MJUE BILIONEA ANAYETAKA KUINUNUA ARSENAL
![](http://api.ning.com:80/files/SWXdzvDqQaLSgnu8XWzJ7k*h*70*Ve*lkuu6fCSOeHPxOXXp959n14EBrLbMehkUS2b3GQMKDcKXKGq3A3bmzRyrKh2lZWtY/aliko_dangote.jpg?width=650)
Bilionea Aliko Dangote LONDON, England BILIONEA Aliko Dangote anataka kuinunua Arsenal. Mfanyabiashara huyu wa Nigeria, ndiye mtu mweusi namba mbili mwenye nguvu zaidi duniani, nyuma ya Rais wa Marekani, Barack Obama na ana fedha mara mbili zaidi ya mmiliki wa Chelsea, Mrusi Roman Abramovich.Dangote ndiye Mwafrika tajiri zaidi duniani na sasa amekuwa gumzo kwenye soka kutokana na dhamira yake ya kutaka kuinunua Arsenal. Bilionea...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili18 Jun
Bilionea wa Afrika ataka kuinunua Arsenal
10 years ago
Bongo505 May
Bilionea wa Nigeria Aliko Dangote bado anataka kuinunua timu ya Arsenal!
10 years ago
Vijimambo06 May
BILLIONAIRE MWAFRICA YUPO MBIONI KUINUNUA ARSENAL
![](http://a.espncdn.com/combiner/i/?img=/photo/2015/0505/fc-Dangote-jd-1296x729.jpg&w=738&site=espnfc)
Simwingine ni yule alienunua kijiji kizima kule Mtwara na kujenga kiwanda cha cement na bandari ya kwake mwenyewe. Sasa aigeukia timu ya Arsenal ya Uingereza kutaka kuinunua, Aliko Dangote ni billionaire mwafrica kutoka Nigeria ana pesa na anaouwezo wa kuikopesha serikali moja wapo ndani ya Bara la Africa na hata nchi masikini ya Ulaya.kama Kikristo kina panda jitiririshe hapa chini. http://www.espnfc.us/arsenal/story/2434364/aliko-dangote-africa-richest-man-still-plans-to-buy-arsenal
10 years ago
BBCSwahili05 May
Mtu tajiri Afrika ataka kuinunua Arsenal
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Baada ya headlines za bilionea wa 24 Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, hii ndio kauli rasmi ya Simba …
Baada ya stori nyingi kuingia katika headlines kwa siku za hivi karibuni kuhusu uamuzi wa moja kati ya mabilionea wa Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, mengi yameandikwa na mengi yameongewa, najua unahitaji kufahamu kuhusu stori za bilionea Mohamed Dewji ambaye maarufu kama MO kuweka bayana dhamira yake ya kutaka kuinunua Simba kupitia kipindi cha […]
The post Baada ya headlines za bilionea wa 24 Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, hii ndio kauli rasmi ya Simba … appeared first on...
5 years ago
BBCSwahili07 Mar
Aliko Dangote: Mtu tajiri zaidi Afrika apewa bei ya kuinunua Arsenal
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FBfnXTo9RIEKmW9cZDZ8BfK0cjT9Y12S5clOa9rj-iOkFE*lbsTW6uITYRrGsbvQSFEtlXT5db7UQpYouQzLegHQJsSPTVaL/Whatsapp.jpg?width=600)
FACEBOOK KUINUNUA WHATSAPP
11 years ago
BBCSwahili29 May
11 years ago
Bongo512 Aug
Rihanna apanga kuinunua klabu ya Liverpool