Umesoma vitabu vingapi mwaka 2014?
Mtazamo wa watu wengi ni kuwa Watanzania hatuna hulka ya kujisomea hasa masuala muhimu ya kukuza maarifa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2014
10 years ago
Zitto Kabwe, MB27 Dec
Vitabu Nilivyosoma 2014 — Books I have read in 2014 #BooksRead2014 #letsread
Mwaka 2014 nimesoma vitabu 53 na nimefanya uchambuzi wa vitabu 21 kupitia safu ya Kitabu na Kalamu ya gazeti la Raia Tanzania kila Jumatatu.
Tangu nimeanza utaratibu kuchapisha idadi ya vitabu nilivyosoma huu ni mwaka wa tatu sasa. Mwaka 2012 nilisoma vitabu 31, mwaka 2013 vitabu 13 na 2014 vitabu 53.
Mwaka 2014 niliuanza kwa changamoto nyingi sana katika maisha yangu ya kisiasa; kuvuliwa nyadhifa katika chama na kuwa hatarini kuvuliwa uanachama kilichopelekea kwenda mahakamani kutetea...
10 years ago
VijimamboKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA JOHN MINJA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2014, MAKAO MAKUU YA MAGEREZA, D'SALAAM
5 years ago
Zitto Kabwe, MB13 Feb
Vitabu 53 nilivyosoma mwaka 2016
Vitabu 53 nilivyosoma mwaka 2016
Zitto Kabwe
The Strongman: Vladimir Putin and struggle for Russia – Augus Roxburgh
Mwaka 2016 nimesoma vitabu 53. Nimeongeza vitabu nilivyosoma tofauti na mwaka 2015 lakini sikuweza kufikia idadi ya mwaka 2014 ambapo nilisoma vitabu 56. Hiyo ndio rekodi ya juu zaidi tangu nilipoanza kuorodhesha vitabu nilivyosoma mnamo mwaka 2012. Mwaka 2013 niliorodhesha vitabu vichache zaidi nilivyosoma.
Mafanikio makubwa ya mwaka huu ni kuongeza vitabu vya Riwaya...
11 years ago
MichuziVitabu Nitakavyoonesha Katika Tamasha la Afrifest, Agosti 2, 2014
Kila mwaka wakati wa tamasha Afrifest, ninakuwa na meza ambapo naonesha vitabu vyangu na machapisho mengine. Meza ya vitabu huwavuta watu waje hapo. Kwa kawaida, mbali ya kutaka kunifahamu na kufahamu shughuli zangu, watu wanaofika hapo huwa na hamu ya kujua vitabu vinahusu nini. Wengi huvishika wao wenyewe na kuangalia ndani.
Kwa mawazo yangu, hiyo si fursa ya kuvipigia debe vitabu hivyo. Ninachofanya ni kujibu masuali niulizwayo. Kama suali linahusu kitabu au vitabu...
10 years ago
GPLKAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2015
11 years ago
Michuzi08 May
10 years ago
MichuziSHEREHE YA MAOFISA MAGEREZA KUUAGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2015 YAFANA JIJINI DAR
9 years ago
MichuziKandanda Day 2015 yafungua mwaka kwa kukabidhi vitabu na mipira katika kituo cha watoto.