Viongozi wa michezo waupania mwaka 2016
“Tumechoshwa na jina la watalii, tumeumizwa na ukosefu wa medali kwa miaka kadhaa, wadhamini walituweka kando, lakini sasa tunahitaji kufanya kitu, tunajua mafaniko yetu ndiyo yatafungua fursa za udhamini, tunahitaji kufanya kitu 2016.†Hii ni kauli mbiu ya viongozi wa vyama vya michezo nchini mwaka huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi22 Jun
MTAZAMO : Viongozi wa michezo hawaipendi michezo
10 years ago
Mwananchi26 Sep
Uzembe waitoa Tanzania michezo ya Olimpiki 2016
9 years ago
MillardAyo06 Jan
January 6 2016 magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo >> udaku, hardnews na michezo
Good Morning mtu wangu !! January 06 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.
The post January 6 2016 magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo >> udaku, hardnews na michezo appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo05 Jan
January 5 2016 magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo >> udaku, hardnews na michezo
Good Morning mtu wangu !! January 05 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.
The post January 5 2016 magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo >> udaku, hardnews na michezo appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo07 Jan
January 7 2016 magazeti 20 ya Tanzania yameamka na hizi leo >> udaku, hardnews na michezo
Good Morning mtu wangu !! January 07 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti 20 ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.
The post January 7 2016 magazeti 20 ya Tanzania yameamka na hizi leo >> udaku, hardnews na michezo appeared first on TZA_MillardAyo.
5 years ago
Zitto Kabwe, MB13 Feb
Vitabu 53 nilivyosoma mwaka 2016
Vitabu 53 nilivyosoma mwaka 2016
Zitto Kabwe
![The Strongman: Vladimir Putin and struggle for Russia – Augus Roxburgh](https://zittokabwe.files.wordpress.com/2016/12/41deesdkefl-_sx323_bo1204203200_.jpg?w=195&h=300)
The Strongman: Vladimir Putin and struggle for Russia – Augus Roxburgh
Mwaka 2016 nimesoma vitabu 53. Nimeongeza vitabu nilivyosoma tofauti na mwaka 2015 lakini sikuweza kufikia idadi ya mwaka 2014 ambapo nilisoma vitabu 56. Hiyo ndio rekodi ya juu zaidi tangu nilipoanza kuorodhesha vitabu nilivyosoma mnamo mwaka 2012. Mwaka 2013 niliorodhesha vitabu vichache zaidi nilivyosoma.
Mafanikio makubwa ya mwaka huu ni kuongeza vitabu vya Riwaya...
9 years ago
Bongo511 Dec
Lord Eyez aupania mwaka 2016
![Lord Eyes](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Lord-Eyes--300x194.jpg)
Rapa kutoka Weusi, Lord Eyez ameonesha kuupania mwaka 2016, kuufanya uwe ni mwaka wa kulipa madeni yote anayodaiwa na mashabiki wake waliomkosa kwa kipindi kirefu.
Ukimya wake uliosababisha kuwepo na maswali mengi likiwemo la kama ametengana na Weusi ulivunjwa na rapa huyo hivi karibuni alipoweka wazi kuwa bado yupo Weusi.
“Napenda kuwaambia mashabiki zangu kuwa mwaka 2016 ni mwaka wangu sasa kufanya kweli, kwani ukimya wangu umeendana na kupika kazi mpya na mpaka sasa nimeshafanya kazi...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
Watanzania kufikia milioni 50 mwaka 2016
RAIS Jakaya Kikwete amesema kwa sasa Tanzania ina watu milioni 48 na ifikapo mwaka 2016, kutakuwa na watu milioni 50 kutokana na ongezeko la asilimia 2.7 la kila mwaka. Akizungumza...
9 years ago
BBCSwahili31 Dec