Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BILLIONAIRE MWAFRICA YUPO MBIONI KUINUNUA ARSENAL


Simwingine ni yule alienunua kijiji kizima kule Mtwara na kujenga kiwanda cha cement na bandari ya kwake mwenyewe. Sasa aigeukia timu ya Arsenal ya Uingereza kutaka kuinunua, Aliko Dangote ni billionaire mwafrica kutoka Nigeria ana pesa na anaouwezo wa kuikopesha serikali moja wapo ndani ya Bara la Africa na hata nchi masikini ya Ulaya.kama Kikristo kina panda jitiririshe hapa chini. http://www.espnfc.us/arsenal/story/2434364/aliko-dangote-africa-richest-man-still-plans-to-buy-arsenal

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Ginuwine yupo mbioni kutangaza kufilisika

Mmoja kati ya wasanii waliofanya vizuri kwenye muziki wa R&B mwishoni mwaka miaka ya 1990s mpaka mwanzoni mwa 2000, Genuwine anakaribia kufilisika, kwa mujibu wa mwanasheria wake, aliyetoa kauli juu ya kesi ya madai inayomkabili Ginuwine iliyofunguliwa na Robert Reives, aliyekuwa executive producer album yake iliyotamba, The Bachelor. Inaonesha kuwa Ginuwine, ambaye jina lake halisi […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Bilionea wa Afrika ataka kuinunua Arsenal

Mtu tajiri barani Afrika anataka kuinunua Arsenal.Aliko Dangote alijipatia mabilioni ya fedha kupitia biashara ya sukari na mafuta.

 

10 years ago

GPL

MJUE BILIONEA ANAYETAKA KUINUNUA ARSENAL

Bilionea Aliko Dangote LONDON, England BILIONEA Aliko Dangote anataka kuinunua Arsenal. Mfanyabiashara huyu wa Nigeria, ndiye mtu mweusi namba mbili mwenye nguvu zaidi duniani, nyuma ya Rais wa Marekani, Barack Obama na ana fedha mara mbili zaidi ya mmiliki wa Chelsea, Mrusi Roman Abramovich.Dangote ndiye Mwafrika tajiri zaidi duniani na sasa amekuwa gumzo kwenye soka kutokana na dhamira yake ya kutaka kuinunua Arsenal. Bilionea...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtu tajiri Afrika ataka kuinunua Arsenal

Mtu tajiri barani Afrika Aliko Dangote amesema kuwa bado anataka kuinunua kilabu ya Arsenal

 

10 years ago

Bongo5

Bilionea wa Nigeria Aliko Dangote bado anataka kuinunua timu ya Arsenal!

Tajiri wa kwanza Afrika, Aliko Dangote, amekiri kuwa bado ana mpango wa kuinunua club ya Arsenal licha ya kushindwa kufanya hivyo mwaka 2010. Dangote mwenye utajiri wa dola bilioni 15.7 (£10.38bn) anawazidi walimiki wa sasa wa club hiyo, Stan Kroenke (£3.7bn) na Alisher Usmanov (£9.65bn). “Bado nina matumaini, siku moja kwa bei sahihi kwamba nitainunua […]

 

5 years ago

BBCSwahili

Aliko Dangote: Mtu tajiri zaidi Afrika apewa bei ya kuinunua Arsenal

Mtu tajiri zaidi barani AfrikaAliko Dangote hatimaye amepatiwa bei ya kuinunua klabu ya Ligi kuu ya England Arsenal.

 

11 years ago

GPL

NISHA BADO YUPO YUPO SANA

Stori: Chande Abdallah Staa mkubwa wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’ ameweka wazi kwamba bado yupoyupo sana linapokuja suala la kuolewa. Staa mkubwa wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’. Akizungumza na mwanahabari wetu, mwigizaji huyo alisema kuwa anatambua kuwa yeye kama mwanamke aliyetimia lazima atakuja. kuolewa siku moja, lakini siyo hivi karibuni.
“Natambua mwanamke aliyetimia lazima...

 

11 years ago

GPL

FACEBOOK KUINUNUA WHATSAPP

KAMA ulikuwa hufahamu, habari kuu katika ulimwengu wa Teknohama kwa siku ya leo ni Facebook kuinunua Whatsapp kwa bei ya dola bilioni 19.  Ununuzi huo ni wa programu pekee na siyo kampuni ingawa wafanyakazi wa Whatsapp watajiunga na timu ya Facebook moja kwa moja na kazi za Whatsapp zitaendelea kubaki kama zilivyo, alieleza Jan Koum ambaye ni muanzilishi wa Whatsapp. Kwa wasiofahamu, Whatsapp ni moja ya programu za simu za...

 

11 years ago

BBCSwahili

Apple kuinunua Beats

Apple imekubaliana na Beats kuinunua kwa dola bilioni tatu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani