikki Wa Pili, Bonta na G-Nako.

WEUSI_full

Maswali ambayo Weusi wamekuwa wakiulizwa kuhusu Lord Eyez ni kuhusu kama bado yuko nao na kwanini hajasikika kwa muda mrefu.

Mwezi March mwaka huu Weusi walimsimamisha Lord Eyez kikazi kutokana na kukiuka maadili na sheria za kampuni yao, kufuatia taarifa kuwa alikamatwa na polisi kwa tuhuma za wizi wa...

 

10 years ago

GPL

5 years ago

Zitto Kabwe, MB

Vitabu 53 nilivyosoma mwaka 2016

Vitabu 53 nilivyosoma mwaka 2016

Zitto Kabwe

The Strongman: Vladimir Putin and struggle for Russia – Augus Roxburgh

The Strongman: Vladimir Putin and struggle for Russia – Augus Roxburgh

Mwaka 2016 nimesoma vitabu 53. Nimeongeza vitabu nilivyosoma tofauti na mwaka 2015 lakini sikuweza kufikia idadi ya mwaka 2014 ambapo nilisoma vitabu 56. Hiyo ndio rekodi ya juu zaidi tangu nilipoanza kuorodhesha vitabu nilivyosoma mnamo mwaka 2012. Mwaka 2013 niliorodhesha vitabu vichache zaidi nilivyosoma.

Mafanikio makubwa ya mwaka huu ni kuongeza vitabu vya Riwaya...

 

9 years ago

Mwananchi

Viongozi wa michezo waupania mwaka 2016

“Tumechoshwa na jina la watalii, tumeumizwa na ukosefu wa medali kwa miaka kadhaa, wadhamini walituweka kando, lakini sasa tunahitaji kufanya kitu, tunajua mafaniko yetu ndiyo yatafungua fursa za udhamini, tunahitaji kufanya kitu 2016.” Hii ni kauli mbiu ya viongozi wa vyama vya michezo nchini mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani