Kwa Picha: Mwaka Mpya 2016
Sherehe za kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2016.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili01 Jan
Kwa Picha: Miji ilivyoukaribisha mwaka mpya 2016
9 years ago
MichuziNHIF kuanza mwaka mpya wa 2016 kwa kuboresha huduma zao
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unategemea kuboresha baadhi ya huduma zao ifikapo 2016 ili kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma hizo kwa wananchi.
Akiyasema hayo leo Jijini Dar es salaam Kaimu Mkurugenzi Mkuu Michael Mhando amezitaja baadhi ya huduma ambazo wana mpango wa kuziboresha kwa mwaka 2016 zikiwemo za kuongeza huduma ya matibabu ya moyo kwa kutumia bima ya NHIF,kutoa mikopo ya dawa,kurekebisha mfumo wa ulipaji wa baadhi ya huduma pia kubadili...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-xiqOiJETtg0/Vn0Bh5Uj5VI/AAAAAAAIOk4/kus74-FPyJw/s72-c/DV7A321810.jpg)
SALAMU ZA X- MAS NA MWAKA MPYA 2016 KUTOKA KWA KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA
![](http://1.bp.blogspot.com/-xiqOiJETtg0/Vn0Bh5Uj5VI/AAAAAAAIOk4/kus74-FPyJw/s640/DV7A321810.jpg)
KAULI MBIU: "ULINZI UNAANZA NA MIMI, WEWE NA SISI SOTE"KUMBUKA: WHEN YOU SEE SOMETHING, SAY SOMETHING.TUSHEREHEKEE KWA AMANI NA UTULIVU SIKUKUU YA KRISMAS NA MWAKA MPYA, 2016.
AHSANTENI!!!!
9 years ago
Michuzi01 Jan
Dar Live na Shangwe za Kuukaribisha Mwaka Mpya 2016, Christian Bella Aweka Rekodi Mpya!
![bella (69)](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2016/01/bella-69.jpg)
![bella (71)](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2016/01/bella-71.jpg)
![bella (73)](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2016/01/bella-73.jpg)
![bella (74)](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2016/01/bella-74.jpg)
![bella (75)](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2016/01/bella-75.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/UjwbMplZs5I/default.jpg)
9 years ago
Global Publishers01 Jan
Global Publishers Inakutakia Heri na Fanaka za Mwaka Mpya 2016
Mkurugenzi na wafanyakazi wote wa Global Publishers tunawatakia wasomaji wetu wote wa Magazeti yetu, Tovuti yetu, kurasa zetu za Facebook, Twitter na Instagram heri ya Mwaka Mpya 2016.
Tunawatakia baraka na mafanikio mema kwa huu tuliouanza leo.
9 years ago
MichuziMATUKIO MBALIMBALI KATIKA WA MKESHA WA MWAKA 2016 KATIKA PICHA
9 years ago
MillardAyo01 Jan
Pichaz za Neymar, Ronaldo, Kevin De Bruyne, Lampard, Walcott na wengine walivyosherehekea mwaka mpya 2016 ..
Ikiwa ni siku ya kwanza katika mwaka 2016 yaani mwaka mpya, kila mtu amesherehekea kwa namna yake. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz za mastaa wa soka walivyosherehekea sikukuu ya mwaka mpya. Wengine walisherehekea sikukuu ya mwaka mpya wakiwa majumbani kwao na wapenzi wao na wengine kwa vinywaji flani hivi. Unataka kutumiwa MSG za […]
The post Pichaz za Neymar, Ronaldo, Kevin De Bruyne, Lampard, Walcott na wengine walivyosherehekea mwaka mpya 2016 .. appeared first on...