Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NISHA AWEKWA CHINI YA ULINZI CHINA

Hamida hassan Yamemkuta! Staa wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’ ameonja joto ya jiwe baada ya kuwekwa chini ya ulinzi mkali huko Hong Kong, China ambapo alidhaniwa kuwa amebeba madawa ya kulevya ‘unga’. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1VWbLnW

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT:MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA IRINGA AWEKWA CHINI YA ULINZI KWA KUDAIWA KUPIGA PICHA MAHAKAMANI.

Polisi  wamemakamata  mwenyekiti wa chama cha  waandishi wa habari  mkoa  wa Iringa (IPC) Frank Leonard (kushoto)  wakimtuhumu kupiga  picha mahakamani. Hadi  sasa amewekwa  chini ya ulinzi wa polisi huku kesi ya mtuhumiwa wa mauwaji ya Mwangosi ikiendelea kusomwa.  
Picha na Francis Godwin-Iringa.

 

10 years ago

GPL

NISHA AMFUATA BWANA CHINA

Gladness Mallya na Hamida Hassan
WAKATI Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ukielekea ukingoni, staa wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amekwea pipa kuelekea nchini China akidaiwa kumfuata bwana wake kwa ajili ya kwenda kufanya maandalizi ya Sikukuu ya Idd. Staa wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’. Chanzo makini kililiambia gazeti hili kwamba mwanadada huyo kwa sasa amepata mpenzi ambaye makazi yake yapo...

 

10 years ago

Mtanzania

Pengo asali chini ya ulinzi

Na Waandishi Wetu
KATIKA hali isiyo ya kawaida, Polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakiwa na mbwa nane, waliweka doria katika Kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es Salaam wakati wa ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika jana.
Ibada hiyo iliyoanza saa tisa jioni iliongozwa na Paroko wa Kanisa hilo, Audax Kaasa na Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo aliyetarajiwa kuiendesha kama ratiba ya Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) ilivyoeleza, lakini hakufanya hivyo bali alisali kama muumini wa...

 

11 years ago

GPL

Tambwe chini ya ulinzi mkali Simba

Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Amissi Tambwe(kushoto). Na Khadija Mngwai
UONGOZI wa Klabu ya Simba umetangaza kumwekea ulinzi mkali mshambuliaji wake, Amissi Tambwe, raia wa Burundi, ikiwa ni siku moja baada ya kuwepo kwa taarifa za mchezaji huyo kuwaniwa na timu nyingine, ikiwemo yeye mwenyewe kutoa kauli ya kuwakaribisha Yanga kwa mazungumzo ya usajili kama wanamhitaji. Tambwe ambaye anaongoza kwa mabao...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Baraza la madiwani lafanyika chini ya ulinzi

KIKAO cha Kamati ya Fedha na Uchumi cha Madiwani wa Halimashauri ya Jiji la Tanga, kimefanyika chini ya ulinzi wa polisi baada ya wanachama wa Chama Cha Wananchi (CUF) kuvami...

 

10 years ago

Mtanzania

Mtoto albino azikwa chini ya ulinzi

Joseph KonyoNa Benjamin Masese, Geita
MABAKI ya mwili wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi, Yohana Bahati (1) ambaye alitekwa Februari 16, mwaka huu na kuuawa kwa kukatwa mikono na miguu, jana yalizikwa kaburini chini ya ulinzi mkali wa polisi.
Mazishi ya mtoto huyo yalifanyika saa tisa alasiri katika Kijiji cha Ilelema, Wilaya ya Chato, mkoani Geita, huku polisi wakiwa wameimarisha ulinzi.
Mabaki ya mwili wa mtoto huyo yalipelekwa kwanza nyumbani kwa babu yake, Misalaba Manyamche, saa sita mchana kabla ya...

 

11 years ago

GPL

Messi chini ya ulinzi mkali jijini Mbeya

Ramadhani Singano ‘Messi’. Sweetbert Lukonge, Dar na Sophia Mwaipyana, Mbeya
BENCHI la ufundi la Mbeya City limesema kuwa limejipanga vilivyo kuhakikisha kiungo mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’ hafurukuti katika mechi ya kesho ya Ligi Kuu Bara itakayozikutanisha timu hizo kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya kwa kumwekea ulinzi wa kutosha. Kocha mkuu wa timu hiyo, Juma Mwambusi...

 

10 years ago

Habarileo

Mtuhumiwa mauaji atoroka chini ya ulinzi hospitalini

Salim MarwaMSHITAKIWA wa kwanza, Salim Marwa katika kesi ya mauaji ya raia wa Ghana, Joseph Opong ametoroka chini ya uangalizi akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kwa nini Katiba itayarishwe chini ya ulinzi?

KITU chochote kinachotayarishwa kwa manufaa ya jamii huku jamii husika ikiamini kwamba kitu hicho ni kwa manufaa yake, kawaida huwa hakitiliwi shaka, hakuna awezaye kuihofia jamii kuhusu matayarisho hayo, sababu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani