Ginuwine yupo mbioni kutangaza kufilisika
Mmoja kati ya wasanii waliofanya vizuri kwenye muziki wa R&B mwishoni mwaka miaka ya 1990s mpaka mwanzoni mwa 2000, Genuwine anakaribia kufilisika, kwa mujibu wa mwanasheria wake, aliyetoa kauli juu ya kesi ya madai inayomkabili Ginuwine iliyofunguliwa na Robert Reives, aliyekuwa executive producer album yake iliyotamba, The Bachelor. Inaonesha kuwa Ginuwine, ambaye jina lake halisi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo06 May
BILLIONAIRE MWAFRICA YUPO MBIONI KUINUNUA ARSENAL
Simwingine ni yule alienunua kijiji kizima kule Mtwara na kujenga kiwanda cha cement na bandari ya kwake mwenyewe. Sasa aigeukia timu ya Arsenal ya Uingereza kutaka kuinunua, Aliko Dangote ni billionaire mwafrica kutoka Nigeria ana pesa na anaouwezo wa kuikopesha serikali moja wapo ndani ya Bara la Africa na hata nchi masikini ya Ulaya.kama Kikristo kina panda jitiririshe hapa chini. http://www.espnfc.us/arsenal/story/2434364/aliko-dangote-africa-richest-man-still-plans-to-buy-arsenal
11 years ago
GPLNISHA BADO YUPO YUPO SANA
10 years ago
BBCSwahili14 Jul
Mwanamuziki 50 Cent ajikinga kufilisika
11 years ago
BBCSwahili27 May
Mswati akumbwa na Tisho la kufilisika
10 years ago
Tanzania Daima07 Nov
Wazabuni Mbeya wadai kufilisika
MATOKEO ya mitihani ya kidato cha nne mwaka huu huenda yakawa mabaya hasa kwa shule zilizo chini ya serikali mkoani Mbeya kutokana na wazabuni wanaotoa huduma ya chakula kusitisha kutokana...
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
Mfumo endelevu wa kibiashara huepusha kufilisika
MARA nyingi wafanyabiashara wamekuwa wakikumbwa na misukosuko ya kufa kwa biashara zao ikiwemo makampuni makubwa duniani, kufilisika na hatimaye kukata tamaa kabisa kimaisha. Kufa ama kufilisika kwa makampuni makubwa ama...
11 years ago
GPLMR.NICE AFUNGUKA SIRI YA KUFILISIKA KWAKE!
10 years ago
StarTV06 Feb
Kampuni ya Simu TTCL yakanusha kufilisika.
Na Lilian Mtono,
Dar es Salaam.
Wakati taarifa za kufilisika kwa Kampuni ya simu nchini TTCL zikichukua nafasi hivi sasa, kampuni hiyo imekanusha madai hayo ikiwahakikishia watanzania maboresho ya huduma zake yatakayoanza kufanyika hivi karibuni na huduma bora zaidi kuanza kutolewa baadae mwaka huu.
Imesema, tayari imekwishasaini makubaliano ya maboresho hayo na kinachosubiriwa sasa ni kuanza kwa utekelezaji wake.
TTCL, kampuni tanzu ya huduma za mawasiliano hapa nchini, hivi sasa...