Mahanga amfuata Lowassa Chadema
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongoro Mahanga ametangaza kuihama CCM na kujiunga na Chadema baada ya kushindwa katika kura za maoni kwa nafasi ya ubunge katika Jimbo la Segerea.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania03 Aug
Dk. Mahanga amfuata Lowassa
BAADA ya kuanguka kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Dk. Makongoro Mahanga, amejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Dk. Makongoro aliyekuwa Mbunge wa Segerea, pia amejiuzulu nafasi yake ya Naibu Waziri.
Akizungumza nyumbani kwake Segerea jijini hapa jana, Dk. Makongoro alisema pia kwamba amemtuma dereva wake kulirudisha serikalini gari la Wizara ya Kazi.
Hali hiyo imetokea siku moja tu baada ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VittCBMQg0KyT*Of17-PEvJOmZa1s*ggRjAGs6MvT5QGoa641Ra1Iy7Q1AdlNR2KEKNs*KjkcLYZUWEoc7PM6Q5BSet-kKn5/ergtertertetetetertet.jpg)
JACQUELINE WOLPER AMFUATA EDWARD LOWASSA UKAWA!
10 years ago
Habarileo03 Aug
Mahanga aanguka, akimbilia Chadema
NAIBU Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Milton Mahanga (60), amejiondoa katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) siku moja baada ya kushindwa katika kura za maoni za ubunge katika Jimbo la Segerea mkoani Dar es Salaam, na sasa ameomba uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
10 years ago
VijimamboMBUNGE CHIKU ABWAO WA CHADEMA AMFUATA ZITTO KABWE ACT-WAZALENDO
10 years ago
TheCitizen03 Aug
Mahanga claims foul play, defects to Chadema
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-OeshQo7zTe4/Vb4CYjg7VTI/AAAAAAAHtSk/tbJ2WmzvmU0/s72-c/ApxOlgXxuzB9Xl3JlKZI3gnzfX4Y2JpnwD5UmM5dF9nH.jpg)
BREAKING NYUZZZZZ......: NAIBU WAZIRI WA KAZI NA AJIRA, DKT. MAKONGORO MAHANGA KUTIMKIA CHADEMA LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-OeshQo7zTe4/Vb4CYjg7VTI/AAAAAAAHtSk/tbJ2WmzvmU0/s640/ApxOlgXxuzB9Xl3JlKZI3gnzfX4Y2JpnwD5UmM5dF9nH.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-BtcjufSiimo/VcCo7nPbrkI/AAAAAAAB9bI/_iYXFbpTshQ/s72-c/mahanga.jpg)
VIGOGO WA CCM MAKONGORO MAHANGA + MSINDAI MGANA + OMEDEYI WAJIUNGA RASMI NA CHADEMA SASA HIVI MLIMANI CITY LIVE!
![](http://3.bp.blogspot.com/-BtcjufSiimo/VcCo7nPbrkI/AAAAAAAB9bI/_iYXFbpTshQ/s640/mahanga.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-JK8_ea4R1nY/VcCohO9eJDI/AAAAAAAB9a4/so3FBhqstUg/s640/msindai.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-iqEOWk9lHZI/VcCojj0IJBI/AAAAAAAB9bA/GOogNt3Sido/s640/olemedeyi.jpg)
10 years ago
Mwananchi29 Jul
LOWASSA CHADEMA: Fitina zimempeleka Lowassa upinzani
10 years ago
Raia Tanzania15 Jul
Lowassa kuhamia Chadema?
SIKU chache baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumtangaza Dk. John Magufuli kuwa mgombea urais katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu, baadhi ya wapenzi wa Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, wamemtaka akihame chama chake.
Kati ya wapenzi hao ni mbunge wa zamani wa Monduli, Luteni Lepilal Ole Molloimet, aliyesema jana kwamba iwapo Lowassa ataondoka CCM chama kitakuwa katika hali mbaya.
Akizungumza na Raia Tanzaia jana kwa simu, Molloimet alisema: “Tena mimi ninataka ‘a-cross’ (ahame). Afanye...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10