Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Mahanga amfuata Lowassa

BAADA ya kuanguka kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Dk. Makongoro Mahanga, amejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Dk. Makongoro aliyekuwa Mbunge wa Segerea, pia amejiuzulu nafasi yake ya Naibu Waziri.

Akizungumza nyumbani kwake Segerea jijini hapa jana, Dk. Makongoro alisema pia kwamba amemtuma dereva wake kulirudisha serikalini gari la Wizara ya Kazi.

Hali hiyo imetokea siku moja tu baada ya...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mahanga amfuata Lowassa Chadema

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongoro Mahanga ametangaza kuihama CCM na kujiunga na Chadema baada ya kushindwa katika kura za maoni kwa nafasi ya ubunge katika Jimbo la Segerea.

 

10 years ago

GPL

JACQUELINE WOLPER AMFUATA EDWARD LOWASSA UKAWA!

Shani ramadhani Liwalo na liwe! Kinara wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ameahidi kuambatana na waziri mkuu wa zamani ambaye ni Mbunge wa Monduli kwa leseni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Ngoyai Lowassa kwenye safari yake ya kuhamia kwenye muungano wa vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1VIouKY ...

 

10 years ago

Mtanzania

Muhongo amfuata JK Uswisi

Sospeter MuhongoNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
WAKATI Watanzania wakisubiri kujua hatima ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, aliyewekwa kiporo na Rais Jakaya Kikwete baada ya kuhusishwa na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, waziri huyo amesafiri kwenda Davos nchini Uswisi kuungana na rais katika Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani maarufu kama World Economic Forum.
Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Profesa...

 

9 years ago

GPL

CHUCHU AMFUATA RAY UKAWA

STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans ameamua kumfuata mchumba wake ambaye pia ni muigizaji, Vincent Kigosi ‘Ray’ katika vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Akizungumza na Amani, Chuchu alisema kuwa kupitia Ukawa, ameamua kuingia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuanzia sasa atambulike kama mmoja wa wanachama wa chama hicho.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1IiS1QZ ...

 

10 years ago

GPL

NISHA AMFUATA BWANA CHINA

Gladness Mallya na Hamida Hassan
WAKATI Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ukielekea ukingoni, staa wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amekwea pipa kuelekea nchini China akidaiwa kumfuata bwana wake kwa ajili ya kwenda kufanya maandalizi ya Sikukuu ya Idd. Staa wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’. Chanzo makini kililiambia gazeti hili kwamba mwanadada huyo kwa sasa amepata mpenzi ambaye makazi yake yapo...

 

10 years ago

Mtanzania

Mtanzania amfuata Tevez Italia

carlos-tevezNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

MSHAMBULIAJI Haji Ungando ametua katika timu ya Atalanta inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Italia ‘Serie A’, kufanya majaribio ya siku 10 baada ya timu hiyo kuvutiwa naye.

Kinda huyo akifanikiwa kusajiliwa na Atalanta inayoshika nafasi ya 17 Serie A, ataungana na washambuliaji wakubwa duniani kama Carlos Tevez (Juventus), Gonzalo Higuain (Napoli), Francesco Totti (Roma) wanaokipiga kwenye ligi hiyo.

Mmiliki wa kituo cha kukuza vipaji cha Jaki Sports Academy,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mdee amfuata Tibaijuka Muleba

MIEZI michache baada ya mbunge wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), kumlipua bungeni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka, akidai anamiliki maelfu ya ekari za ardhi...

 

10 years ago

GPL

KADINDA AMFUATA JACK PATRICK GEREZANI

Stori: Mayasa Mariwata
Imekaa poa sana! Ubuyu kutoka Hong Kong, China unadai kwamba mbunifu wa mavazi Bongo, Martin Kadinda hivi karibuni alimfuata Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ gerezani aliyefungwa nchini humo kwa msala wa kukamatwa na madawa ya kulevya. Martin Kadinda wakati  akiwa na Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’. Habari… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani