Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vitabu 53 nilivyosoma mwaka 2016

Vitabu 53 nilivyosoma mwaka 2016

Zitto Kabwe

The Strongman: Vladimir Putin and struggle for Russia – Augus Roxburgh

The Strongman: Vladimir Putin and struggle for Russia – Augus Roxburgh

Mwaka 2016 nimesoma vitabu 53. Nimeongeza vitabu nilivyosoma tofauti na mwaka 2015 lakini sikuweza kufikia idadi ya mwaka 2014 ambapo nilisoma vitabu 56. Hiyo ndio rekodi ya juu zaidi tangu nilipoanza kuorodhesha vitabu nilivyosoma mnamo mwaka 2012. Mwaka 2013 niliorodhesha vitabu vichache zaidi nilivyosoma.

Mafanikio makubwa ya mwaka huu ni kuongeza vitabu vya Riwaya...

Zitto Kabwe, MB

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Zitto Kabwe, MB

Vitabu 23 nilivyosoma mwaka 2015(The 23 Books I read in 2015) #letsread

Vitabu 23 nilivyosoma mwaka 2015

Zitto Kabwe

Nimesoma vitabu 23 tu mwaka huu unaoisha leo.

Mwaka 2015 ulikuwa mwaka wa uchaguzi, nimesoma zaidi kidogo ya nusu ya https://zittokabwe.wordpress.com/2014/12/27/vitabu-nilivyosoma-2014-books-i-have-read-in-2014-booksread2014-letsread/ .

Katika mwaka 2015 niliweza kufanya uchambuzi wa vitabu 4 tu kwani ilipofika mwishoni mwa mwezi Machi, 2015 nilianza kazi mpya kabisa ya kujenga Chama kipya cha Siasa chenye kufuata mrengo wa kushoto – ACT...

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Vitabu Nilivyosoma 2014 — Books I have read in 2014 #BooksRead2014 #letsread

Mwaka 2014 nimesoma vitabu 53 na nimefanya uchambuzi wa vitabu 21 kupitia safu ya Kitabu na Kalamu ya gazeti la Raia Tanzania kila Jumatatu.

Tangu nimeanza utaratibu kuchapisha idadi ya vitabu nilivyosoma huu ni mwaka wa tatu sasa. Mwaka 2012 nilisoma vitabu 31, mwaka 2013 vitabu 13 na 2014 vitabu 53.

Mwaka 2014 niliuanza kwa changamoto nyingi sana katika maisha yangu ya kisiasa; kuvuliwa nyadhifa katika chama na kuwa hatarini kuvuliwa uanachama kilichopelekea kwenda mahakamani kutetea...

 

10 years ago

Mwananchi

Umesoma vitabu vingapi mwaka 2014?

Mtazamo wa watu wengi ni kuwa Watanzania hatuna hulka ya kujisomea hasa masuala muhimu ya kukuza maarifa.

 

9 years ago

Mwananchi

Viongozi wa michezo waupania mwaka 2016

“Tumechoshwa na jina la watalii, tumeumizwa na ukosefu wa medali kwa miaka kadhaa, wadhamini walituweka kando, lakini sasa tunahitaji kufanya kitu, tunajua mafaniko yetu ndiyo yatafungua fursa za udhamini, tunahitaji kufanya kitu 2016.” Hii ni kauli mbiu ya viongozi wa vyama vya michezo nchini mwaka huu.

 

9 years ago

Bongo5

Lord Eyez aupania mwaka 2016

Lord Eyes

Rapa kutoka Weusi, Lord Eyez ameonesha kuupania mwaka 2016, kuufanya uwe ni mwaka wa kulipa madeni yote anayodaiwa na mashabiki wake waliomkosa kwa kipindi kirefu.

Lord Eyes

Ukimya wake uliosababisha kuwepo na maswali mengi likiwemo la kama ametengana na Weusi ulivunjwa na rapa huyo hivi karibuni alipoweka wazi kuwa bado yupo Weusi.

“Napenda kuwaambia mashabiki zangu kuwa mwaka 2016 ni mwaka wangu sasa kufanya kweli, kwani ukimya wangu umeendana na kupika kazi mpya na mpaka sasa nimeshafanya kazi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kwa Picha: Mwaka Mpya 2016

Sherehe za kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2016.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania kufikia milioni 50 mwaka 2016

RAIS Jakaya Kikwete amesema kwa sasa Tanzania ina watu milioni 48 na ifikapo mwaka 2016, kutakuwa na watu milioni 50 kutokana na ongezeko la asilimia 2.7 la kila mwaka. Akizungumza...

 

9 years ago

Raia Mwema

Nchi imejiandaa vipi kwa mwaka 2016?

"UCHUMI mnao, lakini mmeukalia!” Utotoni nilipata kusikia redioni kauli hii ya Mwalimu .

Maggid Mjengwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani