Mwanamuziki 50 Cent ajikinga kufilisika
Mmoja ya wasani maarufu duniani na nyota wa miondoko ya hip hop, rapa 50 Cent , amepeleka maombi ya kupatiwa ulinzi wa kuzuia kufilisiwa nchini Marekani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima07 Nov
Wazabuni Mbeya wadai kufilisika
MATOKEO ya mitihani ya kidato cha nne mwaka huu huenda yakawa mabaya hasa kwa shule zilizo chini ya serikali mkoani Mbeya kutokana na wazabuni wanaotoa huduma ya chakula kusitisha kutokana...
11 years ago
BBCSwahili27 May
Mswati akumbwa na Tisho la kufilisika
10 years ago
Bongo511 Nov
Ginuwine yupo mbioni kutangaza kufilisika
10 years ago
StarTV06 Feb
Kampuni ya Simu TTCL yakanusha kufilisika.
Na Lilian Mtono,
Dar es Salaam.
Wakati taarifa za kufilisika kwa Kampuni ya simu nchini TTCL zikichukua nafasi hivi sasa, kampuni hiyo imekanusha madai hayo ikiwahakikishia watanzania maboresho ya huduma zake yatakayoanza kufanyika hivi karibuni na huduma bora zaidi kuanza kutolewa baadae mwaka huu.
Imesema, tayari imekwishasaini makubaliano ya maboresho hayo na kinachosubiriwa sasa ni kuanza kwa utekelezaji wake.
TTCL, kampuni tanzu ya huduma za mawasiliano hapa nchini, hivi sasa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8qIoio0GTJMfCCGgRogp1dACHbbdcv*dOEG8jnBa0AB3joaDiBnZeBWmXS4-pEs7fglLvg9Cj7r2hTG8IrdjGxZvzukcy21w/nice.jpg)
MR.NICE AFUNGUKA SIRI YA KUFILISIKA KWAKE!
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
Mfumo endelevu wa kibiashara huepusha kufilisika
MARA nyingi wafanyabiashara wamekuwa wakikumbwa na misukosuko ya kufa kwa biashara zao ikiwemo makampuni makubwa duniani, kufilisika na hatimaye kukata tamaa kabisa kimaisha. Kufa ama kufilisika kwa makampuni makubwa ama...
9 years ago
Mtanzania10 Sep
50 Cent: Sijafilisika na sifilisiki ng’o
NEW YORK, Marekani
BAADA ya tetesi kwamba msanii wa hip hop nchini Marekani, Curtis Jackson ‘50 Cent’ amefilisika, msanii huyo ameibuka na kuweka wazi baadhi ya vitu anavyojenga kwa sasa akionyesha kwamba bado ana hazina kubwa ya fedha.
Hivi karibuni alionyesha nyumba yake mpya ambayo ameijenga barani Afrika lakini hajasema iko nchi gani.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, msanii huyo amesema alitangaza kufilisika akiwa na lengo la kujiimarisha kibiashara kwa kujilinda na waovu.
“Bado nipo...
11 years ago
TheCitizen20 Mar
80 per cent of workers ‘have no contracts’