Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MR.NICE AFUNGUKA SIRI YA KUFILISIKA KWAKE!

Stori:  Shakoor Jongo
MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya, Lucas Mkenda ‘Mr Nice’ ameibuka na kufunguka kuwa siri ya kufilisika kwake ni kupenda kwake sifa kutoka kwa wapambe na matumizi mabaya ya fedha alizokuwa akiziingiza. Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya, Lucas Mkenda ‘Mr Nice’. Akizungumza na paparazi wetu, Nice, aliyetamba kwa staili ya Takeu, alisema wakati nyota yake ikiwa juu na kuingiza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SIRI YA DIAMOND KUHAMIA KWAKE YAVUJA

Na Mussa Mateja HATIMAYE siri ya nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kuhamia kwenye mjengo wake wa kisasa uliyopo Tegeta -Madale jijini Dar imevuja huku ikitajwa kuwepo na vionjo vya ushirikina. Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Chanzo makini kimeliambia Amani kuwa, licha ya kumalizika kwa mjengo huo, lakini Diamond alikuwa akikataa kuhamia kutokana na umbali kutoka huko hadi mitaa...

 

5 years ago

Michuzi

DIWANI KATA YA KIBAMBA ALIYEMALIZA MUDA WAKE ATAJA SIRI 14 YA KUFANIKIWA KWAKE

Diwani wa Kata ya Kibamba aliyemaliza muda wake wa miaka mitano tangu kupitia tiketi ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Ernest Mgawe kushoto akimkabidhi mmoja wa viongozi wa kata wa chama hicho ripoti maalumu ya utekelezaji wa majukumu mbali mbali ambayo aliyafanay wakati wa uongozi wake kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2015/2020 katika halfa ambayo ilihudhuliwa na viongozi mbali mbali.(Picha na Victor Masangu).
 Diwani wa kata ya Kibamba ambaye amemaliza muda wake kupitia tiketi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MPENZI WA MR NICE AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE, NICE ASEMA NDO MTOTO WAKE WA MWISHO

Mpenzi wa mwanzilishi wa style ya ‘Takeu’ Lucas Mkenda aka Mr Nice, amejifungua mtoto wa kike na kupewa jina la Nicole.
Mr Nice ambaye ni baba wa watoto wawili kwa sasa, Collin na Nicole, ameiambia Bongo5 kuwa Nicole ni mtoto wake wa mwisho ili aweze kuwatengezea maisha mazuri.“Sasa hivi ni uzazi wa mpango, huyu kwangu ndo mtoto wa mwisho, kuzaa tu kama mbwa itakuwaje? mwishowe utashindwa kuwatengenezea maisha mazuri,” alisema Nice.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanamuziki 50 Cent ajikinga kufilisika

Mmoja ya wasani maarufu duniani na nyota wa miondoko ya hip hop, rapa 50 Cent , amepeleka maombi ya kupatiwa ulinzi wa kuzuia kufilisiwa nchini Marekani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mswati akumbwa na Tisho la kufilisika

Taarifa kutoka nchi ya kifalme ya Swaziland zasema kima cha fedha katika benki kuu ya nchi hiyo kimebaki dola laki 8 pekee.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wazabuni Mbeya wadai kufilisika

MATOKEO ya mitihani ya kidato cha nne mwaka huu huenda yakawa mabaya hasa kwa shule zilizo chini ya serikali mkoani Mbeya kutokana na wazabuni wanaotoa huduma ya chakula kusitisha kutokana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani