Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Dk Mahanga bado hajakomaa kisiasa’

BAADHI ya wakazi wa jimbo la Segerea, Dar es Salaam, wamesema masanduku ya kura wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, ndio yatakayoamua nani ni mkomavu wa kisiasa baina yao na Mbunge wa jimbo hilo ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongoro Mahanga.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Pinda hajakomaa kisiasa

MJADALA unaoendelea nchini hivi sasa ni kuhusu uwajibikaji na utendaji wa baadhi ya viongozi wetu ambao wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tumewaajiri na tunawalipa mishahara kwa kodi zetu...

 

9 years ago

Mwananchi

Ben Pol: Sijajua bado nimshabikie nani kisiasa

Tofauti na wasanii wengine ambao tayari wamejipambanua kisiasa, mwimbaji wa r&b nchini Ben Pol ana fikra tofauti na wenzake wengi, baada ya kuweka wazi kilichoujaza moyo wake kuhusu siasa.

 

10 years ago

GPL

NISHA: KISIASA BADO NIPONIPO, NAENDA ZANGU CHINA KUTOA VICHEKESHO

Na Hamida Hassan
Staa wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema kuwa hatarajii kugombea wala kujiingiza kwenye siasa kwa sababu bado yupoyupo katika eneo hilo. Staa wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’. Akizungumza na Ijumaa, Nisha alisema kuwa, katika kipindi hiki cha mikikimikiki ya siasa atakuwa nje ya nchi kwani anatarajia kwenda China mwezi huu alikoitwa kufanya vichekesho....

 

10 years ago

Habarileo

Mahanga anogewa na ubunge

Dk Makongoro MahangaMBUNGE wa Jimbo la Segerea, Dk Makongoro Mahanga (CCM) amesema atagombea tena ubunge kwenye jimbo hilo mwaka huu.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Dk. Mahanga amfuata Lowassa

BAADA ya kuanguka kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Dk. Makongoro Mahanga, amejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Dk. Makongoro aliyekuwa Mbunge wa Segerea, pia amejiuzulu nafasi yake ya Naibu Waziri.

Akizungumza nyumbani kwake Segerea jijini hapa jana, Dk. Makongoro alisema pia kwamba amemtuma dereva wake kulirudisha serikalini gari la Wizara ya Kazi.

Hali hiyo imetokea siku moja tu baada ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Ikulu yamshangaa Dk Mahanga

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amesema ameshangazwa na kauli ya aliyekuwa Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongoro Mahanga kuwa wingi wa makatibu wakuu unakinzana na dhana ya kupunguza ukubwa wa Serikali alioahidi Rais John Magufuli.

 

9 years ago

Mwananchi

Mahanga amvaa Magufuli

Wakati watu mbalimbali wakimminia sifa Rais John Magufuli kwa kubana matumizi, aliyekuwa Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongoro Mahanga amesema uwingi wa makatibu wakuu unakinzana na dhana ya yake ya kupunguza ukubwa wa Baraza la Mawaziri.

 

10 years ago

Habarileo

Mahanga aanguka, akimbilia Chadema

NAIBU Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Milton Mahanga (60), amejiondoa katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) siku moja baada ya kushindwa katika kura za maoni za ubunge katika Jimbo la Segerea mkoani Dar es Salaam, na sasa ameomba uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mahanga anusurika kipigo.

Polisi wamuokoa chini ya ulinzi mkali, Wananchi wamzomea, wamwita mwizi.Vurugu katika zoezi la kuapisha wenyeviti wateule wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji zimepamba moto, ambazo zimesababisha Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga, kujikuta akizomewa na wananchi na kusababisha zoezi hilo katika baadhi ya mitaa na vitongoji katika maeneo mbalimbali nchini kukwama.

Dk. Mahanga, ambaye pia ni Mbunge wa Segerea (CCM) alikumbwa na masaibu hayo wakati wa hafla ya kuapisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani