Muhongo amfuata JK Uswisi
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
WAKATI Watanzania wakisubiri kujua hatima ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, aliyewekwa kiporo na Rais Jakaya Kikwete baada ya kuhusishwa na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, waziri huyo amesafiri kwenda Davos nchini Uswisi kuungana na rais katika Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani maarufu kama World Economic Forum.
Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Profesa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania03 Aug
Dk. Mahanga amfuata Lowassa
BAADA ya kuanguka kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Dk. Makongoro Mahanga, amejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Dk. Makongoro aliyekuwa Mbunge wa Segerea, pia amejiuzulu nafasi yake ya Naibu Waziri.
Akizungumza nyumbani kwake Segerea jijini hapa jana, Dk. Makongoro alisema pia kwamba amemtuma dereva wake kulirudisha serikalini gari la Wizara ya Kazi.
Hali hiyo imetokea siku moja tu baada ya...
10 years ago
Mtanzania19 May
Mtanzania amfuata Tevez Italia
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI Haji Ungando ametua katika timu ya Atalanta inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Italia ‘Serie A’, kufanya majaribio ya siku 10 baada ya timu hiyo kuvutiwa naye.
Kinda huyo akifanikiwa kusajiliwa na Atalanta inayoshika nafasi ya 17 Serie A, ataungana na washambuliaji wakubwa duniani kama Carlos Tevez (Juventus), Gonzalo Higuain (Napoli), Francesco Totti (Roma) wanaokipiga kwenye ligi hiyo.
Mmiliki wa kituo cha kukuza vipaji cha Jaki Sports Academy,...
10 years ago
Mwananchi03 Aug
Mahanga amfuata Lowassa Chadema
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
Mdee amfuata Tibaijuka Muleba
MIEZI michache baada ya mbunge wa Kawe, Halima Mdee (CHADEMA), kumlipua bungeni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka, akidai anamiliki maelfu ya ekari za ardhi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wdk-9Zfi1k7zokD6z9IqXGcm7lQk-PZU8C56ZA15Ggxf11dCb4n6JhdgpsnUqyX0ja8e3q7p8NQrpfVZfW99Yl28cvsELw2S/BACKIJUMAA.gif?width=650)
NISHA AMFUATA BWANA CHINA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HD0RdVTwp0BMl9*Jv7CjNUmagNWeblx0AQvRSPEnbH4v0pZzLFbN-YrVG8J0k4VwJTkB7JC9nI3-lvu6behrZZGDkgcbRDyb/JUMAMOSI.jpg)
CHUCHU AMFUATA RAY UKAWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/szrS1FfaDDK76YMVZi0d5I-w7rPbIPDMi--Q5zwD0DIlAYIWWcMfQA2WdNn6mneKQE2QK9I5pFCijqALOT2E5TaCXYoPfP3g/JACK.jpg)
KADINDA AMFUATA JACK PATRICK GEREZANI
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-HSuUDFknyEQ/U-2bMXdFksI/AAAAAAAF_uc/6rgPuiaI4MM/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
Wachina waonesha nia kuwekeza sekta ya madini, wakutana na Muhongo, Maswi, muhongo asisitiza hakuna kusafirisha madini ghafi
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VittCBMQg0KyT*Of17-PEvJOmZa1s*ggRjAGs6MvT5QGoa641Ra1Iy7Q1AdlNR2KEKNs*KjkcLYZUWEoc7PM6Q5BSet-kKn5/ergtertertetetetertet.jpg)
JACQUELINE WOLPER AMFUATA EDWARD LOWASSA UKAWA!